OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Sasa wao wazungu wanatumia procedure zipi kuangalia?Dunia nzima zipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wao wazungu wanatumia procedure zipi kuangalia?Dunia nzima zipo
Mmmh hii nyota imenishinda tabia ahahahamwenye nyota ya ndoo ajitokeze hapa tufanye kitu especially for girls
hahah kwannMmmh hii nyota imenishinda tabia ahahaha
Ahahahaha ni htryhahah kwann
na wewe upo humoAhahahaha ni htry
na wewe upo humo
hahahah kama nakuona
Ahahah acha tuu.hahahah kama nakuona
haya enjoy mamyAhahah acha tuu.
SureAlafu unapo Sema kuwa herufi ya siku Fulani ni hii huwa una Maana gani mfano samaki ni Alhamisi na herufi ni DH
Kansa ya ng'ombe ni ugonjwa unaojulikana kwa madaktari wa mifugo, uwaulize.Mwanaume ni cancer ( kaa) mwanamke ni ng'ombe (taurus) vp hyo bond yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa nzuri ukimwangalia mchumba wako. Inaweza kuwa na matata ukiangalia nyota zinazosemekana kuwa na athira (hali halisi hazina umuhimu) badala yeye mwenyewe.Habari za majukumu na pole na kazi,
Naomba kuuliza mimi ninanyota ya mapacha, mchumba wangu naetarajia kumuowa ananyota ya mashuke je ndoa yetu itakuwa nzuri? Au