Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.
Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.
Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA
MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.
Mikoa ya kugawana ni:
1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA
Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:
1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA
KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
Naona RUVUMA umeiandika mara mbili ili ionekane CCM ina mikoa mingi. By the way mikoa ya, RUVUMA, UNGUJA, TABORA Itakwenda upinzani
RUVUMA sababu ya Korosho
UNGUJA / Zanzibar nzima ni kambi ya maalim, itampa mtu yeyote ambaye Maalim ataendorse
TABORA, ngome ya CUF ya Zamani sasa hivi ni ngome ya ACT. Kwa hiyo itakwenda kwa mgombea ambaye ACT itamuunga mkono.
Wapinzani watachukua
1. Mbeya (Always upinzani huko)
2. Singida (kwa Lissu)
3. Mara (Ni ngome ya upinzani)
4. Arusha (Ngome ya Chadema)
5. Kilimanjaro (Ngome ya Chadema)
6. Dar es salam (Waelewa, Upinzani una ushawishi mkubwa)
7. Lindi (Korosho)
8. Mtwara (Korosho)
9. Kigoma (Kwa mwami Zitto)
10. Pemba (Kwa Maalim)
11. Kagera (Mishandling ya tetemeko)
12. Manyara (Ni ngome ya Chadema)
13. Iringa (Nguvu ya upinzani ni. kubwa)
14. Ruvuma (Korosho)
15. Tabora (Ngome ya zamani ya CUF, Sasa hivi ACT ina nguvu huko)
Mikoa ambayo CCM atashinda
1. Morogoro
2. Pwani
3. Rukwa
4. Mwanza
5. Geita
6. Dodoma
Mikoa watakayochuana vikali na kugawana kura sana ni
1. Songea
2. Shinyanga
Kwa kweli sioni ni kwa namna gani CCM anatoboa this time