Uchaguzi 2020 Ijue mikoa ya ushindi kwa CCM

Mikoa ya CCM uloitaja hapo ni ile ambayo ni Maskini na elimu ni duni kwao.
Hi inatoa picha ccm inaendana na Umaskini na kutokuwa na elimu?

Siku moja mzee mmoja mwerevu alishawahi niambia"UKIONA MTU ANA UWEZO WA KAWAIDA AU ZAIDI WA KIFEDHA AU MAISHA NA PIA AKAWA NA ELIMU ALAFU UMUONE NI ccm NAKUHAKIKISHIA HUYO YUKO KI MASLAHI TU."
 
Ccm inatumia nguvu kubwa sana kushinda! Imenunua wasainii karibu wote nchini ili kuwajazia watu! Majeshi yote yanawasaidia Ccm, Vyombo vya habari karibu vyote ' vimeamrishwa' kuisapoti Ccm! Bado tume ya uchaguzi na Ma DED ni wao! Miaka 5 wao walikuwa wanafanya siasa huku wakiwapiga 'pin' wenzao! Aisee,hata hivyo wapinzani wanajitahidi sana!
 
Hata hao wasomi mnaosema chadema bado hawaifikkiii ccm kwa idadi
 
Hata hao wasomi mnaosema chadema bado hawaifikkiii ccm kwa idadi
Kwa maana hiyo unakiri Wajinga tunao wengi,Sasa Kama Wajinga ndio silaha ya CCM!?,itakubalije Hilo kundi liishe, Ni mjinga tu anaweza kukata tawi alilokalia!
 

Naona RUVUMA umeiandika mara mbili ili ionekane CCM ina mikoa mingi. By the way mikoa ya, RUVUMA, UNGUJA, TABORA Itakwenda upinzani

RUVUMA sababu ya Korosho
UNGUJA / Zanzibar nzima ni kambi ya maalim, itampa mtu yeyote ambaye Maalim ataendorse

TABORA, ngome ya CUF ya Zamani sasa hivi ni ngome ya ACT. Kwa hiyo itakwenda kwa mgombea ambaye ACT itamuunga mkono.

Wapinzani watachukua
1. Mbeya (Always upinzani huko)
2. Singida (kwa Lissu)
3. Mara (Ni ngome ya upinzani)
4. Arusha (Ngome ya Chadema)
5. Kilimanjaro (Ngome ya Chadema)
6. Dar es salam (Waelewa, Upinzani una ushawishi mkubwa)
7. Lindi (Korosho)
8. Mtwara (Korosho)
9. Kigoma (Kwa mwami Zitto)
10. Pemba (Kwa Maalim)
11. Kagera (Mishandling ya tetemeko)
12. Manyara (Ni ngome ya Chadema)
13. Iringa (Nguvu ya upinzani ni. kubwa)
14. Ruvuma (Korosho)
15. Tabora (Ngome ya zamani ya CUF, Sasa hivi ACT ina nguvu huko)

Mikoa ambayo CCM atashinda
1. Morogoro
2. Pwani
3. Rukwa
4. Mwanza
5. Geita
6. Dodoma

Mikoa watakayochuana vikali na kugawana kura sana ni

1. Songea
2. Shinyanga

Kwa kweli sioni ni kwa namna gani CCM anatoboa this time
 
Mleta Mada. Amini nakwambia, CCM hawashindi

1. RUVUMA
2.TANGA
3. MOROGORO
4. KATAVI
5. RUKWA
6. IRINGA
7. UNGUJA

Kuna mikoa ambayo kura za Magu na Lissu zinaweza kukaribiana usiniulize Kwa nini ila utakuwa unajua

1. SIMIYU
2. SHINYANGA

Kuna Mikoa Lissu/ Upinzani watashinda kwa kishindo
1. SONGWE
2. DAR ES SALAAM
3. MBEYA
4. KIGOMA
5. SINGIDA
6. LINDI
7. MTWARA
8. KILIMANJARO
9.ARUSHA
10. MANYARA
11. MARA
12. KAGERA

Tukutane October
 
Funny fact :
CCM capitalize region with low education and population as well, Meanwhile opp are well understood in educated areas and towns
But the game is not fair
Huko kwenye low eduction ndio aliko baba yako na mama yako na bibi yako na babu yako.
Why are you not targeting the uneducated to vote for you?
kama ni uneducated alafu wewe umeshindwa kuwashawishi basi they are smarter than you.
 
