Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar-instanbul( Atatürk airport) then instanbul -Athensmkuu Corona ikiisha nikitaka kwenda napandia wapi mimi?
Mkuu umenena ukweli,ukitoa nchi ya Netherlands nchi inayofuata kwa usodoma ni GreeceInchi ya SODOMA ni IPI?mbona wana sema visiwa vingi ni sababu ya inchi kuzamishwa,,na inasemekana kuna mahali unaona mabaki ya majumba CHINI ya maji.BAHARI IKITULIA,,kama sio hyo SODOMA basi kuna DALILI hata hyo GREECE ilizamishwa,,..miaka ya zamani sana,, na hilo la ushoga ni namba moja,,tena MASHOGA matajiri kabisa,watu na MAKAMPUNI YAO..hata WANAUME wa KIGIRIKI WENGI SIO WAGEGEDAJI... Unaweza kukuta MTU na MKEWE lakini MWANAMKE ANAGEGEDWA NA DUME NJE SABABU MUMEWE HAWEZI KUGEGEDA.. Na MUME ANAGEGEDWA..,ila ni SHOGA SMART...shoga anakuwa na family kabisa na watoto...,,ukimwona ni gentleman kabisa LAKINI ni shoga...wapo vijana WENGI wa Kiafrica wenye tamaa wanarudi africa maisha poa,,kumbe kazi yake ni KULIPAKUWA SHOGA,,,na wanakulipa VIZURI SANA TU...ushahidi UPO..MKUU nimekaa HAPO.. mwaka PERAUS NA ATHENA , ATHLONIC...pia WANAUME wa KIGIRIKI hawapendi KUONA WANAWAKE WA KIGIRIKI WANAGEGEDWA na MTU MWEUSI... wana UBAGUZI FULANI HIVI..weusi WENGI wanagegeda WANAWAKE weusi mfano wa Ethiopia ndy watu wanawakamata sana kwa urahisi au WAZUNGU wa ulaya ya VISHOKA..mfano Albania,,Romania,Yugoslavia.. Nk... Siku moja nipo ATHENA kwenye internet,, nacht mtandao Fulani unaitwa tagged,,ilikuwa napenda sn kuperuzi mtandao ule,,nikaona MTU kanitext , HELO ..nikasema nani tena? Nikauliza jinsia yako nini? akanijubu check profile,, kuchek ..duu kumbe ni GAY..jamaa akaanza kuniuliza maswali naishi wapi na nipo na nani? Mara anasema kapenda NDEVU ZANGU na hili koromelo la shingoni,, nikawa sijamuelewa bado shida yake kwangu..kipindi hicho bado sijakuwa baharia,, napiga mishe za MITAANI..2010 ,,.jamaa alikuwa na umri kama na 40 hivi ,,basi akaanza kunitongoza sna,,akasema yeye ana family yake,,na watoto na mke. ,,pia hawajuwi kama SHOGA,,,ana makampuni mawili huko athlonic na athena ,, atanipangia sehemu,,atanilipa pesa niwe NAMTINDUA MFEREJI.,,nikamwambiya Nina uhakika gani kama yeye ni shoga? akafunguwa WEBCAM camera TUKAWA tunaonana live kupitia monitor ya computer,,,akasema nifanye nini ili uniamini kama kweli ni shoga? Basi nilimshawishi avue nguo zote ,,, dk 2 Yule jamaa,, alikuwa uchi wa MBUZI...nikamwambiya geuka nione mzigo,,yule MZUNGU bila ajizi aligeuka akainama,,duu,, kweli ni shoga kamili,,dalili zote za Njia ya chooni kutumika kwa KAZI INGINE zilikuwapo, marinda kwa haraka haraka sidhani kama hata kumi yalifika,,, nilishangaa sana,,,sikuwahi kukutana na kitu kama hicho tangu niishi pale,,,,aisee,,kumbe kwa pembeni kuna jamaa mmoja wa NIGERIA alikuwa anaona Yale mazungumzo,,basi alicheka sn ,,MZUNGU akaauliza upo wapi mbona jamaa wanacheka? nikamjibu nipo net,,ila jamaa wanacheka na zao, basi yule MZUNGU akatoa namba ya SIMU na location alipo nimfate NIKAMTINDUWE MFEREJI....DUU.. nikasema mimj pamoja na maisha yangu ya kuungaunga siwezi KULITINDUA