Ijue maana ya neno "Demka". Ni Kiswahili kutoka Zanzibar chenye asili ya lugha ya Kikae

Waache Kudemka demka wachape kazi kulisaidia taifa mambo ya mipasho ya kudiscuss watu wanalitia hasara taifa maana tunawalipa mabilioni kwa ajili ya kuishauri serikali ,kutunga sheria na kuwasilisha matatizo ya wananchi ndani ya bunge ili yafanyiwe kazi na serikali.
 
Bunge ni dhaifu.... Ndugai akamwite Madame Rais kesho kwenye kamati... Kibajaji na Msukuma ndo wajenga hoja/vichwa mjengoni...
 
Hahahaahaaha
 
Nadhani hii nyundo wamepigwa wale waliotaka kumtofautisha Samia na JPM au hukusikia anasema Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Najua hamuamini mlichokisikia leo
Nikama marehemu maana marehemu hana maana tena.
 
Juzi Mama Samia akiwa katika kongamano la maombi huko Dodoma alisema mitandao ya kijamii inapiga ngoma na bunge linacheza ngoma hiyo tena kwa kudemka sana. Nini maana ya kudemka?

 
Mpaka mama kuachai madaraka...misamiati mingi sana tutaielewa.
Itakuja mingi sana. Halafu wakati akisema hilo neno “kudemka”, body language ilinifurahisha sana. Huwa siachi kusukiliza hotuba zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…