Ijue 'Koteka' kabla haijapotea

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Wenyeji wa Papua New Guinea na IRIAN JAYA huishi maisha kama ilivyokuwa Enzi za Adam na Eva

Mila za wenyeni hawa neno kusjisiriri linahusu sehemu moja tu kwa wamaume sehemu yenuewe ni muhimu sana kwa uwepo wao.

Wao hujisiri kwa Kuvaa KOTEKA aina ya Tunguli iliyokaushwa vizuri kabisa na wanaume hao wa Shoka hupendeza sana na kila kabila ina KOTEKA ilitodariziwa kwa Ustadi mkumbwa kabisa.
 
Hiyo koteka inaongezeka na kupungua upana?

Kwanini useme kabla haijapotea, kuna mpango wa kuipoteza?
 
Jinsi nguo zilivyo bei juu na hela yenyewe ilivyo ngumu kupatikana, wangeleta na bongo tu hiyo Koteka [emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2445][emoji377]
Sipati picha pale bungeni ingekuwaje[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Hiyo koteka inaongezeka na kupungua upana?

Kwanini useme kabla haijapotea, kuna mpango wa kuipoteza?
Huwa inachongwa kwa kutokana na hali halisi ya pahala
Mila na Tamaduni nyingi zimepotea au zimepotezwa na hii itapotea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…