Ijue sababu Kubwa ya Yanga SC leo kwa Makusudi Kumtumia Mhamasishaji Mfungwa Haji Manara katika Tamasha la Wananchi Day kwa Mkapa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wanachokitafuta Yanga SC ( tena kwa Makusudi ) kwa Kushauriwa na Washauri Majuha ni kutaka Kujiunganisha Wao kama Klabu katika Kesi ya Mhamasishaji wao Haji Manara ili wakianza Kuikabili Kisheria isiwe ni against Manara bali iwe ni against Wao ( kama Klabu ) kisha waweze Kuisumbua na Kuitishia TFF kwa Kigezo kuwa Wao ni Timu Kubwa ambayo bila yenyewe na ile ya Simba SC basi TFF hawawezi Kuingiza Pesa yoyote ( Kipato chochote ) kile.

Calculations hizi za Yanga SC leo zimepigwa vibaya na Laana imeanza katika Kufungwa Kwao leo na Vipers FC kwani upo Uwezekano Yanga SC ikapigwa Faini Kubwa, Viongozi wake Kufungiwa na Adhabu ya Mhamasishaji wao Haji Manara ikawa ni ya Maisha ( ya Kudumu ) baada ya Kuikaidi fupi ya Miaka Miwili na 20 Milion Fine yake.

Nimesikitika na naiona Hatari mbele.
 
Kufungwa sio laana ni sehemu ya mchezo, kwa Manara hakuna mahali yanga imekosea
 
Ingizeni siasa kwenye mpira, yatatukuta ya Kenya. Tunatazama tyuuh
Wewe bado binti mdogo huna ulijuwalo katika hili.

Yanga na Simba ni timu zinazomilikiwa na Serikali, hao wawekezaji unaowaona wewe ni kiini macho tu, ukikuwa ndio utaujuwa ukweli huu.

Yanga ni pasee Serikali usidanganywe na mtu, Simba ni jina la Kawawa Simba wa vita, Sunderland ndio ilikuwa timu ya waarabu wakanyang'anywa na Serikali wakakabidhiwq akina Abunuwasi na jina likapewa la Kawawa.

Asilimia 100 timu hizo zimeanzishwa kwa malengo ya kisiasa na hakuna tajiri yoyote atakuja kumiliki timu hizo waulize Mo Dewji na Manji watakueleza vizuri.
 
Acheni kutetea ujinga wa Manara kwa visingizio vyenu vya ajabu, hao serikali kama wana ubavu huo waambie wajiingize kwenye masuala ya mpira halafu muone FIFA watatufanya nini.

Huyo Manara ni mswahili anayetakiwa kufundishwa adabu, asiichezee mamlaka ya mpira wa miguu Tz.
 
Siku utamkuta Karia ananyea debe kwa uhujumu uchumi na utakatishaji pesa ndio utaijuwa serikali, mimi simuongelei kichaa kama Manara.

Ukitaka kuijuwa vizuri serikali na TFF si lolote kwa serikali muulize Aden Rage na Michael Wambura watakueleza vizuri.
 
Acheni kutetea ujinga wa Manara kwa visingizio vyenu vya ajabu, hao serikali kama wana ubavu huo waambie wajiingize kwenye masuala ya mpira halafu muone FIFA watatufanya nini.

Huyo Manara ni mswahili anayetakiwa kufundishwa adabu, asiichezee mamlaka ya mpira wa miguu Tz.
Wewe kolo umeona walichofanyiwa Chelsea na serikali ya uingereza ?. Je hiyo FIFA yako ilikuwa imelala usingizi ?
 
Mswahili Anayechezea Mamlaka Ya TFF, Afungiwe Mwanzo ~Mwisho
 
Wewe bado binti mdogo huna ulijuwalo katika hili.

Yanga na Simba ni timu zinazomilikiwa na Serikali, hao wawekezaji unaowaona wewe ni kiini macho tu, ukikuwa ndio utaujuwa ukweli huu.

Yanga ni pasee Serikali usidanganywe na mtu, Simba ni jina la Kawawa Simba wa vita, Sunderland ndio ilikuwa timu ya waarabu wakanyang'anywa na Serikali wakakabidhiwq akina Abunuwasi na jina likapewa la Kawawa.

Asilimia 100 timu hizo zimeanzishwa kwa malengo ya kisiasa na hakuna tajiri yoyote atakuja kumiliki timu hizo waulize Mo Dewji na Manji watakueleza vizuri.
Mjinga mkubwa kweli
 
Yanga inamilikiwa na gsm,gsm ni ya kikwete,kikwete ni ccm so yanga ni ccm b
 
Back
Top Bottom