Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kama vikao vya ndani tu walikuwa wanakamatwa, lakini bado waliotanya siasa miaka mitano bado hawajiamini.Kwani ofisi zenu zilifungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vikao vya ndani tu walikuwa wanakamatwa, lakini bado waliotanya siasa miaka mitano bado hawajiamini.Kwani ofisi zenu zilifungwa
asante mkuu kwa kumwelimisha huyoBring fact to support your case. Which are those "educated areas"? What criteria you use to consider an area as educated one? Bring up figures that support you idea that opposition is understood in "educated areas"? One thing I would advise you is that avoid generalisation when trying to drive you argument that is not backed up with tangible facts
Truewe ulishawahi kuona watu wenye akili timam wanashabikia cdm? vichaa vichaa tu ndo wamejaa uko! na wengine wameamua kuwakimbia
Kenya wezi, hivyo nawe ni mwizi?Hakuna chochote cha maana ambacho awamu hii kimefanyika kwa mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Katavi.
Njombe mpaka vijijini, trna wana-CCM, wanatamka wazi kabisa, hawamtaki Magufuli. Sababu zao zipo wazi kabisa. Kuzuia kuuza mahindi nje ya nchi na kuharibu uhusiano na Kenya kiasi cha mbao zao kukosa soko la uhakika.
Kutokana na amri aliyoitoa ya kuzuia mahindi kuuzwa nje ya Tanzania miaka 3 iliyopita, mwaka uliofuatia wakulima walikosa kabisa soko la mahindi yao mpaka kufikia gunia la kilo 100 la mahindi kuuzwa kwa sh elfu tisa (9,000). Wengi wa wakulima, mpaka leo wameshindwa kulipa mikopo kwenye taasisi za fedha, na wengi wamefilisiwa mali zao walizowekea dhamana.
Sent using Jamii Forums mobile app
very goodPure Nosense,hao wenye elimu ndogo ni wepi na wenye elimu kubwa ni wepi ila mwenye akili timamu hawezi kumpigia kura lisu
Nilikuwa nategemea viongozi kama Ex Ministers wa wakati ule, Viongozi wazito wa CCM wa pale Lumumba wa wakati ule (Muenezi, Katibu Mkuu and the like), lakini eti alihama na Mgeja teh teh teh seriously?? Huyo Mgeja alikuwa na uzito gani ndani ya Chama??Mkuu Wangu Kwa Hiyo Ulitaka Lowassa ahame na marehemu mzee Mkapa,Mwinyi,Warioba,Malecela et al?!!
Mbona Sumaye Waziri Mkuu Kwa Miaka 10 mfululizo naye alikwenda CDM...
Unataka kuniambia Lowassa hakupigiwa KURA na wafuasi wake Kindakindaki waliobakia CCM?!!!
Unataka kusema kina Matson Chizii,Mgeja na heavy weights wengine hawakuhamia CDM?!!!
Je katika wafuasi wao ambao hawakuunga ULIKO TUKO,na kubaki CCM walikosekana waliomchagua Lowassa?!!!!
Labda unatafsiri nyingine kuwa kiongozi mzito ni PM,wastaafu MaPM,na kupanda Juu...
We'll japo haihusiani,hv MEMBE si kiongozi mzito?!!
Sisiem hamna letu, ndio Mana presha zishawqpanda!Vipi bado unavutaga marihuana za Arumeru!!
😂😂😂Yaani Huwa Nafurahi Kwa Ulevi Weñu wa kujipa matumaini yasiyopo😁😁....
Hamtaki Kukumbuka....
Hamtaki Kukumbushwa.....
Hamtaki Kujifunza......
Alikuwa Lowassa na Maguvu yake ya kila namna,Sembuse Tundu Lissu na hoja yake moja ya SHAMBULIZI MWILINI MWAKE?!!!
Kila mtu kamchoka, Labda izo unahisi wewe apigiwe na Bomba na flai ova!
Haya wakati ni ukuta....
Mimi akifikisha 2M nipigwe ban six months.Ndugu Yangu Yericko Nyerere Imfikie Hii.....
Yale Mafuriko Ya Lowassa Yaliyomsomba Mwenyewe Yaliwapa Kura 6M.....
Uchaguzi Huu Kura Hizo Sizioni......
Tundu Lissu Akifikisha Kura Za Ujumla 3M,Mimi Nita......
Thubutuuuu......
Ni kweli kabisa,na Kampeni ni lazima ufuate Sayansi...Mikoa ya Ziwa ina utitiri wa watu vijijini ambao hata matumizi y Choo kwao Ni kitendawili...wao kofia na T-shirt inatosha kabisa kumuweka Duniani!