DUME LENZANGU...yule NIGERIAN akaanza kunishawishi niende,,akasema watu kibao wanaishi hivyo,,tena ukimpata tajiri hesabu umetoka kimaisha.,NIKAMJIBU over my dead body ,,, mimi siwezi....basi nilimpa yeye ile namba amfate,,Mimi nikamblock yule MZUNGU,,kwenye mtandao ule sasa sijuwi waliishia vipi? Maana haikupita mwezi nilitoka GREECE.... Kuna SEHEMU tulipanga kama watu 3 hivi..mjengo poa tu.hapo ATHENA,, .tulikuwa tunalipa kama euros 400 kwa mwezi kipindi hicho..2010.. basi sisi tukawa floor ya juu kabisa..bado ilikuwa ni wageni na hatujuwi taratibu za pale,,, ikawa tunamambo ya kibongo Mara tumefanya hiki Mara sogeza kile mle ndani,,,kumbe kwa pale Greece mchana kuanzia SAA saba hadi SAA Tisa HUWA WENYEWE wanapenda kulala muda huo unakuta ghorofa zima kupo kimya kabisa,,vile tukigonga vitu ndani wao wanashindwa kulala floor za chini yetu...hyo siku akaja Dada mmoja. Kama miaka 30 hivi,,akagonga chumba chetu,,,nikatoka nje,,maana wagiriki WENGI hawajuwi lugha ya MKOLONI.. bahati yule Dada anajuwa lugha ya MKOLONI,, akaeleza kwanini tunagonga vitu wao hawalali,,,next time tukisumbuwa watashitaki,,POLICE....,basi yule Dada ikawa tumezoeana kuanzia hapo ,,akiniona hanipiti,,,siku moja napanda ngazi nikakutana nae,,akaniuliza unakwenda wp? nikamwambiya nipo tu around,,akanambiya wenzio wapo wapi? nikamjibu wametoka so nipo alone,,nimeona nipo bored,,akanambiya njoo ROOM kwangu ,kama hutojali,,nikamjibu mume wako yupo? akasema yule hakai sana hapa,,yupo mji mwingine kikazi,,nikavunga nipo busy nikirudi napitia kwake,,kama nusu SAA nilirudi lakini sikupita kwake,,SABABU sikujuwa nini haswa anahitaji toka kwng.. Dk kumi nyingi nasikia mlango unagongwa,,kufunguwa ni yeye,,ananambiya njoo kwngu Mara moja,,,nikatoka tukaingia kwake,,na ilikuwa ANAINGIA kwa kujiiba WAZUNGU wengine wasione MTU MWEUSI ANAINGIA mle ndani na Dada wa KIGIRIKI,, tulipokuwa ndani alinieleza vingi kuhusu MWANAUME wake,,kwamba hamgegedi,, na hata akigegeda hana NGUVU ,,na amekuwa akienda umbali MREFU kumfata MWANAUME amgegede,,sababu mimi nipo karibu nimsaidie hilo,, DUU ,,,....SIKUMKAWIZA ALISHANGAA ANAPATA DOZI NZITO Kali ya KIBONGO ambayo hajawahi pata,,,tangu siku hyo ikawa kama nimeoa,,hata MUMEWE akiwepo anajiiba ANAKUJA kwangu NAGEGEDA KIMTINDO... basi wale wabongo wenzangu wakaanza wivu,,Mara wachana na huyo mwanamke hujafata MAPENZI,,Mara MUMEWE akijuwa utatuletea police..Mimi sikujali NAMGEGEDA tu ,,mdada alipagawa sana hata siku naondoka GREECE ilibidi nimdanganye nakwenda PERAUS ..mji mwingine, alihuzunika sana,,,yeye pia alinithibitishia kwamba WANAUME WENGI wa GREECE sio wagegedaji....WENGI hawana nguvu na ni MASHOGA ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi iliyotulia kwa masomo ni UK, Germany,NerthelandsMkuu inaonesha una experiance sana na nchi za wakoloni nataka nikasime master's sasa sijui ni chague nchi gani msaada apo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa inayozungumziwa Ni Greece na sio Turkey kwa ErdoganKwa Erdogan kwaweza kuwa sehemu ya kuanzia ustaarabu pale kweli!
