Ijue 'Koteka' kabla haijapotea


Mwanamke wa kiasia mdadi umempanda baada ya kuzishika koteka,nina imani alizipiga Cowgirl.
 
Hawa jamaa UTI hawaijui hata inafananeje
 
Kuna Video wanafunzi wa Chuo kutoka Marekani walikas na hawa jamaa aisee!!! Ni balaa walipewa cocktail ya miti shamba walipewa Shafti bila kutosheka walikuwa wanakuwa wekundu tu kumbe kuna miti shamba ya kumuongezea hamu mwanamke.daaah.
 
Sperm lazima zipate hewa na ubaridi ili ziwe ma rutuba sisi tunavaa majinzi masuruwali mazito chupii za No smoking tunazibana korodani halafu tunalalamika ooh!! Sperm count!!

Mkuu, umegusia point muhimu, nyama inayofunika korodani ni kama redieta ya injini ya gari, kazi yake kupoza injini isipate moto wa kupitiliza ili ifanye kazi kwa ufanisi. Sasa sisi tunavaa nguo nzito maeneo nyeti matokeo tunadhofisha na kupunguza sperm count.
 
Bado unakuta mtu anweka Smart phone yeke mfukoni anayakaanga mayai kwa Microwave radiation
 
Napendekeza liwe vazi rasmi kwa viongozi na watumishi wote wa umma kiujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…