PreGE2025 Ijue nguvu ya kelele Katika kuangusha ngome ya adui wa wananchi kuelekea uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hash tag:" PIGA KELELE UOVU UPOTEE JUU YA NCHI YETU."
 
Kelele za Mwiiiziii!!! Mwiiizii wa kuuraa!!! kutoka unguja.
 
Kelele za zomea zomea, zilimpandisha Mori Mzee Sira akarusha ngumi.

Kila mmoja apewe kelele ya haki anayostahili sawasawa na matendo yake.
 
Chadema kupitia Tundu Lissu wanatekeleza kile ambacho nimekuwa nikifanya kwa miaka mingi ...No reform No election. CCM waendelee tu kujipa moyo kuwa uchaguzi utakuwepo wakati mimi mpigakura na watu kadhaa ninaopata wasaa wa kuteta nao wakijiapiza kutokwenda kupigakura kama hakutakuwa na mabadiliko katika mfumo wa kusimika viongozi. Moto umeisha washwa na joto linaendelea kupanda polepole.....Tutaelewana tu.
 
Sio kususia uchaguzi,

Ni kwenda kuuzuia usifanyike bila TUME HURU YA UCHAGUZI. Na katiba mpya
 
Sio kususia uchaguzi,

Ni kwenda kuuzuia usifanyike bila TUME HURU YA UCHAGUZI. Na katiba mpya
Vyovyote itakavyokuwa, kura yangu na kundi kubwa tu la watu hazitapigwa bila kupata Katiba mpya, Referendum kuhusu uwepo wa muungano na Tume huru ya uchaguzi. No reform No election!.
 
Kelele za zomea zomea za wana Mbeya kwa msafara wa kiongozi mmoja ulipelekea umeme kuzimwa na mkongoto utembee kwa vijana Kila ikifika tu saa kumi na mbili jioni.

Ni Katika awamu ya nne.
 
PIGA UKUNGA UTEKAJI UKOME!
 
Ukiangalia historia ya Nchi zilizoingia kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe kwanza huwa yaanza mang'uniko yanapuuzwa, halafu yanafuatia malalamiko na kelele za kuonya zinapuuzwa na wale wanaopaza sauti wanatekwa na kupotezwa halafu kunakuja kaukimwa kidogo haka kaukimya ni kama kama ka miezi kadhaa.

Halafu inatokea spark ndogo tu hata ya polisi kupiga raia machafuko yanaanza nguvu kupita kiasi zinatumika halafu full blown civil war.

Angalia Liberia na kwengineko CCM msituharibie Nchi, hakuna anayetaka kwenda kukaa ukimbizini.
 
Uhuru aliopigania Nyerere una thamani ipi ikiwa sanduku la kura zinaongezwa kura fake kumpa ushindi muuza mihadarati kuwa kiongozi wetu?

Saaa Pana kosa gani kurudi kupiga KELELE kudai upya uhuru, utu na haki zetu?
 
Uhuru aliopigania Nyerere una thamani ipi ikiwa sanduku la kura zinaongezwa kura fake kumpa ushindi muuza mihadarati kuwa kiongozi wetu?
Kuna Babu mmoja aliiibiwa akawa Mbogo lakini yeye sasa ndio kila siku anamlaumu Lissu.
Your browser is not able to display this video.
 
: Mtu yeyote asikudangaanye kuwa kelele KUPITIA keyboard JF na majukwaa mengine hazisikiki, kelele ni kelele. Piga kelele.πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
: Mtu yeyote asikudangaanye kuwa kelele KUPITIA keyboard JF na majukwaa mengine hazisikiki, kelele ni kelele. Piga kelele.πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
Ogopa teknolojia na mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…