Ijue nchi ya Ugiriki/ Uyunani (Mama wa nchi za Ulaya)

Mkuu umenena ukweli,ukitoa nchi ya Netherlands nchi inayofuata kwa usodoma ni Greece
Nimekuwa pale mji wa Thessaloniki kwenye tour flani ya mambo ya kidini na shirika moja la kijerumani.
Wazungu wengine washenzi kweli
 
"Thrace [emoji57], a swamp of piss and shit..."-doctore onemaus
 
Even it's cities ,it ends with "s" i.e Athens, Tripolis,iraklis,Piraeus, etc
 
😀😀😀
 
Wale jamaa walikuwa wanatengeneza pipe fulani inatema moto wa kuchoma meli.
Hata vita za majini walichoma sana meli za maadui.
Ule moto ulikuwa ni waajabu hakuna aliyeweza kuuzima na ukikugusa tu ndo kwisha habari yako.

Lakini Cha ajabu hakuna anayejua ule moto ulitengenezwaje na watu wote walishindwa kuureplicate...Siri ya recipe ya moto huo ilikuwa siri kubwa sana huko ugiriki na royal family tu ndo walirithi siri hii.

Recently wanasayansi walijaribu kuutengeneza moto huu kwa kutumia naphtar,pitch,petroleum,sulphur,pine,cedar resin na bitumen.
...Moto ulikuwa mkubwa sana lakini sio uhakika kuwa ndiyo ulitengenezwa hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aahaa kina Deogratius,Datius,Emilius,Yustus, itakuwa historia ya kabila la kagera walitokea ugiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babel-Syria
Medopersia(Umedi na Uajemi)-Ilan na Iraque
Greeck-Uyunani
Roma empire-Rumi
Papacy-RC
Hizo ndio dola zilizotawala dunia na sasa tupokwenye utawala wa Upapa.Dola LA Kiyunani ilipendwa sana kwasababu ya kutumia akili badala ya mabavu ktk utawala,pia ilileta maendeleo ktk makoloni yake mfano elimu ya ujenzi,Sana'a,music, scince,matibabu n.k(soma Daniel 7:1-10 na Daniel 8:1-23)kwafafanuzi zaidi 0673650746
 
sodoma na gomora ni lebanon huko
 
fresh kaka kwa kunijuza
 
vp usomaji wa katiba kwao hao wayunan wazuri mkuu inahitaji mawani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…