Ijue mila ya kubadilishana wake ili kuukwepa uchawi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001


JE UNAJUA??
Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina??

Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya uchawi au kufanyiwa vitendo vya kishirikina

Je wewe unaweza kubadilishana mke na mwanaume mwenzio kwa sababu yoyote ile??
 
Kama ni kweli, basi uswahilini kungekuwa na amani sana. Uko kuna uchawi, uchepukaji na ushirikina.
 
Unamkwepa mchawi unawahi ukimwi.


Kazi ni kipimo cha UTU
 
Hiyo isije bongo, ngoma itaenea sana
Mbona kuna kabila zinahalalisha kushiriki mke mfano wagogo, hasa makabila ya wafugaji. Chunguza mengine unaruhusiwa mke wa kaka zako nawe wadogo zako mke wako halali yao. Makabila yana mila tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…