Uchaguzi 2020 Ijue mikoa ya ushindi kwa CCM

asante mkuu kwa kumwelimisha huyo
 
Na Mimi ninachojua tu ni kwamba hiyo Mikoa Kenda ( Tisa ) ya Kugawana Kura ikiwemo ya Mara na Mtwara ndiyo yenye Watu Werevu mno Nchini.
 
Kenya wezi, hivyo nawe ni mwizi?
 
Nilikuwa nategemea viongozi kama Ex Ministers wa wakati ule, Viongozi wazito wa CCM wa pale Lumumba wa wakati ule (Muenezi, Katibu Mkuu and the like), lakini eti alihama na Mgeja teh teh teh seriously?? Huyo Mgeja alikuwa na uzito gani ndani ya Chama??

Alafu hao ulipo tupo ni akina nani haswa?? Ebu tuzungumzie wawili ambao walijitoa kimasomaso na impact yao pia..

Kuna Nchimbi, huyu mngoni pamoja na kuwa mfuasi wa EL na kiongozi mzito ndani ya mkoa wa Ruvuma. Lowassa na CDM hawakupata jimbo lolote huko Ruvuma.

Huyo Mgeja; alikuwa Mwenyekiti CCM Shinyanga. Huko Shinyanga CDM haikuambulia hata jimbo moja. Huyu nae alikuwa na impact gani??

Mama Sophia Simba; huyu nae sijui hata nimuongeleaje. Pamoja na kuwa Mwenyekiti wa CWT kwanza alikuwa mnafki kuhamia upande wa pili, lakini pia hata kushawishi wanawake wenzake kuhama na kwenda kuongeza nguvu BAWACHA.

Lowassa alizungukwa na opportunist tu, huko CCM alihama mwenyewe kura alizikuta Upinzani.
 
 
Ndugu Yangu Yericko Nyerere Imfikie Hii.....

Yale Mafuriko Ya Lowassa Yaliyomsomba Mwenyewe Yaliwapa Kura 6M.....
Uchaguzi Huu Kura Hizo Sizioni......

Tundu Lissu Akifikisha Kura Za Ujumla 3M,Mimi Nita......

Thubutuuuu......
Mimi akifikisha 2M nipigwe ban six months.



MAGUFULI4LIFE.
 
Mkuu Nikijikita kwenye suala la KURA usemazo Lowassa ALIZIKUTA UPINZANI..Ina Maana Japo ya kwamba wale wafuasi wake wa NEC(70% walikuwa kwake) hawakuhama NAYE ukiacha Khamis Mgeja aliyekuwa ndiye Mwenyekiti wake wa uhamasishaji,wafuasi HAO WaNEC wana ufuasi mkubwa kushuka huku CHINI....Kwa hyo wote Hao na Watu wao mashinani WALIMCHAGUA Magufuli?!!!!

Nakukumbusha kuwa Magufuli alipata kulalama binafsi na akaungwa Mkono na Abdallah Bulembo kuwa baadhi ya WATU WAO wa karibu WANAIIMBA CCM kweupe,Giza likiingia tu wanaihanikiza kivitendo sauti ya Lowassa aliye Ukawa.....

Halafu umetaja OPPORTUNISTS well kila mtu na mtazamo wake....hivi Jalia Lowassa angeshinda kule Ukawa....hivi akina Dr Nchimbi,Mama Simba,Sadifa Juma Khamis,wale WANEC wa Lowassa WASINGEHAMIA Chadema hata baada ya miaka 2 kupita ?!!!

Mara Nyingi Wasiokuwa hao "OPPORTUNISTS" Usemao Ni wale wapiga KURA walio wengi,Wasiokuwa katika ujumbe Wala Uongozi wa vyama kutoka mashinani,wale watu wasioaspire hata kugombea hayo.Wale Wenzangu na mimi tusio na elimu lakini wafuasi Kindakindaki Wa vyama vyetu....Waliobaki ima wawe CCM ama upinzani huwenda wakawa OPPORTUNISTS tu.....

Waitwao OPPORTUNISTS wako hata CHADEMA....wanasubiri Lissu ashinde😁😁😁😁
 

Je, endapo ikibainika huyo mgombea amekwenda huko kwa kazi maalum?
 

Ndg inaonekana CCM hauijui hivyo nakuombe tar 29 usijeingia mitini. Tanzania hakuna upinzani wa kuweza kushinda chama taasisi na dola kama CCM.
 
Makada wa Lumumba Mnajitahidi sana kujipa moyo ila mkae mkijua kuwa 2020 NI YEYE YULE Hakuna wa kumzuia hao mnaowaona wamemkubali pasipo kuhongwa hata dagaa

Endeleeni kujifariji kwa kuhonga chumvi za mawe na vipande vya sabuni huko ila mjue wa TZ wa leo sio wale wa enzi ya ccm kushika hatamu mtaelewa Oct 28
 
Mkuu ni wewe tu una hali ngumu, mie namalizia jengo la lodge hapa ili mwezi ujao niifungue, Karibu utumikie ndugu
kwa wapiga dili wachache wa awamu hii kama wewe ndo wenye kunufaika,kama upo kwenye mradi wa kununua wapinzani,kupata tenda sababu wwe ni the same trible,au milizipiga kwenye burea de change za watu,au upo kwenye channel za kubargain 20% za wahuhjumu uchumi ili wanunue uhuru wao utashindwa vipi kujenga lodge.But watz wengi hali ni mbaya kwa sababu yenu ,mmeuwa sekta binafsi ili msomeshe namba watu ili wakuabuduni.
 
Funny fact :
CCM capitalize region with low education and population as well, Meanwhile opp are well understood in educated areas and towns
But the game is not fair

CCM does not win in any region my dear. Those are the figures massaged by the National Electrol Commission. They have not been winning since the second term of Kikwete. The sadist in power got very few votes. We need to stand-up for our rights, right to be led by the leader we voted for.
 
KWenye orodha ongeza na Singida, mikoa inayoipenda CCM ndiyo hiyo imejaa mafukara wa kutupwa
 
Katika hiyo mikoa sijui kama huyu jamaa amefanya analysis ya population pia.

Kwa sasa municipals,cities,town zote nchi hii ccm inapata upinzani mkali. Huko population yake unaielewa.

Nafuu yao huwa ni kutotilia maanani kupiga kura. Lakini ikija hatua ya wote kwenye hayo maeneo kupiga kura..ya wajumbe yatajitokeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…