Ijue sababu Kubwa ya Yanga SC leo kwa Makusudi Kumtumia Mhamasishaji Mfungwa Haji Manara katika Tamasha la Wananchi Day kwa Mkapa

Ijue sababu Kubwa ya Yanga SC leo kwa Makusudi Kumtumia Mhamasishaji Mfungwa Haji Manara katika Tamasha la Wananchi Day kwa Mkapa

Acheni kutetea ujinga wa Manara kwa visingizio vyenu vya ajabu, hao serikali kama wana ubavu huo waambie wajiingize kwenye masuala ya mpira halafu muone FIFA watatufanya nini.

Huyo Manara ni mswahili anayetakiwa kufundishwa adabu, asiichezee mamlaka ya mpira wa miguu Tz.
FIFA nao wamejichanganya katk suala la URUSI kwakuingilia hbr za siasa na kuitoa Urusi katk mechi za kufuzu Qatar... hapa ndio utagundua huwezi kuitenganisha serkali na mpira..
 
Back
Top Bottom