Hilo ndilo wanalo ogopa ccm, maalim seif ametuhakikishia Zanzibar kuwa kama Brunei, pia mfalme wa Brunei ana ushirikiano mzuri na maalim seif kwa kuvutiwa na siasa zake, na Brunei imempa ahadi maalim kuwa kama ataukwaa urais wa Zanzibar, atawekeza viwanda v2 tu kimoja ni Unguja kimoja Pemba.
Jengine Brunei kutoa fursa wanao taka kwenda huko kutafuta ajira.
Maeneo ya visiwa hayana rasilimali lakini pia ni tajiri ndio maana Nyerere alihakikisha Zanzibar anaichukua ili kuidhibiti kiuchumi, kwa sababu kama Zanzibar ingekuwa nje ya Muungano ingekuwa zaidi ya Brunei au karibia Brunei na hii itawakosesha usingizi Watanganyika, Fuatilia Hutuba ya Nyerere kuhusu Zanzibar, aliongea kwa mdomo wake, na Samuel sita aliongea hayo hayo kuhofia uchumi wa Zanzibar kuwa juu, italeta hasira kwa Watanganyika kwa sababu viongozi ni wabinafsi wako kwa maslahi yao