Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani uliyaskia maamuzi ya mahakama. Bila shaka aliua bila kukusudiaje mazingira kama hayakuonekana na pia tukio walikua wawili tu. tutaamini vipi aliua bila kukusudia or alisababisha kifo bila kuwa na dhamiri ya kuua?
refer kesi ya lulu na kanumba.walikua wenyewe chumbani..
vipimo hosp vikaonyesha marehemu ubongo umeshuka nyuma..hii haiwez kutokea hivihivi bila kujigonga au kusukumwa ukutani kwa nguvu.