Hii Ni ngome kuu ya wa watu fulani...na ukizingatia Ubagoshaaa! Kuna kazi kule!
Bahati nzuri kwa upinzani unakibalika miongoni mws wasomi, vijana na wajanja fulani...Hawa wengi wapo mijini...kutokana na vijiji fulani kugeuka kuwa vimiji,kwetu Karagwe tunauita Sentani' hapo Kuna kura za upinzani!
Na kwa mwelekeo huu ,ambapo pia Chama Tawala kimewekeza kwenye ,ukale,ujinga na mabavu.Bahati mbaya sana kwao kizazi kinachomaintain' status quo ya ukale ...TAA,TANU ,CCM ,NYEREREISMs kina potea kinapitea Kama Dinassours ...huu Ni msiba kwa CCM!Kwa hiyo
bila hata kuangalia uchaguzi wa Mwaka huu, CCM inapoteza waachama wake wa damu by default[emoji23]..
Na Kama itatokea Awamu ya Tano ikaendelea [emoji30][emoji30] na wakawepo pale ,Polepole, Bashiru, na vile vikuu vya Mikoa fulani CCM utakuwa inajimomomnyoa' yenyewe!
Dalili hizi Ni wazi...na hivi Ni Viashiria...Mwaka huu kwa Mara ya kwanza mgombea wa upinzani Ni mpinzani[emoji847][emoji847]! ;Nguvu kubwa iliyotumika kuua upinzani kwa miaka 5 haijazaa matunda;Dhana ya upinzani imeanza kujibainisha zaidi kifikra,hii Ni hatarikubwa kwa Chama chenye asili ya Ukomunisti!
Vindakiki,wafurukutwa na wakereketwa hamuwezi elewa Sayansi hii!
Naona RUVUMA umeiandika mara mbili ili ionekane CCM ina mikoa mingi. By the way mikoa ya, RUVUMA, UNGUJA, TABORA Itakwenda upinzani
RUVUMA sababu ya Korosho
UNGUJA / Zanzibar nzima ni kambi ya maalim, itampa mtu yeyote ambaye Maalim ataendorse
TABORA, ngome ya CUF ya Zamani sasa hivi ni ngome ya ACT. Kwa hiyo itakwenda kwa mgombea ambaye ACT itamuunga mkono.
Wapinzani watachukua
1. Mbeya (Always upinzani huko)
2. Singida (kwa Lissu)
3. Mara (Ni ngome ya upinzani)
4. Arusha (Ngome ya Chadema)
5. Kilimanjaro (Ngome ya Chadema)
6. Dar es salam (Waelewa, Upinzani una ushawishi mkubwa)
7. Lindi (Korosho)
8. Mtwara (Korosho)
9. Kigoma (Kwa mwami Zitto)
10. Pemba (Kwa Maalim)
11. Kagera (Mishandling ya tetemeko)
12. Manyara (Ni ngome ya Chadema)
13. Iringa (Nguvu ya upinzani ni. kubwa)
14. Ruvuma (Korosho)
15. Tabora (Ngome ya zamani ya CUF, Sasa hivi ACT ina nguvu huko)
Mikoa ambayo CCM atashinda
1. Morogoro
2. Pwani
3. Rukwa
4. Mwanza
5. Geita
6. Dodoma
Mikoa watakayochuana vikali na kugawana kura sana ni
1. Songea
2. Shinyanga
Kwa kweli sioni ni kwa namna gani CCM anatoboa this time
Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.
Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.
Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA
MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.
Mikoa ya kugawana ni:
1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA
Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:
1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA
KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
kwa wapiga dili wachache wa awamu hii kama wewe ndo wenye kunufaika,kama upo kwenye mradi wa kununua wapinzani,kupata tenda sababu wwe ni the same trible,au milizipiga kwenye burea de change za watu,au upo kwenye channel za kubargain 20% za wahuhjumu uchumi ili wanunue uhuru wao utashindwa vipi kujenga lodge.But watz wengi hali ni mbaya kwa sababu yenu ,mmeuwa sekta binafsi ili msomeshe namba watu ili wakuabuduni.Mkuu ni wewe tu una hali ngumu, mie namalizia jengo la lodge hapa ili mwezi ujao niifungue, Karibu utumikie ndugu
Funny fact :
CCM capitalize region with low education and population as well, Meanwhile opp are well understood in educated areas and towns
But the game is not fair
KWenye orodha ongeza na Singida, mikoa inayoipenda CCM ndiyo hiyo imejaa mafukara wa kutupwaIfuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.
Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.
Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA
MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.
Mikoa ya kugawana ni:
1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA
Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:
1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA
KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.