Ijue sayansi ya chanjo hizi na chimbuko la wasiwasi wake. Hata Ulaya ni 5% tu ndiyo wamechanja katika miezi 3. Je, wanatusubiri sisi?

Kwa nini Israel wameondoa lock down?

Bata ww
 
Hivi huu ugonjwa bado upo bongo?
Ziku hizi sioni TANZIA hapa Jamii Forum. Inafikirisha sana!
Tangu Magufuli afariki na corona imeondoka kabisa. Si bure hii
Zile report zililenga kumhimiza mkuu na waimba pambio wake ili wachukue hatua.
Mama alivokamata nchi tu hakuchelewa kuchukua hatua sasa watu wameona haina haja tena ya kuendelea kuriport.
Pia vile vifo vilisaidia kuwafanya watu wachukue hatua za kujikinga,, hili nalo limesaida kupunguza ukubwa wa tatizo. (Hapa nawashauri watanzania wenzangu wasibweteke maana huyu kirusi bado ana ham na roho za watu)


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika gani kama 5% wa wazungu ni kweli wamechanjwa au walipewa placebo ili kutuaminisha sisi watu weusi ili nasisi watupe hizo chanjo.
 
Marekani hospitali zinalipwa $13000 kila case ya covid wanayo ripoti....
 
Umezungumza kiutaalam Sana, shida ni hawa watu wa bavicha. Subiri uone
Kamanda wao mkuu Mbowe tayari ameishadungwa AstraZeneca ya majaribio ya "panya" inategemea wafuasi wake wapinge kweli?
 
Una uhakika gani kama 5% wa wazungu ni kweli wamechanjwa au walipewa placebo ili kutuaminisha sisi watu weusi ili nasisi watupe hizo chanjo.
Mkuu nimekuweka kwenye list yangu ya watu wenye high reasoning capacity wa hapa JF, Mungu akubariki saaana mkuu!
 
Hili ndiyo tatizo. Yaani watu wanadhani elimu inapatikana kwenye kampuni ya wamarekani inayoitwa google badala ya shuleni na vyuoni. Wao ni ku google tu na cho chote watakachokipata huko google wanaamini ndiyo ukweli.
Google wenyewe Wana contents wamezizuia zisiwafikie nchi za "Giza" ili wabakie kwenye Giza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…