IJUE MIJI 3 YA AJABU CHINI YA BAHARI UNAYOPASWA KUITEMBELEA

IJUE MIJI 3 YA AJABU CHINI YA BAHARI UNAYOPASWA KUITEMBELEA

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564

Lion City – Qiandao Lake, China
7-Incredible-Underwater-Cities-You-Must-Visit-02.jpg
Mji huo ulifurikishwa maji kwa makusudi mwaka 1959 ili kujenga ziwa na kituo cha umeme kinachotumia nguvu za maji. Lion City (uliochukua jina la Lion Mountains) ulikuwa kituo cha kisiasa na kiuchumi mashariki mwa China.


Antirhodos – Alexandria, Misri
7-Incredible-Underwater-Cities-You-Must-Visit-06.jpg
Kisiwa hiki cha chini ya maji kinaaminia kilizama kutokana na matetemeko ya ardhi katika karne ya nne. Kiligunduliwa karibu na bandari ya Alexandria mwaka 1996. Mtu unabidi ufike hapo ili uamini.



Dwarka – India
7-Incredible-Underwater-Cities-You-Must-Visit-01.jpg
Uko chini ya maji (futi 70) ambazo ni mita 21 karibu na kisiwa kinachokaliwa na watu cha Bet Dwarka. Mji huo wa zamani wa Dwarka ni hazina ya kweli ya zamani unayopaswa kuitembelea. Unakisiwa kuwa ulijengwa kati ya miaka 9,000 na 12,000 iliyopita.
 
Hivi katikati ya bagamoyo na Zanzibar hakuna mji?
Maana inasemekana waligundua barabara inapita chini ya bahari
Kuna miji mingi ilifunikwa na bahari haswa haswa Asia
 
Back
Top Bottom