Ijue nchi ya Ugiriki/ Uyunani (Mama wa nchi za Ulaya)

Jon Stephano,
Kutoka Thrace kuna Jamaa yangu (Business Mate/Rafiki) anaitwa hivyo hivyo Thrace Selemaj Aldiue anayo asili ya Albania na Turkey.

Mdogo wake wa kike Sofia nikimtazama huwa sielewi hivi. Lakini nitafanyaje nisije kuua urafiki bure.

Thrace ni Founder na Head Producer wa Thrace Music, Thrace anayo hasira huyo hatari.... Kama Socratis.
 
Mkuu mgerasi inakuwaje. Nilishaletaga thread ya Ugiriki humu kwenye ile id yangu ya Copenhagen dn iliyopewa life ban. Ilikuwa 2015. Nilileta nilivyotembelea mji wa Patra Greece nakumbuka barafu naye aliongezea nondo kali kwenye huo uzi.
Nipe link
 
Aisee itabidi nije kwenda ugiriki . Nikachakate papuchi za kutosha. Tupeane connection ya kwenda Ugiriki.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mgerasi inakuwaje. Nilishaletaga thread ya Ugiriki humu kwenye ile id yangu ya Copenhagen dn iliyopewa life ban. Ilikuwa 2015. Nilileta nilivyotembelea mji wa Patra Greece nakumbuka barafu naye aliongezea nondo kali kwenye huo uzi.
Kwa nini ulipewa life ban we myebusi?. Au ulitongoza mod?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi huko Ugiriki kuna ngwengwe?
 
Wayunani...wameongelewa sana na manabii na mitume katika biblia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…