Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #41
Tupe line up tafadhaliLipuli walikuwa vizuri na sasa hivi wameingia tena ligi kuu.
Malindi ilikuwa ya kina amour aziz juma muhina alifungwa bonge la bao watu wakasema kauza mechi hapo Malindi wana mfadhili wao naushad mohamed jamaa aliipenda sana Malindi mpaka kuna wakati alimleta mordon malitoli kutoka ZambiaCostal na African sport zilikuwa ziko vizuri, sijui pepo gani kapita tanga jamani, naona wanazidi kuporomoka madaraja tu
Kombe la muungano mnalikumbuka wandugu? Timu tatu bara timu tatu zenji halafu mechi nyumbani na ugenini lol! Malindi na Pamba Ccm kirumba, mtangazaji Dominick Chilambo.... Lol, those days was wonderful jamani, haziwezi kujirudia tena
Small simba kwa visiwani ndio walikuwa vizuri zaidi toka enzi za kina ali bushiri walikuwa na fullback moja mfupi hivi leonard wilium huyo nae hakuwa na utani hizi tackling alikuwa anazipiga sana kina said njunju mohamed kachumbali maulid kapenta innocent haule duhKMKM kutoka Zanzibar unaikumbuka? Kipindi cha michezo 19:45 kila siku.
Yah, ni mimi, mkuu mie enzi hizo ndio nilikuwa mshabiki hasa wa mpira, yanga ya akina Godwin Aswile, salumu kabunda, sekioni chambua, ken mkapa tukifungwa nalia machozi. Tukibishana sana nikiona unanizingua tunazichapaSamahani lakini ram, huyo kwenye avatar ni wewe kweli?
Nimekupigia salutiYah, ni mimi, mkuu mie enzi hizo ndio nilikuwa mshabiki hasa wa mpira, yanga ya akina Godwin Aswile, salumu kabunda, sekioni chambua, ken mkapa tukifungwa nalia machozi. Tukibishana sana nikiona unanizingua tunazichapa
Enzi hizi mechi jumatano, natoroka shule naenda kuishuhudia pamba na mecco, jumamosi kazi nusu siku mamangu anarudi home SAA nane keshanikatia na ticket kabisa, ananipeleka hadi Ccm ananikabidhi kwa polisi anahakikisha nimeingia ndio anasepa. Mechi kubwa kama pamba na yanga inabidi tu na yeye aende au ananitafutia mtu mapemaaa wa kwenda nae. Hata mashindano siku hizi yamepungua, kulikuwa na Kombe la Hedex, sijui tu jamani

Duh! bimkubwa wako alikupenda sana na alijua mpira ndio burdan yako pongezi kwakéYah, ni mimi, mkuu mie enzi hizo ndio nilikuwa mshabiki hasa wa mpira, yanga ya akina Godwin Aswile, salumu kabunda, sekioni chambua, ken mkapa tukifungwa nalia machozi. Tukibishana sana nikiona unanizingua tunazichapa
Enzi hizi mechi jumatano, natoroka shule naenda kuishuhudia pamba na mecco, jumamosi kazi nusu siku mamangu anarudi home SAA nane keshanikatia na ticket kabisa, ananipeleka hadi Ccm ananikabidhi kwa polisi anahakikisha nimeingia ndio anasepa. Mechi kubwa kama pamba na yanga inabidi tu na yeye aende au ananitafutia mtu mapemaaa wa kwenda nae. Hata mashindano siku hizi yamepungua, kulikuwa na Kombe la Hedex, sijui tu jamani
Mkuu mwenzio nilishaonja joto ya mabomu ya machozi, tumetoroka shule kwenda kuwaangaliab yanga na Elmourada ya Sudan, sukumbuki walizingua nini wale waarabu washabiki wakavamia uwanjani, kilichotokea......weeeeSamahani lakini ram, huyo kwenye avatar ni wewe kweli?
Halafu ulikuwa deshideshi Maria enzi hizoMkuu mwenzio nilishaonja joto ya mabomu ya machozi, tumetoroka shule kwenda kuwaangaliab yanga na Elmourada ya Sudan, sukumbuki walizingua nini wale waarabu washabiki wakavamia uwanjani, kilichotokea......weeee
Acha kabisa, Mungu azidi kumrehemu huko alipo! RIP mom, bado nakupenda mno mamanguDuh! bimkubwa wako alikupenda sana na alijua mpira ndio burdan yako pongezi kwake
Walikuwepo pia kina Joseph katuba'muhidin cheupe'hamisi gaga'mwanga luheya'james kisaka'lila shomari....Ipi ya kina mwanga luheya na mohamed mateneke walikuwa mawinga ali pande golini hapo kati mkoba juma nkulila na anthony Ngosha huku kuna Simon kishoka mohamed (bob )chopa pale mbele?
Sijui yuko wapi huyu Roster! Winga mpiga viatu pekee duniani sijawahi sikia winga mwingine anapiga kiatu kama huyu.Na Nyota Nyekundu ya wauza Mitumba mtaa wa Congo.
Rosta Ndunguru I miss you
Juma mhina alitolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali wa polisiMalindi ilikuwa ya kina amour aziz juma muhina alifungwa bonge la bao watu wakasema kauza mechi hapo Malindi wana mfadhili wao naushad mohamed jamaa aliipenda sana Malindi mpaka kuna wakati alimleta mordon malitoli kutoka Zambia
I
Yaah ilikuwa bonge la soo lakini alikuwa na bahati mbaya kwani hata zamoyoni mogela alipata kumfunga goli flan hivi juma kaziba post hii mogela akamsoma na kumuhamisha kimawazo kwa kumuita zuberi magoha aliekuwa katikati ya goli kama vile anataka kumpasia basi muhina akahadaika na kuanza ku dive ili akutane nao mpira Morgan alimfungia pale pale muhina anatoa mguu mpira unapitaJuma mhina alitolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali wa polisi
Itakuwa Omary Jongo au Abubakary Liyongo, walikuwa na mbwembwe hao lkn mwisho wa mbwembwe alikuwa Dominick Chilambo (RIP) alikuwa anaipamba pamba hadi raha, kama bado hujaingia uwanjani unasikiliza kwa radio unatamani upae, manake ukiangalia msululu ulivyo mrefu na geti lilipo unahisi utakuta mpira ushaishaSio Charles Hilary huyo?
Yaah ndovu alikuwa ndovu kweli siku hizo vipaji vilikuwepo wacha mchezo.Walikuwepo pia kina Joseph katuba'muhidin cheupe'hamisi gaga'mwanga luheya'james kisaka'lila shomari....
Itakuwa Omary Jongo au Abubakary Liyongo, walikuwa na mbwembwe hao lkn mwisho wa mbwembwe alikuwa Dominick Chilambo (RIP) alikuwa anaipamba pamba hadi raha, kama bado hujaingia uwanjani unasikiliza kwa radio unatamani upae, manake ukiangalia msululu ulivyo mrefu na geti lilipo unahisi utakuta mpira ushaisha