Itakuwa Omary Jongo au Abubakary Liyongo, walikuwa na mbwembwe hao lkn mwisho wa mbwembwe alikuwa Dominick Chilambo (RIP) alikuwa anaipamba pamba hadi raha, kama bado hujaingia uwanjani unasikiliza kwa radio unatamani upae, manake ukiangalia msululu ulivyo mrefu na geti lilipo unahisi utakuta mpira ushaisha
Mkuu ulipoitaja El mourada ya Sudan umenikumbusha timu nyingine ambazo zilikua zinacheza mara kwa mara Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati ambazo zimepotea kabisaMkuu mwenzio nilishaonja joto ya mabomu ya machozi, tumetoroka shule kwenda kuwaangaliab yanga na Elmourada ya Sudan, sukumbuki walizingua nini wale waarabu washabiki wakavamia uwanjani, kilichotokea......weeee
ugenzi kipindi hiko yupo Idd athuman baba yake athman idd Chuji, Mohamed Mbuguni alikuja kucheza CDA baadae akiwa na hawa wafuataoAlikuwa beki mshahara yule hataki maskhara aliwahi kumvunja mguu yusuph ambweni huyu alikuwa CDA watoto wa nyumbani upande wa pili wakaja kuibuka kurugenzi dodoma ya kina mohamed mbuguni sasa kuhusu abubakari kanyoro sikumbuķi alikuwa CDA au kurugenzi nimesahau
Nadhani ulifirahia kupata elimu bila gharama kubwa toka kwa wazee wako wa humu jfMi enzi hizo still nilikuwa kwenye trouser ngoja nipite tu hapa
Na nyengine ilivuma sana. Zimanimoto..Do umenikumbusha mbali, Enzi hizo pia kuna MajiMaji ya Ruvuma.
Ndiyo, lakini kwa sasa wamejenga hotel humo ndani(bado inajengwa). Tumecheza sana tukiwa wadogo maana waliacha construction equipments zilizo juu ya mawe.Na mbeya Pana sehemu inaitwa Mecco
Ushirika ya orfen Martin golie mbavu walikamata abuu juma na fadhili juma kati akisimama washokera na david rojers huko mbele ndio kina andrew kabisama mahmood abbas aah akina Steven nyenge katikati ilikuwa khatari sana.Kule tulikua na Ushirika, na CDA Dodoma.
Orfen Martin aliwahi kudaka kwa madaha penalt ya Kenny Mkapa pale ushirika..Ushirika ya orfen Martin golie mbavu walikamata abuu juma na fadhili juma kati akisimama washokera na david rojers huko mbele ndio kina andrew kabisama mahmood abbas aah akina Steven nyenge katikati ilikuwa khatari sana.
Usnikumbushe hii mechi, nilikuwa mdogo ila nakumbuka mwanza ilivyosononeka na haya matokeo.Costal na African sport zilikuwa ziko vizuri, sijui pepo gani kapita tanga jamani, naona wanazidi kuporomoka madaraja tu
Kombe la muungano mnalikumbuka wandugu? Timu tatu bara timu tatu zenji halafu mechi nyumbani na ugenini lol! Malindi na Pamba Ccm kirumba, mtangazaji Dominick Chilambo.... Lol, those days was wonderful jamani, haziwezi kujirudia tena
Kumbe tulikuwa wote uwanjani😂Juma mhina alitolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali wa polisi
Kuna linalofukuta hukuMECCO SPORTS CLUB MBEYA 1989. Uwanja wa Taifa Dar vs SSC : Matokeo SSC 1 - 1 MECCO.
Kuanzia Kulia kwenda kushoto.
Saidi Maeda (Team Manager), Saidi Jobe (Kocha Msaidizi), Gabriel Mwitika (Mlinzi kushoto), Rashidi Mandanje (mlinzi kulia), Goari Gama (mlinzi kulia),Betwel Africa (mshambuliaji/kati), John Moses Kanyiki (kiungo mshambuliaji),Ephraim Kayeta (mshambuliaji), Nasibu Abasi (winga kushoto), Jafari Nyoni (kiungo), Danford Ngesi ((kiungo/ mlinzi),George Mangula (Kipa),Nurdin Kasabalala (mlinzi/kulia), Venny Simon ( mlinzi/kati), Charles Makwaza ( mlinzi/kati), Mbaga Mwantiku (mlinzi)Juma Ahmed (Kipa) na Abeidi Kasabalala (winga/kulia.
Hatari sana sheikhKuna linalofukuta huku
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa awaonya MVIWATA kutowapa jukwaa Viongozi aina ya Dkt. Bashiru. Mwenyekiti wa CCM asema Bashiru amepotea Njia!
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa amewaonya wakulima wa Kilosa wasithubutu kumpa jukwaa la kuongea kiongozi aina ya Bashiru Naye mwenyekiti wa CCM wa Kilosa Mzee Mbaraka amesema Dr Bashiru amepotea Njia kwani Wakulima hawamtambui Chanzo: ITV habari My take; Sidhani Bashiru atamaliza Wiki hii akiwa CCMwww.jamiiforums.com
Nyuma ya Bashiru kuna Diwani Athumani na Majaliwa. Mchezo umeanza
MAHUSIANO YA BASHIRU, DIWANI NA MAJALIWA. Kwa lugha ya kawaida, watatu hawa ni familia, ni ndugu walio na mahaba ya ndani kabisa baina yao. Undugu wao una historia ndefu, lakini kwa ufupi wake tuanzie katika kile kilichoitwa “MTANDAO” Ukatibu wa Bashiru uliratibiwa na mtandao chini ya...www.jamiiforums.com
Duncan butinini,mbuyi yondani watu hawa.Do Reli ya Morogoro niliisahau asante mkuu.
Ponzety moyo,juma mahimbo,rashidy kondo,bahatisha ndulute.CDA watoto wa nyumbani ya kina Charles mgodo (kijiko )na ushirika ya kina often Martin jaffar kiango abuu na fadhili juma kina Andrew kabisama willy Martin Steven nyenge mahmood abbas siku zimekwenda wapI?
Namkumbuka muhidini cheupe.Ndovu ya arusha enzi hizo mwenye line up atupatie
Kwa sigara palkiuwa na kocha matata wakuitwa mansour magram.Kuliwahi kuwa na timu zingine kama Reli ya Kigoma, Sigara Dar, Ujenzi Rukwa, Tiger Tunduma.