Ijue sababu Kubwa ya Yanga SC leo kwa Makusudi Kumtumia Mhamasishaji Mfungwa Haji Manara katika Tamasha la Wananchi Day kwa Mkapa

Haya maelezo yako FIFA wanayatambua??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ongezea Jamali Malinzi.
 
Yanga ni dude kubwa sana

Itajinyea mpaka utatapika

Yanga is a big boss
 
Wewe kolo umeona walichofanyiwa Chelsea na serikali ya uingereza ?. Je hiyo FIFA yako ilikuwa imelala usingizi ?
Wamefanyiwa chelsea au amefanyiwa mmiliki wa chelsea?
 
Ingizeni siasa kwenye mpira, yatatukuta ya Kenya. Tunatazama tyuuh
Kuna watu wajinga sana upande wa pili.
Kuingiza siasa katika soka ni kupandikiza chuki mifarakano na vita,jambo ambalo ni kinyume kabisa na dhamira ya kuwepo michezo
 
Utopolo aka kinye FC kweli hamna akili kiasi hiki?
 
Wamefanyiwa chelsea au amefanyiwa mmiliki wa chelsea?
Tatizo la makolo ni mambumbumbu kama alivyowaita Rage. Hukusikia Chelsea kuchukuliwa na serikali? . walikatazwa kusajiri. Kuingiza mashabiki . kuuza jezi nk . je huko sio serikali kuingilia soka ?
 
Kuna watu wajinga sana upande wa pili.
Kuingiza siasa katika soka ni kupandikiza chuki mifarakano na vita,jambo ambalo ni kinyume kabisa na dhamira ya kuwepo michezo
Wanajifanya wao ndo wapo juu ya kila kitu. Sie tunatazama tyuuh.
 
Ongeza na Malinzi
 
Hao viongozi wa FIFA wanapelekwa jela na serikali kwa uhuni walioufanya kwenye mpira.
Haya maelezo yako FIFA wanayatambua??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza Tanzania mwanachama wa FIFA ni TFF na siyo serikali.
 
Tatizo la Shirikisho letu la soka na wadau wake lipo HAPO, kwenye mambo ya kisheria, TUNATUMIA mihemuko na fikra zetu, bila kuihusisha SHERIA.

MASHTAKA yamefunguliwa kabla ya kesi kutajwa HUKUMU imeishatolewa Sasa hapo kuna HAJA ya kuendelea kusikiliza kesi.?

Afande Mstaafu, Alfred Tibaigana wakati anaiongoza Kamati ya Maadili alikuwa amenyooka, mwenye kuhitaji ushahidi.

Hukumu zake kila mpenda soka alikubali kanuni zinafuatwa na kutekelezeka.

Haji , Karia, Mtanda, Mongella na wadau kibao waliokuwepo jukwaa kuu pale Arusha HAKUNA hata mmoja aliyehojiwa kuelekea HUKUMU.

ndo maana leo mdau anajuaa mpaka adhabu itakayotolewa maana Kesha waona wakiwa na HATIA.
 
Hao viongozi wa FIFA wanapelekwa jela na serikali kwa uhuni walioufanya kwenye mpira.

Kwanza Tanzania mwanachama wa FIFA ni TFF na siyo serikali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…