Mbona nchi inapenda vita na kiongozi huyo kajigeuza mfalme!
Sent using Jamii Forums mobile app
"Thrace [emoji57], a swamp of piss and shit..."-doctore onemausIla wagiriki wa Jamii ya Roma gypsies wazuri nyii acheni. Kuna kamji kanaitwa Komotini huko mkoa wa Thrace ambapo umepakana na Uturuki yani kuna watoto wakaree vibaya sana nikisema watoto wakaree namaanisha ni wakali kwelix2 maamaee. Ni mji mdogo ila umevarikiwa kwa watoto wakaree na ni jamii maskini kuna kamsemo nchi maskini ulaya kuna wanawake wazuri.
Pia kwenye huu mji kuna Democritus University ina International students wengi kutoka mataifa mbalimbali. Wakifika ni kutandaza miti tu at will.
Kuna mashamba makubwa ya kilimo cha matunda hasa machungwa.
Nimefika mwenyewe binafsi Thrace inatamkwa Traki mji wa Komotini ninaposema Kuna watoto wakaree namaanisha kweli maamaee
Even it's cities ,it ends with "s" i.e Athens, Tripolis,iraklis,Piraeus, etcHii inaweza kukupa mwangaBila kusahau jina Ulaya au Europe jina la bara la ulaya limetokana na jina la mama yake mfalme Minos wa Crete Ugiriki
Pia ndio watu wa kwanza kutumia kondom ambazo zilitokana na utumbo mpana au vibofu vya wanyama kama ng'ombe, mbuzi, kondoo nk
Pia majina karibu ya wanaume wote yanaisha na S mf Alexis Tspiras, Dimitros Krigiakos nk
Ila pia ni wakristo wa madhehebu ya Orthodox
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀Jon Stephano,
Kutoka Thrace kuna Jamaa yangu (Business Mate/Rafiki) anaitwa hivyo hivyo Thrace Selemaj Aldiue anayo asili ya Albania na Turkey.
Mdogo wake wa kike Sofia nikimtazama huwa sielewi hivi. Lakini nitafanyaje nisije kuua urafiki bure.
Thrace ni Founder na Head Producer wa Thrace Music, Thrace anayo hasira huyo hatari.... Kama Socratis.
Hakika mkuuMkuu umenena ukweli,ukitoa nchi ya Netherlands nchi inayofuata kwa usodoma ni Greece
Nimekuwa pale mji wa Thessaloniki kwenye tour flani ya mambo ya kidini na shirika moja la kijerumani.
Wazungu wengine washenzi kweli
Sawa. Ila nilinukuu sentensi ya mwisho ya mtoa comment alivyosema 'Uyunani' badala ya 'Ugiriki'.Hapa inayozungumziwa Ni Greece na sio Turkey kwa Erdogan
Toa mfanoWayunani...wameongelewa sana na manabii na mitume katika biblia...
Wale jamaa walikuwa wanatengeneza pipe fulani inatema moto wa kuchoma meli.KUCHOMA MELI MOTO,
The ancient Greek warriors ni moja kati ya Majeshi yaliyo yanapambana kwa nguvu zote katika historia ya Majeshi ya Enzi Hizo, Na hii si kutokana na walivyo fundishwa au Silaha walizo kuwa nazo, no ni kutokana na Commitment yao ya Kushinda Vita waliyo kuwa nayo.
