Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Ngoja nirudi nyumbani
Huku ugenini hakufai

cephalocaudo the greatest
 
Mcheki Nyambui Mtanzania kocha wa timu ya Taifa ya Brunei

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
 
Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu Brunei kuna jamaa alisema kaka yake ni hotel waiter lakini anajenga apartments moja baada ya nyingine bongo. Mshahara ni tax free
Ni nchi inayofuata sheria za Kiislamu, Sharia Law, per se, wanamafuta sana kama Qatar, hela ipo sana ila ukileta za TZ za kimazoea zoea wakatwa kichwa kule, kufika kule tafuta tu habari za mtandaoni, ukiwa na ujuzi wa maana na vyeti vyake itakuwa poa zaidi...
 
Ahsante mkuu kwa uzoefu wako

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Niunganishe nae mkuu anisaidie

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 

"Nchi yoyote corrupt huwa haikusanyi kodi" - Mwl. Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…