GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wanachokitafuta Yanga SC ( tena kwa Makusudi ) kwa Kushauriwa na Washauri Majuha ni kutaka Kujiunganisha Wao kama Klabu katika Kesi ya Mhamasishaji wao Haji Manara ili wakianza Kuikabili Kisheria isiwe ni against Manara bali iwe ni against Wao ( kama Klabu ) kisha waweze Kuisumbua na Kuitishia TFF kwa Kigezo kuwa Wao ni Timu Kubwa ambayo bila yenyewe na ile ya Simba SC basi TFF hawawezi Kuingiza Pesa yoyote ( Kipato chochote ) kile.
Calculations hizi za Yanga SC leo zimepigwa vibaya na Laana imeanza katika Kufungwa Kwao leo na Vipers FC kwani upo Uwezekano Yanga SC ikapigwa Faini Kubwa, Viongozi wake Kufungiwa na Adhabu ya Mhamasishaji wao Haji Manara ikawa ni ya Maisha ( ya Kudumu ) baada ya Kuikaidi fupi ya Miaka Miwili na 20 Milion Fine yake.
Nimesikitika na naiona Hatari mbele.