ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Habari Wadau.
Mtu ni Afya,na hiyo Afya huimarishwa kwenye gereji zinazoitwa Vituo vya Kutolea Huduma za Afya ambapo hujumuisha Hospitali za ngazi zote,Vituo vya Afya na Zahanati.
Kwa Tanzania ,Mikoa ambayo walau ina idadi inayoridhisha ya vituo vya Kutolea Huduma za Afya ni Ifuatavyo.
1. Dar 684
2. Morogoro 532
3. Mwanza 520
4. Tanga 498
5. Dodoma 497
6. Kilimanjaro 461
7. Pwani 444
8. Mbeya 443
9. Tabora 401
10. Ruvuma 382
11. Kagera 381
12. Mara 368..
Moja ya Mikoa ambayo Huwa Iko under rated na inafanya vizuri sana kwenye maeneo mbalimbali ni Tanga ,Pwani na Ruvuma..
Mikoa ya Mwisho yenye Huduma za Afya chini ya 300 kama kawaida ni hii ifuatayo,
Katavi
Songwe
Rukwa
Singida
Simiyu
Geita.
Idadi ya watu Kwa Kila Mkoa [emoji116]View attachment 2524047View attachment 2524048