Wagiriki walivyo kuwa wakifika Pwani ya Maadui wao Cha kwanza ambacho Kamanda wao alikuwa akiwaamulisha wanajeshi wafanye ni Kuchoma Meli zote zilizo wafikisha pale, Na wanajeshi kwa Pamoja walikuwa wakichoma Meli zote Moto, MESSAGE HAPA ILIKUWA NI CLEAR KABISA,
1. There was no Turning Back
2. There was no retreat
3. No surrender
The only way out was Forward, Na ni Victory or Death, na hakuna outcome nyingine zaidi ya hizo Mbili za Kushinda Vita au Kuuwawa. Na hii stail iliwahi kutumiwa na Wamexco katika vita miaka ya 1500 Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakiona Meli zao zikiwaka Moto walikuwa wanaogopa sana na wanajua kabisa hakuna Kurudi Nyuma, hakuna kujisalimisha, ila kazi ni Moja tu kushinda Vita, Katika Maisha tunahitaji kufanya kila liwezekanalo kufanya maamuzi ambayo ni sahihi kabisa, hatuwezi kuwa sahihi muda wote lakini ukifanya analysisi utagundua hakuna kisicho wezekana. Ila tumekuwa tukikutana na vikwanzo vingi sana vinavyo tufanya Safari yetu isifike popote pale
1. Vikwazo kutoka kwa Familia yako
2. Marafiki
3. Ndugu jamaa na Marafiki
4. Wafanya kazi wenzako
5. Uoga wa hali ya Juu.
Acha utapeli...Chanzo cha ustaarabu duniani ni meccaUkitaja Athens, Miletus , unaikumbusha dunia kuhusu "falsafa" chimbilo lake ni pale. Huenda elimu na ustaarabu duniani chanzo ni Uyunani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahaa kina Deogratius,Datius,Emilius,Yustus, itakuwa historia ya kabila la kagera walitokea ugirikiHii inaweza kukupa mwangaBila kusahau jina Ulaya au Europe jina la bara la ulaya limetokana na jina la mama yake mfalme Minos wa Crete Ugiriki
Pia ndio watu wa kwanza kutumia kondom ambazo zilitokana na utumbo mpana au vibofu vya wanyama kama ng'ombe, mbuzi, kondoo nk
Pia majina karibu ya wanaume wote yanaisha na S mf Alexis Tspiras, Dimitros Krigiakos nk
Ila pia ni wakristo wa madhehebu ya Orthodox
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hujapenda kujifunza habari mpya? Baki ulivyo!Umenikumbusha form nyoya utasikia "it comes from two greek words....blablablablaaaaa."
Sent using Jamii Forums mobile app
sodoma na gomora ni lebanon hukoMkuu umesahau pia ni WABAGUZI kwa MTU MWEUSI... Pia USHOGA umeshika kasi eneo hilo..na inasemekana kwamba hiyo sodoma na gomora ilikuwa ni UGIRIKI..ndy maana kuna visiwa vingi sana,,,na inasemekana baharia ikitulia unaona mabaki ya majengo yaliyozamishwa yaliyopo chini ya maji...
Sent using Jamii Forums mobile app
fresh kaka kwa kunijuza1) Nchi ya Ugiriki/ Uyunani inapatikana upande Kusini Mashariki mwa bara ka Ulaya. Nchi hii imepakana na nchi ya Albania, Macedonia Kaskazini, Uturuki na Bulgaria na pia imepakana na bahari ya Mediteranea
2) Nchi ya ugiriki ulipata uhuru wake mwaka 1821. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2017 ina watu milion 10. Mji Mkuu wa nchi hii unaitwa Athens. Na asilimia kubwa ya ardhi ya nchi hii ni milima.
