streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 475
- Thread starter
- #21
Basi kaa chini utulie.Mimi sio Moderator.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kaa chini utulie.Mimi sio Moderator.
Lakini nimelala.Basi kaa chini utulie.
AiseeSi ukajifunze kwa kunguru kupaa
Na wewe piaJumapili njema.
Vitu vipi?Umechanganya vitu viwili kwa wakati mmoja
Asee mbona povu kubwa hivyo! We tatizo lako ni nini?Unajifanya kutumia fumbo,ila nakushauri ungeelekeza tu watu vzr kujitutumua kupambana na vikwazo kuliko hii pumba uloweka apa,unamficha nan na ili iweje ndomana atusonge mbele kimaarifa unaficha mpka ushauri kwa uzembe ulonao,napita tu ila usijione ume win bali umedabiga mkuu....
Habari za wakati huu wakuu wa Jamii Forums?
Wengi wetu tunafahamu ni kwa kiasi gani tunahitaji kupaa kwenda juu, lakini kutokana na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu tunajikuta tupo pale pale ardhini!
Hii inatokana na nguvu ya uvutano ambayo inavuta vitu na watu at the center of the Earth.
Sio kosa ku aim high japokuwa ni vigumu kufika pale juu unapopahiaji.
Ila kuna mbinu ninakupa itakayoweza kukufanya upae na ufike pale unapopataka.
Kwanza lazima tutambue kuwa Gravitational force ipo na inafanya kazi ya kuvuta vitu kwenye centre ya Dunia.
Hivyo inahitaji nguvu ya ziada ili kuweza kuizidi hii Force ili uweze kupaa.
Kama tujuuavyo dunia ina mambo mengi ambayo yanakuvutia uendelee kubaki hapo ulipo tukianzia Anasa na starehe, shida mateso na karaha na mengineyo, kiukweli hivi vitu ndivyo vinaturudisha chini wengi wetu ambao tunataka kupaa yani kuwa juu.
Kwa mfano tukiangalia hata Shetani mamlaka yake yapo huku Duniani ambayo anazidi kuchochea mambo ambayo yanazidi kupull jitihada zetu.
Kuna wengi wamejitahidi kuruka lakini wakaishia kuvunjika na wengine kufa kabisa kwa kuwa hawakujua ili uende juu unahitaji nguvu kubwa sana itakayoishinda Gravitational force.
Sasa mbinu ni kwamba nguvu ya kuruka na kufika juu iko ndani yetu. Yani nikimaanisha kile tulichonacho ndani yetu tukikiweka positive kinaweza kuishinda gravitational force.
Bwana Yesu alivyopaa kwenda mbinguni alikuwa ana nguvu kuu iliyomwezesha kupaa. Na pia nguvu iyo tukiweza kuifufua au kuikarabati hakuna chochote kitachotushinda katika jitihada zetu za kupaa.
Niwe muwazi Mungu Baba tunasadiki kuwa yupo mbinguni na wengi wetu tunaamini mbinguni ni juu yani juu Mbinguni. Hivyo yatupasa tuyaishi yale yote aliyoyaamuru Baba Mungu ili tuweze kufika kwake.
Yani kwa lugha nyepesi Yesu ni njia, na njia aliyoitumia Yesu kupaa ndio hiyo hiyo inapasa tuitumie ili tuweze kupaa na kuishinda Dunia na vivutio vyake.
Asante kwa kusoma wakuu
ThanksNice.
Upuuzi! AiseeHakika huu ni upuuzi. Mungu yuko juu? hivi unaifahamu apothesis?
Asante sana. Ubarikiwe pia.Umeifikisha injili kama ilivyopokelewa barikiwa sana