Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Nimeipenda no8, elimu ya chini ni kiwango cha Lami yaani Degree
 
You guys made my day [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hilo ndilo wanalo ogopa ccm, maalim seif ametuhakikishia Zanzibar kuwa kama Brunei, pia mfalme wa Brunei ana ushirikiano mzuri na maalim seif kwa kuvutiwa na siasa zake, na Brunei imempa ahadi maalim kuwa kama ataukwaa urais wa Zanzibar, atawekeza viwanda v2 tu kimoja ni Unguja kimoja Pemba.
Jengine Brunei kutoa fursa wanao taka kwenda huko kutafuta ajira.

Maeneo ya visiwa hayana rasilimali lakini pia ni tajiri ndio maana Nyerere alihakikisha Zanzibar anaichukua ili kuidhibiti kiuchumi, kwa sababu kama Zanzibar ingekuwa nje ya Muungano ingekuwa zaidi ya Brunei au karibia Brunei na hii itawakosesha usingizi Watanganyika, Fuatilia Hutuba ya Nyerere kuhusu Zanzibar, aliongea kwa mdomo wake, na Samuel sita aliongea hayo hayo kuhofia uchumi wa Zanzibar kuwa juu, italeta hasira kwa Watanganyika kwa sababu viongozi ni wabinafsi wako kwa maslahi yao
 
Inasemekana hakuna ubalozi wa brunei sasa hii ni dunia nzima au vp sielewi kabisa mnijuzee tuombe visa
 
Kkkkkk waarabu bana dah!
Nalog off
 
Habar
Wanajamvi
Ninashauku ya kwenda kutafuta maisha nchi za mbali na katika pita pita zangu mitandaoni nimependa sana kuishi Brunei, mwenye kuijua vzr mazngira ya nchi hii anijuze nianze mchakato wa kwenda huko.

SHUKRANI

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mcheki mzee wa msoga huyu katembea sana enzi akiwa rais nadhani hakuna nchi asiyoijua
 
Wabongo wanapenda sana starehe kuliko kazi wanatamani wangezaliwa brunei wamwage ladhi...muulize professor j.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Huko huingii kizembezembe mkuu kupata hiyo visa hutopata kamweeeee

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Wabongo wanapenda sana starehe kuliko kazi wanatamani wangezaliwa brunei wamwage ladhi...muulize professor j.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha huu wimbo wa prof j
 
Wabongo wanapenda sana starehe kuliko kazi wanatamani wangezaliwa brunei wamwage ladhi...muulize professor j.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…