zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Mbowe anaiua CDM km utani vile wapi Prof Lipu na CUF? yaan ilikua hivi hivi sasa hivi CUF imejifia mazima wote wameenda ACT sababu ya Prof Lipu, kiko wapi?Waende tu
Hao washkaji hawanaga hata mia... Watafanyia kampeni Clubhouse au C
CDM sio CUF wala NCCRMbowe anaiua CDM km utani vile wapi Prof Lipu na CUF? yaan ilikua hivi hivi sasa hivi CUF imejifia mazima wote wameenda ACT sababu ya Prof Lipu, kiko wapi?
Inaenda na maji km utani vileCDM sio CUF wala NCCR
Walioiua NCCR na kukimbilia TLP unawakumbuka kwa majina nikukumbushe?
CDM haitegemei Ruzuku perse kufanya siasa... Umeona tofauti?
Mungu atupe uhaiInaenda na maji km utani vile
Hakika Mungu anajibu kwa motoMungu atupe uhai
Uko sahihiTwende na hii wakuu
Chawa wa MwambaWaende tu
Hao washkaji hawanaga hata mia... Watafanyia kampeni Clubhouse au C
Ni lazima kufanya mkakati wa kupiga dawa kali chahwa wadogo ndani ya chadema kabla hayajawa machawa ,Waende tu
Hao washkaji hawanaga hata mia... Watafanyia kampeni Clubhouse au C
Chadema ina hela ya maana kutengeneza Chawa?Ni lazima kufanya mkakati wa kupiga dawa kali chahwa wadogo ndani ya chadema kabla hayajawa machawa ,
Sawa sawaSawa kwaelini ya kuonana tukutane field mwezi October
HakikaHii katiba iliandikwa kisomi sana
Hujui dunia ,Chadema ina hela ya maana kutengeneza Chawa?
Nilikwambia leo ndio mwisho wa hizi sarakasi.
Kuanzia kesho midomo yote lazima ishonwe