Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Sasa akinifukuza atanipeleka wapi ?
 
Utajiju, Nyerere alifukuza Bibi na Babu zangu akawabwaga porini na wengine kuliwa na Simba!
Hawa walifukuzwa au walihamishwa kwa sheria ya Vijiji vya Ujamaa.

Ukiwa raia hakuna wa kukufukuza nchini kwao,Labda ungetupa mfano wa aliyewahi kufukuzwa.
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Mnaposikia vijiweni muwe mnatafuta wataalamu wawafafanulie sheria na misingi ya katiba na kwamba rais hufanya mambo fulani kwa vigezo na taratibu zipi.
 
Raisi wa JMTZ yuko JUU ya Sheria za JMTZ!
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Acha uchochezi
 
Kama miguna vile aliambiwa aende canada asa wewe raia huna uraia mwingine wowote utaondoka kwa mwelekeo upi?
 
Hawa walifukuzwa au walihamishwa kwa sheria ya Vijiji vya Ujamaa.

Ukiwa raia hakuna wa kukufukuza nchini kwao,Labda ungetupa mfano wa aliyewahi kufukuzwa.

Kambona, Mapalala, A.Babu hata A.Jumbe alifukutzwa Zanzibar nchi aliyozaliwa akafia Mji Mwema, Kigamboni!
 
Mkuu haya ulioyaandika kama sizonje akiyaona atafanya kuwa sheria na ataanza kuwafukuza wapinzani wote.
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
You put out all these suggestions because you are so much in love with him and suddenly anyone who differs with him i fit to be expelled? Is that what your thin mind guides?
 
Hata wewe kama wenzako, unachanganya mambo, mimi sijamuongelea Binadamu yoyote yule bali nimeongelea Raisi wa JMTZ kama Cheo, ambapo hata wewe unaweza kuwa Raisi wa JMTZ kesho na pia ukawa na uwezo wa kufukuza yoyote yule kwenye ardhi ya JMTZ aliyopanga!
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Another news is that the queen of england can remove the president of jmtz at any time she likes and for no reason.
 
Hapana hilo hawezi, labda kwa nguvu lkn siyo Kikatiba, ila anaweza kumuondoa Mkuu wa Serikali wa Uingereza, Kanada au Australia, hizo nchi zote ni Mali ya Ufalme wa Uingereza, JMTZ siyo Mali ya Ufalme wa Uingereza tena bali ni Mali ya Raisi wa JMTZ!
 
Ulizia vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…