Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Sasa atanifukuzaje akati hata hanijui
Nimesema anaweza yaani ana huo uwezo na sijasema kwamba atakufukuza nadhani kuna tofauti hapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa atanifukuzaje akati hata hanijui
weka citation basiSiyo tu iko chini yake bali ni mali yake, na sisi wote ni Wapangaji tu, kwa kifupi Raisi wa JMTZ anaweza kukufuza TZ!
Sasa akinifukuza atanipeleka wapi ?Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Hawa walifukuzwa au walihamishwa kwa sheria ya Vijiji vya Ujamaa.Utajiju, Nyerere alifukuza Bibi na Babu zangu akawabwaga porini na wengine kuliwa na Simba!
Sasa akinifukuza atanipeleka wapi ?
Mnaposikia vijiweni muwe mnatafuta wataalamu wawafafanulie sheria na misingi ya katiba na kwamba rais hufanya mambo fulani kwa vigezo na taratibu zipi.Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Uzuri wapangaji nao wana nguvu ya kumtimua mpangajiWeka ushahidi
Mnaposikia vijiweni muwe mnatafuta wataalamu wawafafanulie sheria na misingi ya katiba na kwamba rais hufanya mambo fulani kwa vigezo na taratibu zipi.
Simpleton.Raisi wa JMTZ yuko JUU ya Sheria za JMTZ!
Acha uchocheziArdhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Hawa walifukuzwa au walihamishwa kwa sheria ya Vijiji vya Ujamaa.
Ukiwa raia hakuna wa kukufukuza nchini kwao,Labda ungetupa mfano wa aliyewahi kufukuzwa.
You put out all these suggestions because you are so much in love with him and suddenly anyone who differs with him i fit to be expelled? Is that what your thin mind guides?Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
You put out all these suggestions because you are so much in love with him and suddenly anyone who differs with him i fit to be expelled? Is that what your thin mind guides?
Another news is that the queen of england can remove the president of jmtz at any time she likes and for no reason.Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Another news is that the queen of england can remove the president of jmtz at any time she likes and for no reason.
Ulizia vizuriHapana hilo hawezi, labda kwa nguvu lkn siyo Kikatiba, ila anaweza kumuondoa Mkuu wa Serikali wa Uingereza, Kanada au Australia, hizo nchi zote ni Mali ya Ufalme wa Uingereza, JMTZ siyo Mali ya Ufalme wa Uingereza tena bali ni Mali ya Raisi wa JMTZ!