3) Kauli mbiu ya nchi hii ni "UHURU AU UMAUTI"
4) Ugiriki ndio nchi ya kwanza kuanzisha mfumo wa demokrasia kwa kuruhusu watu kupiga kura. Mfumo huo ulianzishwa tokea karne ya 5 kuchagua viongozi. Japo kuwa mfumo huu uliruhusu watu wachache ambao ni lazima awe Mwanaume na awe mtu mzima. Kwa hiyo Wanawake, watumwa na wageni hawakuruhusiwa kupiga kura
5) Ugiriki ndio nchi inayoongoza duniani kwa raia wake kufanya mapenzi sana. Yaani namba moja ugiriki ikifuatiwa na Brazil
6) Lugha ya Kigiriki ndio lugha kongwe zaidi duniani inayoandikwa ambayo bado inatumika. Ni kweli huwezi kuzitaja lugha kongwe dunia bila kuitaja lugha ya Kigiriki. Lugha hii ya Kigiriki imetumika zaidi ya miaka 5,000 iliyopita lakini bado inatumika hadi leo katika maandishi
7) Jina halisi la Ugiriki ni UYUNANI kwa hivyo Ugiriki sio jina halisi la nchi ya Ugiriki
8) Michezo ya olimpiki ilianzia nchini Ugiriki
9) Neno 'Music" limetokana na neno jina Muses ambalo ni jina la Mungu wa sanaa katika imani za Wagiriki
10) Watalii wanaotembelea nchi ya Ugiriki kwa mwaka ni wengi kuliko Raia wenyewe. Raia wa Ugiriki ni Million 10 lakini kwa mwaka wanapokea Watalii Milioni 16
11) Raia wa ugiriki ni lazima kupiga kura wala sio hiyari
12) Ugiriki ni miongoni mwa nchi zinazozalisha mafuta ya mzeituni kwa wingina kuna mizeituni iliyopandwa tokea karne ta 13 hadi leo bado inatumika kuzalisha mafuta
13) Mji Mkuu wa Ugiriki ndio Mji mkongwe zaidi Ulaya ulianza kukaliwa na watu miaka 7000 iliyopita na ndio kitovu cha ustaarabu wa Ulaya, Siasa, Falsafa, Michezo, Hesabu, Fasihi, Historia na nadharia mbali mbali
14) Ugiriki ina visiwa zaidi ya 2000 lakini ni visiwa 170 tu ndio vinakaliwa na watu
15) Hadi kufikia miaka ya 1990 bado mpinzani mkubwa wa nchi ya Ugiriki alikuwa ni Uturuki. Nchi hizi zilikuwa kwenye maelewano mabaya kwa miaka mingi sana. Mwaka 1999 kulitokea tetemeko la ardhi na nchi hizi zikasaidiana na hapo ndipo uhusiano wa nchi hizi mbili ukaimarika
16) Ukiwa Ugiriki usimsalimie mtu kwa kumpungia mkono huku kiganja chako ukiwa umekichanua hiyo ni ishara ya matusi bali kunja mkono ndio umpungie
17) Archimedes, Pythagoras, Apollonius, Euclid wote hawa ni Raia wa Ugiriki
18) Kama ulikuwa hujui Ugiriki ilishawahi kuitawala Ufaransa, Urusi na Uturuki
19) Alexandra The Great Ndio kiongozi wa kwanza wa Kigiriki kuweka sura yake kwenye sarafu ya Ugiriki. Kabla ya hapo waliweka sura ya miungu yao
20) Nchi ya Ugiriki ndio ina kiwango kidogo cha talaka Barani ulaya na pia ndio nchi yenye kiwango kikubwa cha utoaji mimba kwa Bara la Ulaya
21) Asilimia 10 ya Wagiriki hawana ajira. Hata kama umepiga kitabu ni ngumu kupata ajira
22) Asilimia 7 ya marumaru duniani inatokea Ugiriki
23) Hadi mwaka 1950 ni asilimia 30 tu ya Wagiriki ndio walikuwa wamesoma lakini kwa sasa ni asilimia 95 ya Wagiriki wamesoma
24) Mpira wa miguu ndio mchezo wa Taifa katika nchi ya Ugiriki
25) Ugiriki ndio nchi ya kwanza kutengeneza majalala ya manispaa hayo yakifanyika miaka 500 kabla ya kuzaliwa YESU KRISTO
vp usomaji wa katiba kwao hao wayunan wazuri mkuu inahitaji mawani?Ila wagiriki wa Jamii ya Roma gypsies wazuri nyii acheni. Kuna kamji kanaitwa Komotini huko mkoa wa Thrace ambapo umepakana na Uturuki yani kuna watoto wakaree vibaya sana nikisema watoto wakaree namaanisha ni wakali kweli. Ni mji mdogo ila umevarikiwa kwa watoto wakaree na ni jamii maskini kuna kamsemo nchi maskini ulaya kuna wanawake wazuri.
Pia kwenye huu mji kuna Democritus University ina International students wengi kutoka mataifa mbalimbali. Wakifika ni kutandaza miti tu at will.
Kuna mashamba makubwa ya kilimo cha matunda hasa machungwa.
Nimefika mwenyewe binafsi Thrace inatamkwa Traki mji wa Komotini ninaposema Kuna watoto wakaree namaanisha kweli maamaee