Ijue 'Koteka' kabla haijapotea

Hawa jamaa sio Rahisi kuugua saratani zinazosababishwa na Chinese Fabrics na junk foods from west.
 
Reactions: Qwy
Mkuu wewe mada zako bwana!

Juzi juzi ulikuja na uzi unaozungumzia jamaa waliojikata mashine leo tena umekuja na wengine wanazificha kwenye vipande vya miti.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umejua kunichekesha wallah
 
Mkuu wewe mada zako bwana!

Juzi juzi ulikuja na uzi unaozungumzia jamaa waliojikata mashine leo tena umekuja na wengine wanazificha kwenye vipande vya miti.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ni lazima tuzijue mila za wanadunia wenzetu ili tuweze kuishi kwenye Dunia ambayo kila mmoja aheshimu dini mila za mwenzake mimi nikipata fursa ya kwenda IRIAN JAYA nina hamu saaana ya kuvaa Koteka!
 
Kumbuka hawa sio Waafrika!.
 
Ni lazima tuzijue mila za wanadunia wenzetu ili tuweze kuishi kwenye Dunia ambayo kila mmoja aheshimu dini mila za mwenzake mimi nikipata fursa ya kwenda IRIAN JAYA nina hamu saaana ya kuvaa Koteka!
Hahah sawa mkuu kila la heri

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
New Papua Guinea na Samoa asili yao ni EastAfrika haswa TZ, jamaa joto linawafavour kuvaa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…