Ijue nchi ya Ugiriki/ Uyunani (Mama wa nchi za Ulaya)

Ijue nchi ya Ugiriki/ Uyunani (Mama wa nchi za Ulaya)

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,238
1) Nchi ya Ugiriki/ Uyunani inapatikana upande Kusini Mashariki mwa bara ka Ulaya. Nchi hii imepakana na nchi ya Albania, Macedonia Kaskazini, Uturuki na Bulgaria na pia imepakana na bahari ya Mediteranea

2) Nchi ya ugiriki ulipata uhuru wake mwaka 1821. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2017 ina watu milion 10. Mji Mkuu wa nchi hii unaitwa Athens. Na asilimia kubwa ya ardhi ya nchi hii ni milima.

3) Kauli mbiu ya nchi hii ni "UHURU AU UMAUTI"

4) Ugiriki ndio nchi ya kwanza kuanzisha mfumo wa demokrasia kwa kuruhusu watu kupiga kura. Mfumo huo ulianzishwa tokea karne ya 5 kuchagua viongozi. Japo kuwa mfumo huu uliruhusu watu wachache ambao ni lazima awe Mwanaume na awe mtu mzima. Kwa hiyo Wanawake, watumwa na wageni hawakuruhusiwa kupiga kura

5) Ugiriki ndio nchi inayoongoza duniani kwa raia wake kufanya mapenzi sana. Yaani namba moja ugiriki ikifuatiwa na Brazil

6) Lugha ya Kigiriki ndio lugha kongwe zaidi duniani inayoandikwa ambayo bado inatumika. Ni kweli huwezi kuzitaja lugha kongwe dunia bila kuitaja lugha ya Kigiriki. Lugha hii ya Kigiriki imetumika zaidi ya miaka 5,000 iliyopita lakini bado inatumika hadi leo katika maandishi

7) Jina halisi la Ugiriki ni UYUNANI kwa hivyo Ugiriki sio jina halisi la nchi ya Ugiriki

8) Michezo ya olimpiki ilianzia nchini Ugiriki

9) Neno 'Music" limetokana na neno jina Muses ambalo ni jina la Mungu wa sanaa katika imani za Wagiriki

10) Watalii wanaotembelea nchi ya Ugiriki kwa mwaka ni wengi kuliko Raia wenyewe. Raia wa Ugiriki ni Million 10 lakini kwa mwaka wanapokea Watalii Milioni 16

11) Raia wa ugiriki ni lazima kupiga kura wala sio hiyari

12) Ugiriki ni miongoni mwa nchi zinazozalisha mafuta ya mzeituni kwa wingina kuna mizeituni iliyopandwa tokea karne ta 13 hadi leo bado inatumika kuzalisha mafuta

13) Mji Mkuu wa Ugiriki ndio Mji mkongwe zaidi Ulaya ulianza kukaliwa na watu miaka 7000 iliyopita na ndio kitovu cha ustaarabu wa Ulaya, Siasa, Falsafa, Michezo, Hesabu, Fasihi, Historia na nadharia mbali mbali

14) Ugiriki ina visiwa zaidi ya 2000 lakini ni visiwa 170 tu ndio vinakaliwa na watu

15) Hadi kufikia miaka ya 1990 bado mpinzani mkubwa wa nchi ya Ugiriki alikuwa ni Uturuki. Nchi hizi zilikuwa kwenye maelewano mabaya kwa miaka mingi sana. Mwaka 1999 kulitokea tetemeko la ardhi na nchi hizi zikasaidiana na hapo ndipo uhusiano wa nchi hizi mbili ukaimarika

16) Ukiwa Ugiriki usimsalimie mtu kwa kumpungia mkono huku kiganja chako ukiwa umekichanua hiyo ni ishara ya matusi bali kunja mkono ndio umpungie

17) Archimedes, Pythagoras, Apollonius, Euclid wote hawa ni Raia wa Ugiriki

18) Kama ulikuwa hujui Ugiriki ilishawahi kuitawala Ufaransa, Urusi na Uturuki

19) Alexandra The Great Ndio kiongozi wa kwanza wa Kigiriki kuweka sura yake kwenye sarafu ya Ugiriki. Kabla ya hapo waliweka sura ya miungu yao

20) Nchi ya Ugiriki ndio ina kiwango kidogo cha talaka Barani ulaya na pia ndio nchi yenye kiwango kikubwa cha utoaji mimba kwa Bara la Ulaya

21) Asilimia 10 ya Wagiriki hawana ajira. Hata kama umepiga kitabu ni ngumu kupata ajira

22) Asilimia 7 ya marumaru duniani inatokea Ugiriki

23) Hadi mwaka 1950 ni asilimia 30 tu ya Wagiriki ndio walikuwa wamesoma lakini kwa sasa ni asilimia 95 ya Wagiriki wamesoma

24) Mpira wa miguu ndio mchezo wa Taifa katika nchi ya Ugiriki

25) Ugiriki ndio nchi ya kwanza kutengeneza majalala ya manispaa hayo yakifanyika miaka 500 kabla ya kuzaliwa YESU KRISTO
 
Ina watoto wakali sana hasa mkoa wa Thrace uliopakana na Uturuki. Yani utitiri wa papuchi uliozaga wewe ni kuokota tu plenty of eligible puseeys scattered its upon you to pick.

Pia mji wa Dedropotumus ambapo kuna papuchi za kumwaga yani utitiri maamaee
Aisee ile Avatar nyingine ndiyo tumeizoea na imekuwa kama Logo yako mkuu. Hii umeweka umekua kama Ben Kinyaia bana.
 
beer.jpg

Kule kunako Uyunani ya kale, beer ilionekana kuwa ni kinywaji maalumu kwa ajili ya wanawake tu.

Wanaume walikuwa wakipiga mvinyo na mivinyo yao haikuwa kama hii ya leo.

Ilikuwa very strong na tamu sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wagiriki wa Jamii ya Roma gypsies wazuri nyii acheni. Kuna kamji kanaitwa Komotini huko mkoa wa Thrace ambapo umepakana na Uturuki yani kuna watoto wakaree vibaya sana nikisema watoto wakaree namaanisha ni wakali kweli. Ni mji mdogo ila umevarikiwa kwa watoto wakaree na ni jamii maskini kuna kamsemo nchi maskini ulaya kuna wanawake wazuri.

Pia kwenye huu mji kuna Democritus University ina International students wengi kutoka mataifa mbalimbali. Wakifika ni kutandaza miti tu at will.

Kuna mashamba makubwa ya kilimo cha matunda hasa machungwa.

Nimefika mwenyewe binafsi Thrace inatamkwa Traki mji wa Komotini ninaposema Kuna watoto wakaree namaanisha kweli maamaee
 
Watalii wanaotembelea nchi ya ugiriki kwa mwaka ni wengi kuliko raia wenyewe. Raia wa ugiriki ni milion 10 lakini kwa mwaka wanapokea watalii milion 16.
Dah!..utalii mzuri sana
 
Back
Top Bottom