Ijue katiba ya CHAUMMA

Ijue katiba ya CHAUMMA

Waende tu
Hao washkaji hawanaga hata mia... Watafanyia kampeni Clubhouse au C
Mbowe anaiua CDM km utani vile wapi Prof Lipu na CUF? yaan ilikua hivi hivi sasa hivi CUF imejifia mazima wote wameenda ACT sababu ya Prof Lipu, kiko wapi?
 
Mugabe kaamua kumtumikia mwajiri wake kwa hali na mali bila kujali kama atakiua chama au lah! Kweli pesa mwanaharamu.
 
Mbowe anaiua CDM km utani vile wapi Prof Lipu na CUF? yaan ilikua hivi hivi sasa hivi CUF imejifia mazima wote wameenda ACT sababu ya Prof Lipu, kiko wapi?
CDM sio CUF wala NCCR

Walioiua NCCR na kukimbilia TLP unawakumbuka kwa majina nikukumbushe?

CDM haitegemei Ruzuku perse kufanya siasa... Umeona tofauti?
 
CDM sio CUF wala NCCR

Walioiua NCCR na kukimbilia TLP unawakumbuka kwa majina nikukumbushe?

CDM haitegemei Ruzuku perse kufanya siasa... Umeona tofauti?
Inaenda na maji km utani vile
 
Walioandika hy katiba nao n wahuni tuu, inakuwaje katiba ina fonts tofauti tofauti
 
Sawa kwaelini ya kuonana tukutane field mwezi October
 
Ni lazima kufanya mkakati wa kupiga dawa kali chahwa wadogo ndani ya chadema kabla hayajawa machawa ,
Chadema ina hela ya maana kutengeneza Chawa?

Nilikwambia leo ndio mwisho wa hizi sarakasi.
Kuanzia kesho midomo yote lazima ishonwe
 
Back
Top Bottom