Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

Hakuna kitu kama hicho.., ardhi yote ni mali ua serikali na sisi ni wapangaji, yeye ni kiongozi tu wa serikali..
Mkuu wa hiyo serkal ni nani kama sio rais tena ndiye amrijeshi Mkuu wa nchi.

*A good wife is from God, but a good husband is from Kigoma*
 
Katiba ndiyo inayompa Raisi wa JMTZ huo uwezo, unajua kwamba Mbezi beach yote kuanzia njia panda ya Kunduchi mpaka Tangi bovu lilikuwa shamba la Katani la Mgiriki, Nyerere akamnyang'anya na kupima viwanja ambavyo leo hii watu wamejenga?
We mzee kwanini unakuwa mjinga sana?? Kwanini unapotosha watu kwa upumbaffu wako?

Ni kweli Rais anaweza kuhamisha watu katika ardhi, lakini anapaswa kuwafidia kwa kuwapa ardhi nyingine, au kwa fedha taslimu.

KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, PAMOJA NA SHERIA ZA ARDHI ZINAELEZA BAYANI KUWA WOTE WALIOCHUKULIWA ARDHI KWA "COMPULSORY ACQUISITION" WANAPASWA KUPEWA FIDIA TOSHELEZI NA YA HAKI.

RAIS ANAWEZA TU KUCHUKUA KIPANDE FULANI CHA ARDHI KWA MANUFAA YA UMMA NA SI VINGINEVYO.

USIPOTOSHE WATANZANIA.

NA NILISHAKWAMBIA, NINAVYOKUSOMA UNAONEKANA KAMA ZEE LISILO NA DIRA.

HUENDA HAUNA MKE, HAUNA WATOTO, NA UNA MSONGO MKUBWA WA MAWAZO.

BADILIKAAA!! !
 
hii nondo inapatikana kwenye sheria ipi
 
hii nondo inapatikana kwenye sheria ipi

Vitu vingine ukivitafuta kwenye maandishi utapata tabu sana......ila ukifuata taratibu za ujenzi kwa kuomba kibali cha ujenzi utakutana na hizi nondo automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…