Ijue MECCO ya Mbeya

Ijue MECCO ya Mbeya

Costal na African sport zilikuwa ziko vizuri, sijui pepo gani kapita tanga jamani, naona wanazidi kuporomoka madaraja tu

Kombe la muungano mnalikumbuka wandugu? Timu tatu bara timu tatu zenji halafu mechi nyumbani na ugenini lol! Malindi na Pamba Ccm kirumba, mtangazaji Dominick Chilambo.... Lol, those days was wonderful jamani, haziwezi kujirudia tena
Malindi ilikuwa ya kina amour aziz juma muhina alifungwa bonge la bao watu wakasema kauza mechi hapo Malindi wana mfadhili wao naushad mohamed jamaa aliipenda sana Malindi mpaka kuna wakati alimleta mordon malitoli kutoka Zambia
I
 
KMKM kutoka Zanzibar unaikumbuka? Kipindi cha michezo 19:45 kila siku.
Small simba kwa visiwani ndio walikuwa vizuri zaidi toka enzi za kina ali bushiri walikuwa na fullback moja mfupi hivi leonard wilium huyo nae hakuwa na utani hizi tackling alikuwa anazipiga sana kina said njunju mohamed kachumbali maulid kapenta innocent haule duh
 
Samahani lakini ram, huyo kwenye avatar ni wewe kweli?
Yah, ni mimi, mkuu mie enzi hizo ndio nilikuwa mshabiki hasa wa mpira, yanga ya akina Godwin Aswile, salumu kabunda, sekioni chambua, ken mkapa tukifungwa nalia machozi. Tukibishana sana nikiona unanizingua tunazichapa

Enzi hizi mechi jumatano, natoroka shule naenda kuishuhudia pamba na mecco, jumamosi kazi nusu siku mamangu anarudi home SAA nane keshanikatia na ticket kabisa, ananipeleka hadi Ccm ananikabidhi kwa polisi anahakikisha nimeingia ndio anasepa. Mechi kubwa kama pamba na yanga inabidi tu na yeye aende au ananitafutia mtu mapemaaa wa kwenda nae. Hata mashindano siku hizi yamepungua, kulikuwa na Kombe la Hedex, sijui tu jamani
 
Nimekupigia saluti
 
Duh! bimkubwa wako alikupenda sana na alijua mpira ndio burdan yako pongezi kwaké
 
Samahani lakini ram, huyo kwenye avatar ni wewe kweli?
Mkuu mwenzio nilishaonja joto ya mabomu ya machozi, tumetoroka shule kwenda kuwaangaliab yanga na Elmourada ya Sudan, sukumbuki walizingua nini wale waarabu washabiki wakavamia uwanjani, kilichotokea......weeee
 
Halafu ulikuwa deshideshi Maria enzi hizo
 
Ipi ya kina mwanga luheya na mohamed mateneke walikuwa mawinga ali pande golini hapo kati mkoba juma nkulila na anthony Ngosha huku kuna Simon kishoka mohamed (bob )chopa pale mbele?
Walikuwepo pia kina Joseph katuba'muhidin cheupe'hamisi gaga'mwanga luheya'james kisaka'lila shomari....
 
Juma mhina alitolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali wa polisi
Yaah ilikuwa bonge la soo lakini alikuwa na bahati mbaya kwani hata zamoyoni mogela alipata kumfunga goli flan hivi juma kaziba post hii mogela akamsoma na kumuhamisha kimawazo kwa kumuita zuberi magoha aliekuwa katikati ya goli kama vile anataka kumpasia basi muhina akahadaika na kuanza ku dive ili akutane nao mpira Morgan alimfungia pale pale muhina anatoa mguu mpira unapita
 
Sio Charles Hilary huyo?
Itakuwa Omary Jongo au Abubakary Liyongo, walikuwa na mbwembwe hao lkn mwisho wa mbwembwe alikuwa Dominick Chilambo (RIP) alikuwa anaipamba pamba hadi raha, kama bado hujaingia uwanjani unasikiliza kwa radio unatamani upae, manake ukiangalia msululu ulivyo mrefu na geti lilipo unahisi utakuta mpira ushaisha
 
Chama la wana, jamaa walikuwa na uwezo wa kucheza non-stop masaa matatu bila kupungua kasi.
Juma Ahmad mtoto wa Soko Matola mtaa wa kanisa kwa mama Juma aliidakia Town Stars kabla ya kujiunga na Mecco
 
Back
Top Bottom