Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Wamezingua sanaShida hipo kwa hao viongozi wakina hersi hekima hawana wanaona sawa tu kuwadindia TFF kwani yeye alikua hawezi kumkataza manara kuingia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamezingua sanaShida hipo kwa hao viongozi wakina hersi hekima hawana wanaona sawa tu kuwadindia TFF kwani yeye alikua hawezi kumkataza manara kuingia?
Haya maelezo yako FIFA wanayatambua??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe bado binti mdogo huna ulijuwalo katika hili.
Yanga na Simba ni timu zinazomilikiwa na Serikali, hao wawekezaji unaowaona wewe ni kiini macho tu, ukikuwa ndio utaujuwa ukweli huu.
Yanga ni pasee Serikali usidanganywe na mtu, Simba ni jina la Kawawa Simba wa vita, Sunderland ndio ilikuwa timu ya waarabu wakanyang'anywa na Serikali wakakabidhiwq akina Abunuwasi na jina likapewa la Kawawa.
Asilimia 100 timu hizo zimeanzishwa kwa malengo ya kisiasa na hakuna tajiri yoyote atakuja kumiliki timu hizo waulize Mo Dewji na Manji watakueleza vizuri.
Ongezea Jamali Malinzi.Siku utamkuta Karia ananyea debe kwa uhujumu uchumi na utakatishaji pesa ndio utaijuwa serikali, mimi simuongelei kichaa kama Manara.
Ukitaka kuijuwa vizuri serikali na TFF si lolote kwa serikali muulize Aden Rage na Michael Wambura watakueleza vizuri.
Yanga ni dude kubwa sanaWanachokitafuta Yanga SC ( tena kwa Makusudi ) kwa Kushauriwa na Washauri Majuha ni kutaka Kujiunganisha Wao kama Klabu katika Kesi ya Mhamasishaji wao Haji Manara ili wakianza Kuikabili Kisheria isiwe ni against Manara bali iwe ni against Wao ( kama Klabu ) kisha waweze Kuisumbua na Kuitishia TFF kwa Kigezo kuwa Wao ni Timu Kubwa ambayo bila yenyewe na ile ya Simba SC basi TFF hawawezi Kuingiza Pesa yoyote ( Kipato chochote ) kile.
Calculations hizi za Yanga SC leo zimepigwa vibaya na Laana imeanza katika Kufungwa Kwao leo na Vipers FC kwani upo Uwezekano Yanga SC ikapigwa Faini Kubwa, Viongozi wake Kufungiwa na Adhabu ya Mhamasishaji wao Haji Manara ikawa ni ya Maisha ( ya Kudumu ) baada ya Kuikaidi fupi ya Miaka Miwili na 20 Milion Fine yake.
Nimesikitika na naiona Hatari mbele.
Wamefanyiwa chelsea au amefanyiwa mmiliki wa chelsea?Wewe kolo umeona walichofanyiwa Chelsea na serikali ya uingereza ?. Je hiyo FIFA yako ilikuwa imelala usingizi ?
Kuna watu wajinga sana upande wa pili.Ingizeni siasa kwenye mpira, yatatukuta ya Kenya. Tunatazama tyuuh
Utopolo aka kinye FC kweli hamna akili kiasi hiki?Wewe bado binti mdogo huna ulijuwalo katika hili.
Yanga na Simba ni timu zinazomilikiwa na Serikali, hao wawekezaji unaowaona wewe ni kiini macho tu, ukikuwa ndio utaujuwa ukweli huu.
Yanga ni pasee Serikali usidanganywe na mtu, Simba ni jina la Kawawa Simba wa vita, Sunderland ndio ilikuwa timu ya waarabu wakanyang'anywa na Serikali wakakabidhiwq akina Abunuwasi na jina likapewa la Kawawa.
Asilimia 100 timu hizo zimeanzishwa kwa malengo ya kisiasa na hakuna tajiri yoyote atakuja kumiliki timu hizo waulize Mo Dewji na Manji watakueleza vizuri.
Tatizo la makolo ni mambumbumbu kama alivyowaita Rage. Hukusikia Chelsea kuchukuliwa na serikali? . walikatazwa kusajiri. Kuingiza mashabiki . kuuza jezi nk . je huko sio serikali kuingilia soka ?Wamefanyiwa chelsea au amefanyiwa mmiliki wa chelsea?
Wanajifanya wao ndo wapo juu ya kila kitu. Sie tunatazama tyuuh.Kuna watu wajinga sana upande wa pili.
Kuingiza siasa katika soka ni kupandikiza chuki mifarakano na vita,jambo ambalo ni kinyume kabisa na dhamira ya kuwepo michezo
Mpira wa Tanzania na siasa ni pete na kidole. Ni kwamba uelewa wako bado ni mdogo kujua hilo.Ingizeni siasa kwenye mpira, yatatukuta ya Kenya. Tunatazama tyuuh
Ongeza na MalinziSiku utamkuta Karia ananyea debe kwa uhujumu uchumi na utakatishaji pesa ndio utaijuwa serikali, mimi simuongelei kichaa kama Manara.
Ukitaka kuijuwa vizuri serikali na TFF si lolote kwa serikali muulize Aden Rage na Michael Wambura watakueleza vizuri.
Sio kwa kiwango hiki tunachotaka kuelekea, ko kuwa ni wazi wazi???Mpira wa Tanzania na siasa ni pete na kidole. Ni kwamba uelewa wako bado ni mdogo kujua hilo.
Kwanza Tanzania mwanachama wa FIFA ni TFF na siyo serikali.Haya maelezo yako FIFA wanayatambua??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kweli kochoYanga ni dude kubwa sana
Itajinyea mpaka utatapika
Yanga is a big boss
Coca where is ur husband GENTAMYCINE?Sio kwa kiwango hiki tunachotaka kuelekea, ko kuwa ni wazi wazi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao viongozi wa FIFA wanapelekwa jela na serikali kwa uhuni walioufanya kwenye mpira.
Kwanza Tanzania mwanachama wa FIFA ni TFF na siyo serikali.