Ijue MECCO ya Mbeya

Ijue MECCO ya Mbeya

Kuliwahi kuwa na timu zingine kama Reli ya Kigoma, Sigara Dar, Ujenzi Rukwa, Tiger Tunduma.
 
Itakuwa Omary Jongo au Abubakary Liyongo, walikuwa na mbwembwe hao lkn mwisho wa mbwembwe alikuwa Dominick Chilambo (RIP) alikuwa anaipamba pamba hadi raha, kama bado hujaingia uwanjani unasikiliza kwa radio unatamani upae, manake ukiangalia msululu ulivyo mrefu na geti lilipo unahisi utakuta mpira ushaisha

Dominick Chilambo (RIP) aliipenda sana Pamba wana kawe kamo. Nilikua naenjoy sana akitangaza kutoka Mwanza halafu Dar anakua Charles Hillary, wanapokezana. Ilikua burudani ya aina yake.
 
Mkuu mwenzio nilishaonja joto ya mabomu ya machozi, tumetoroka shule kwenda kuwaangaliab yanga na Elmourada ya Sudan, sukumbuki walizingua nini wale waarabu washabiki wakavamia uwanjani, kilichotokea......weeee
Mkuu ulipoitaja El mourada ya Sudan umenikumbusha timu nyingine ambazo zilikua zinacheza mara kwa mara Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati ambazo zimepotea kabisa
1 Loccomotive Diredawa ya Ethiopia
2 Aduliss ya Eritrea
3 Express FC ya Uganda
4 Malindi ya Zanzibar
5 AFC Leopards ya Kenya
6 Sports Club Villa jogoo ya Uganda
 
  • Thanks
Reactions: ram
Kur
Alikuwa beki mshahara yule hataki maskhara aliwahi kumvunja mguu yusuph ambweni huyu alikuwa CDA watoto wa nyumbani upande wa pili wakaja kuibuka kurugenzi dodoma ya kina mohamed mbuguni sasa kuhusu abubakari kanyoro sikumbuķi alikuwa CDA au kurugenzi nimesahau
ugenzi kipindi hiko yupo Idd athuman baba yake athman idd Chuji, Mohamed Mbuguni alikuja kucheza CDA baadae akiwa na hawa wafuatao
Rashid Maadh
Jackob Tinga
Abdala Msheli
Lagu Shinje
Said Rajab
Abubakar Kanyoro
Ally Mayai tembele
Stanley Sungura kichwile
Idd Kaoneka
Hezron Mauma
Kihomo mlelwa
Ally Machela
 
Kule tulikua na Ushirika, na CDA Dodoma.
Ushirika ya orfen Martin golie mbavu walikamata abuu juma na fadhili juma kati akisimama washokera na david rojers huko mbele ndio kina andrew kabisama mahmood abbas aah akina Steven nyenge katikati ilikuwa khatari sana.
 
Ushirika ya orfen Martin golie mbavu walikamata abuu juma na fadhili juma kati akisimama washokera na david rojers huko mbele ndio kina andrew kabisama mahmood abbas aah akina Steven nyenge katikati ilikuwa khatari sana.
Orfen Martin aliwahi kudaka kwa madaha penalt ya Kenny Mkapa pale ushirika..
ilikua raha sana
 
Costal na African sport zilikuwa ziko vizuri, sijui pepo gani kapita tanga jamani, naona wanazidi kuporomoka madaraja tu

Kombe la muungano mnalikumbuka wandugu? Timu tatu bara timu tatu zenji halafu mechi nyumbani na ugenini lol! Malindi na Pamba Ccm kirumba, mtangazaji Dominick Chilambo.... Lol, those days was wonderful jamani, haziwezi kujirudia tena
Usnikumbushe hii mechi, nilikuwa mdogo ila nakumbuka mwanza ilivyosononeka na haya matokeo.
Juma Mhina sijui alihongwa kweli.
Ila zamani unakuta kirumba imejaa halafu kumbe ni Pamba na Ushirika moshi.
Siku hizi bila simba na Yanga hujazi uwanja
 
  • Kicheko
Reactions: ram
MECCO SPORTS CLUB MBEYA 1989. Uwanja wa Taifa Dar vs SSC : Matokeo SSC 1 - 1 MECCO.
Kuanzia Kulia kwenda kushoto.
Saidi Maeda (Team Manager), Saidi Jobe (Kocha Msaidizi), Gabriel Mwitika (Mlinzi kushoto), Rashidi Mandanje (mlinzi kulia), Goari Gama (mlinzi kulia),Betwel Africa (mshambuliaji/kati), John Moses Kanyiki (kiungo mshambuliaji),Ephraim Kayeta (mshambuliaji), Nasibu Abasi (winga kushoto), Jafari Nyoni (kiungo), Danford Ngesi ((kiungo/ mlinzi),George Mangula (Kipa),Nurdin Kasabalala (mlinzi/kulia), Venny Simon ( mlinzi/kati), Charles Makwaza ( mlinzi/kati), Mbaga Mwantiku (mlinzi)Juma Ahmed (Kipa) na Abeidi Kasabalala (winga/kulia.

16939604_1785067141518751_641148398596626718_n.jpg
Kuna linalofukuta huku


 
Kuna linalofukuta huku


Hatari sana sheikh
 
CDA watoto wa nyumbani ya kina Charles mgodo (kijiko )na ushirika ya kina often Martin jaffar kiango abuu na fadhili juma kina Andrew kabisama willy Martin Steven nyenge mahmood abbas siku zimekwenda wapI?
Ponzety moyo,juma mahimbo,rashidy kondo,bahatisha ndulute.
 
Back
Top Bottom