Hivi ni nini maana ya [emoji117]Meli ya Mgiriki??
Huu umaarufu wa hili jina la [emoji117]Meli ya Mgiriki ulitokana na nini??
Anae jua naomba atusaidie.
View attachment 1347670
KUCHOMA MELI MOTO,
The ancient Greek warriors ni moja kati ya Majeshi yaliyo yanapambana kwa nguvu zote katika historia ya Majeshi ya Enzi Hizo, Na hii si kutokana na walivyo fundishwa au Silaha walizo kuwa nazo, no ni kutokana na Commitment yao ya Kushinda Vita waliyo kuwa nayo.
Wagiriki walivyo kuwa wakifika Pwani ya Maadui wao Cha kwanza ambacho Kamanda wao alikuwa akiwaamulisha wanajeshi wafanye ni Kuchoma Meli zote zilizo wafikisha pale, Na wanajeshi kwa Pamoja walikuwa wakichoma Meli zote Moto, MESSAGE HAPA ILIKUWA NI CLEAR KABISA,
1. There was no Turning Back
2. There was no retreat
3. No surrender
The only way out was Forward, Na ni Victory or Death, na hakuna outcome nyingine zaidi ya hizo Mbili za Kushinda Vita au Kuuwawa. Na hii stail iliwahi kutumiwa na Wamexco katika vita miaka ya 1500 Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakiona Meli zao zikiwaka Moto walikuwa wanaogopa sana na wanajua kabisa hakuna Kurudi Nyuma, hakuna kujisalimisha, ila kazi ni Moja tu kushinda Vita, Katika Maisha tunahitaji kufanya kila liwezekanalo kufanya maamuzi ambayo ni sahihi kabisa, hatuwezi kuwa sahihi muda wote lakini ukifanya analysisi utagundua hakuna kisicho wezekana. Ila tumekuwa tukikutana na vikwanzo vingi sana vinavyo tufanya Safari yetu isifike popote pale
1. Vikwazo kutoka kwa Familia yako
2. Marafiki
3. Ndugu jamaa na Marafiki
4. Wafanya kazi wenzako
5. Uoga wa hali ya Juu.