Uchaguzi 2020 Ijue mikoa ya ushindi kwa CCM

Mmeshaiona mikoa ya mango'mbe safari hii yanaweza kuwageukia mpaka mshangae
 
Akifikisha hata 35% akatoe sadaka kea mizimu ya kwao
😂😂😂Yaani Huwa Nafurahi Kwa Ulevi Weñu wa kujipa matumaini yasiyopo😁😁....

Hamtaki Kukumbuka....
Hamtaki Kukumbushwa.....
Hamtaki Kujifunza......

Alikuwa Lowassa na Maguvu yake ya kila namna,Sembuse Tundu Lissu na hoja yake moja ya SHAMBULIZI MWILINI MWAKE?!!!

Haya wakati ni ukuta....
 
Mkuu Manyara ni ngome ya Chadema tangia lini?? Kuna wabunge wangapi wa CDM waliopigiwa kura huko Manyara ukilinganisha na wa CCM??

Alafu pia, Ruvuma Korosho ipo Tunduru tu. Huko kwingine wala hawaijui Korosho.. Huko kwingine unaweza ukawa sawa..
 
Labda unielimishe; hivi Lowassa alikuwa na nguvu gani? Au zilikuwa nguvu za soda tu..

Nakumbuka alisema ataipasua CCM katikati, najaribu kujiuliza hapa hivi ni viongozi gani waandamizi (wazito) wa CCM ambao Lowassa alihama nao??

Lowassa was nothing; hizo kura 6m alizikuta hukohuko upinzani...
 
Magufuli for 20
 
Lakini Sayansi ya Siasa inaweza badilishwa pia na kudra na Bahati! Au tukio ambako halikutarajiwa katika mazingira ya kawaida!
Tukio la ukatili alilofanyiwa Tundu Lissu litaibadilusha nchi hii! Iwe leo,kesho,kesho kutwa au mtondogoo !
Sio rahisi maana TL alishakuwa branded ntu mbaya ka Savimbi hadi vijijini wanamfahamu hivyo
 
Hakuna mkoa ambao upinzani utashinda Lisu anakwenda kupitwa na Hashimu Rungwe
 
Mkuu Wangu Kwa Hiyo Ulitaka Lowassa ahame na marehemu mzee Mkapa,Mwinyi,Warioba,Malecela et al?!!

Mbona Sumaye Waziri Mkuu Kwa Miaka 10 mfululizo naye alikwenda CDM...

Unataka kuniambia Lowassa hakupigiwa KURA na wafuasi wake Kindakindaki waliobakia CCM?!!!

Unataka kusema kina Matson Chizii,Mgeja na heavy weights wengine hawakuhamia CDM?!!!
Je katika wafuasi wao ambao hawakuunga ULIKO TUKO,na kubaki CCM walikosekana waliomchagua Lowassa?!!!!

Labda unatafsiri nyingine kuwa kiongozi mzito ni PM,wastaafu MaPM,na kupanda Juu...

We'll japo haihusiani,hv MEMBE si kiongozi mzito?!!
 
Kwa maandishi yako ya kashifa jiandae kuwafuata wenzako unaosema walipotezwa kama ni kweli JIHADHALI WAKATI WOWOTE TUNAKULA KICHWA MAANA UNATUTUKANA WAKATI UNAJUA MUZIKI WETU NI KULA VICHWA VYA WAJINGA KAMA WEWE HILO MOJA . PILI CHINA INACHAMA KIMOJA KABLA MZAZI WAKO HAJAZALIWA LAKINI NDIO TISHIO LA UCHUMI KWA HAO RAFIKI ZAKO DEMOCRATICS NA REPUBLICAN UPOOOOO?
 
Acha kudanganya wewe mikoa kama simiyu, shinyanga sio ya ushindi wa ccm hata Sikh moja Mimi in mzaliwa wa huku na ninaishi huku usidanganye wadanganye wajinga wenzio mnaopigana mitama kwa utovu wa nidham kwenye majukwaa ya kisanii.
Kwani mimi siishi mikoa hiyo? kwani Mimi sitembelei mikoa hiyo! uli nyoo shi?
 
Lowasa alishinda ule uchaguzi. Tulimwomba Mungu E.L asihamasishe wapiga kura wake kuingia barabarani (maana kungetokea umwagaji damu) Mungu akatujibu maombi yetu, amani ikaendelea kuwepo ili tumwabudu Mungu wetu kwa uhuru.


JESUS IS LORD!
Mnafiki wa kidini wee.....

Eti Lowassa Alishinda....

Mnapenda kusema UONGO huku mmejificha katika VICHAKA vya dini eeee?!!!

Acha kupotosha kizwazwa...
 
Wangefanya magazijuto hayo saa ngapi , wakati utawala wa ki dictator ulipiga marufuku shughuli za vyama vya siasa kwa miaka mitano mfululizo ili Ccm wafanye wao tu ???!!!.
Kwani ofisi zenu zilifungwa
 
Nchi nzima Hali ya wengi ni ngumu kimaisha sababu ya sera mbovu za kuwasomesha watz namba ili wawe masikini ili watawaliwe kirahisi.
Ujaona wasanii Jana wamejazana wanafanya ibada za kusifu sababu ya njaa
Mkuu ni wewe tu una hali ngumu, mie namalizia jengo la lodge hapa ili mwezi ujao niifungue, Karibu utumikie ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…