Ijue sayansi ya nguvu za kiume

Ijue sayansi ya nguvu za kiume

snead

Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
79
Reaction score
23
attachment.php
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.

Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu

HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME
Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo :

Hatua ya kwanza, ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari.
Na hatua ya pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER ERECTION.
JINSI HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.

HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.

Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya uume. Taarifa inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya mishipa hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka na kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa kasi ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kusimama.
Ni muhimu kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu na mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine za mwili.
N.B: Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume.

  1. HATUA YA PILI :
DAMU KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU.
Uume ulio simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka katika mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo za mwili.
Mishipa ya Vena ndio inayohusika na kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kupeleka sehemu nyingine za mwili. Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye uume iwe ime-relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena kushindwa ku nyonya damu kutoka kwenye uume.
Endapo mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu yote kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo uliosimama na utasinyaa mara moja.
JINSI UUME UNAVYO SIMAMA NA KUSISIMKA.
Tumeisha zifahamu hatua mbili muhimu katika kusimama kwa uume

Jinsi Uume unavyo simama: Katika uume kuna chemba yenye mishipa laini sana, ambayo ndio huufanya uume kusimama.
Mishipa hii ipo kama sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.
Damu inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu kama msumari.
Damu inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa, huufanya uume uendelee kusimama.
Mwanaume unapo patwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo, ambao nao hufikisha taarifa kwenye mishipa ya uume.
Taarifa ikisha fika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya uume ku-relax na mishipa ya uume inapo relax, hufanya mambo makuu mawili;

  1. Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka na hivyo damu kutiririka kwa kasi sana kuingia kwenye mishipa ya uume
( Mishipa ya ateri ndio inayo tumika kama njia ya kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri imara na yenye afya, damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama )
ii.Pili huibana mishipa ya vena na hivyo kuizuia kunyonya damu kutoka kwenye uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Kumbuka ,kazi kubwa ya mishipa ya neva iliyo karibu na mishipa ya uume, ni kunyonya damu kutoka ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Kwa lugha nyingine, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume ulio simama.
Kadri damu inavyozidi kuingia ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyozidi kuwa mgumu na kukakamaa.
Na kadri damu inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo endelea kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume inarudi katika hali yake ya kawaida (inanyauka ), ikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya damu katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume kurudi katika hali ya kawaida ( Flaccid ).
Hali hii itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa ukiendelea kufanya tendo la ndoa.
Mambo Muhimu Katika Kuufanya Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Ili uume uweze kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama imara na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima mambo yafuatayo yawepo.

  1. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema.
  2. Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima.
  3. Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.
  4. Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume.
Ili mwanaume aweze kuwa imara katika tendo la ndoa, ni lazima mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe sawa sawa bila hitilafu yoyote. Kinyume chake, mwanaume hawezi kuwa na nguvu za kiume.
MAMBO YANAYO SABABISHA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
https://khalid1710.wordpress.com/20...-sababisha-ukosefuupungufu-wa-nguvu-za-kiume/

VIASHRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;

  1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
  2. Uume kusimama ukiwa legelege
  3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
  4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya ? missionary? pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya ulegelege
  5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
  6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
  7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
  8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
  9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
  10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.
VIASHIRIA VYA MWANAUME ASIYE NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;

  1. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.
  2. Hukaa kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )
iii. Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.

  1. Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile
  2. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile
vi.Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA!
Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia 4 tu ya watu duniani wanafurahia tendo la ndoa ipasavyo wengine huishi kwa shida kabisa bila kushiriki tendo la ndoa ya kushiriki chini ya kiwango.
Mazingira magumu ya kazi, vyakula tunavyokula, hewa tunayo vuta, changamoto za kifamilia yote haya HUPELEKEA WATU KUKOSA SHAUKU YA TENDO LA NDOA, NA USIPO LIWAHI UNAWEZA KUPATA TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO.
SASA JIPATIE BIDHAA AMBAYO IMETENGENEZWA KWA MIMEA ASILI AINA KUU TATU NA VIUMBE WA BAHARINI WAJULIKANAO KAMA PIPE FISH IKAWA DAWA MOJA ASILI YENYE VIDONGE 4 TU UTAFURAHIE RADHA YA NDOA YAKO BILA MADHARA.

Maelezo zaidi tembelea
https://khalid1710.wordpress.com/2015/11/23/boresha-na-rudisha-nguvu-za-kiume-ndani-ya-ndoa-yako-urudishe-furaha-ya-ndoa/
whatsapp/sms/call +255 714 206 306

KAZI INAYOFANYWA NA DAWA YETU.
Dawa hii inasadia katika mambo makuu yafuatayo:

  1. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
    2. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.

  1. Huongeza damu mwilini
  2. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.
  3. Huipa misuli ya uume uwezo wa kuziba wa kuizuia mishipa ya vena kunyonya damu kwenye mishipa ya uume wakati wa tendo la ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ( Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka )
  4. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo
  5. Hurejesha, kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume
  6. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila kuchoka.
  7. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
  8. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.
  9. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.
12.Husaidia kutibu chango la kiume.

  1. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.
Tembelea kwa makala zaidi za afya na lishe
https://khalid1710.wordpress.com/posts
whatsapp/sms/call +255 714 206 306
 

Attachments

  • ijue-sayansi-ya-nguvu-za-kiume.jpg
    ijue-sayansi-ya-nguvu-za-kiume.jpg
    34.4 KB · Views: 2,365
Asante kwa bandiko la kisayansi.Swali :Je kujichua kunaongeza au kupunguza nguvu za kiume?
 
Asante kwa bandiko la kisayansi.Swali :Je kujichua kunaongeza au kupunguza nguvu za kiume?

kunaharibu misuli ya mboo... itashindwa kuifadhi damu unapodinda....

alafu acha uvivu... hilo nishalieleza juuu huko soma kwa msaada zaidi
 
Naweza pata dawa ya kupunguza nguvu za kiume? maana tumechoka na haya mabandiko yenye kuwatia hofu watu,oh nguvu za kiume,
 
Back
Top Bottom