Acha kudanganya wewe mikoa kama simiyu, shinyanga sio ya ushindi wa ccm hata Sikh moja Mimi in mzaliwa wa huku na ninaishi huku usidanganye wadanganye wajinga wenzio mnaopigana mitama kwa utovu wa nidham kwenye majukwaa ya kisanii.
 
Funny fact :
CCM capitalize region with low education and population as well, Meanwhile opp are well understood in educated areas and towns
But the game is not fair
Huku unakoita kwenye educated, kura zinagawanwa.
 
Acha kudanganya wewe mikoa kama simiyu, shinyanga sio ya ushindi wa ccm hata Sikh moja Mimi in mzaliwa wa huku na ninaishi huku usidanganye wadanganye wajinga wenzio mnaopigana mitama kwa utovu wa nidham kwenye majukwaa ya kisanii.
Kanda ya ziwa ukitoa baadhibya maeneo ya mara ni sisiemu. Asilimia 90 hiyo kumi ndio uko wewe na wadau wenzako
 
Wale wa kanda ya ziwa ,hawawezi kumpa Kura kwa sababu wameshashitika yuke mgombea ni raia wa Burundi.
 
napatwa na ukakasi napoona vijana wasomi wanaipapatikia CCM na wakiwa huko hawafanyi juhudi yoyote nchi hii iongozwe kisasa tuondokane na ujima..yanaburuzwa tu na vizee vya chama
 
Kwa hiyo kupinga kila kitu na kushirikiana na mashoga ndio kuongoza kisasa ? Wewe usituletee ushabiki maandazi wako hapa. Lazima ujue kwamba CCM ina kura nyingi tu kwa mikoa yote ya Tanzania bara na Zanzibar.
Mashoga mnayo ccm nashirikiana nayo had yanashindwa kuzalisha yanaenfa kutafuta watoto wa test tube mfano makonda ni pure shoga lile na wengineo wengi nawahifadhi hata mgombe wenu ni shoga kwanini huwa anakaa na mashoga ikulu kwa mgongo wa kupokea wageni
 
Ccm inabadilika kulingana na wakati ndio maana leo imekuwa kimbilio la vijana wengi..

Wamejuwa tatizo sio ccm ila ni uongozi.

Suala la kupotea hiyo ni kanuni tu
 
CCM siyo hivyo ,ni kishoka kama China,Cuba,Angola,Vietnan ,angalia Symbol yao.Mambo ya Democrat na Republicans wapi na wapi hata katiba ya nchi yao ipo tofauti na yetu.
 
Ishu sio mikoa ishu Ni umeyaumiza Makundi ya ushindi katika Jamii,si wafanyakazi, wakulima,wavuvi,wafugaji, wafanyabiashara,wanafunzi,wahitimu nk woote wanakulilia wwe umeyabomoa maisha yao Hadi wengine wamekufa,ndoa zimesamaratika, familia zimesamaratika,wako vitandani wanaumwa,Wana maumivu ya kila aina.so ishu sio mikoa Kama ilivozoeleka ishu Ni njaa.njaa ndio uangusha serikali nyingi duniani.Nchi zote stable duniani ni kwa sababu zimeweza maliza au punguza njaa kwa wapiga kura.Thus wanatumia gharama kubwa Sana kujinadi waliyofanya sababu hayaondoi njaa kwa wananchi yanagusa wachache na sio wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…