Ni kweli kabisa,na Kampeni ni lazima ufuate Sayansi...Mikoa ya Ziwa ina utitiri wa watu vijijini ambao hata matumizi y Choo kwao Ni kitendawili...wao kofia na T-shirt inatosha kabisa kumuweka Duniani!
Hii Ni ngome kuu ya wa watu fulani...na ukizingatia Ubagoshaaa! Kuna kazi kule!
Bahati nzuri kwa upinzani unakibalika miongoni mws wasomi, vijana na wajanja fulani...Hawa wengi wapo mijini...kutokana na vijiji fulani kugeuka kuwa vimiji,kwetu Karagwe tunauita Sentani' hapo Kuna kura za upinzani!
Na kwa mwelekeo huu ,ambapo pia Chama Tawala kimewekeza kwenye ,ukale,ujinga na mabavu.Bahati mbaya sana kwao kizazi kinachomaintain' status quo ya ukale ...TAA,TANU ,CCM ,NYEREREISMs kina potea kinapitea Kama Dinassours ...huu Ni msiba kwa CCM!Kwa hiyo
bila hata kuangalia uchaguzi wa Mwaka huu, CCM inapoteza waachama wake wa damu by default[emoji23]..
Na Kama itatokea Awamu ya Tano ikaendelea [emoji30][emoji30] na wakawepo pale ,Polepole, Bashiru, na vile vikuu vya Mikoa fulani CCM utakuwa inajimomomnyoa' yenyewe!
Dalili hizi Ni wazi...na hivi Ni Viashiria...Mwaka huu kwa Mara ya kwanza mgombea wa upinzani Ni mpinzani🤗🤗! ;Nguvu kubwa iliyotumika kuua upinzani kwa miaka 5 haijazaa matunda;Dhana ya upinzani imeanza kujibainisha zaidi kifikra,hii Ni hatarikubwa kwa Chama chenye asili ya Ukomunisti!
Vindakiki,wafurukutwa na wakereketwa hamuwezi elewa Sayansi hii!