Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Time will judge ,tupo tumekaa paleeee 😁😁😁
 
Mimi ni Mkristu lakini nahisi waislamu wanabidi waongezwe kwenye uongozi. Nchi yetu sote, na wao pia wapewe mizinga yao ya asali
Hata kama hawana uwezo nazo hizo nafasi au sio ili uwiano uwepo eti?
 
Yaan kwa ulivyokosa akili kwamba wewe utapata mabomu au sio? Mzee utasakwa nyumba kwa nyumba kenge wewe.
 
Keki za Taifa zigombaniwe na watu wote tena kwa uwazi kabisa !! Naunga mkono hoja !!
 
Ulichoandika na unavyojichekesha ni dhahiri fuvu lako Lina shida,kwa hiyo msaada hulipiwa na anayesaidiwa!?..
 
Mimi ni Mtanganyika na wala huko Zanzibar sina ndugu, BABA YANGU NI MHAYA na MAMA YANGU ni MMAKONDE. kwa sasa ninaishi DODOMA huko Zanzibar nimefika kutokana na kazi tu.
Vipi huyaoni sasa ?? Yanayofanywa na huko

Okei unapaona syria, pakistan na palestina, hujiulizi why israel still anawapasua hawa jamaa bado hujajiuliza??


Anyway maendeleo hayaitaji udini unaona somalia? Where are they?? Msijione tu victim ilihali kuna sehem mnaboronga
 
Ipo siku ubagudhi utahamia kwenye madhehebu yetu .mleta mada ni Moja ya aina ya watu wa kupuuzwa . Dhambi ya udini na ukabila ni kama kula nyama za watu huwezi kuacha ukishaanza.Dunia ya sayansi na teknolojia dini Haina nafasi kuleta maendeleo Bali utashi na utendaji wa mtu husika
 
Tena ni aibu mkuu
Hii nchi tumekuwa na mambo ya ajabu ajabu sana,huu siyo hata mjadala wa kuupata nafasi.Yaani badala ya kuangalia uwezo tuanze na Imani ya mtu? Hizi nyuzi zinanikera sana humu siku hizi
 
Ninakuuliza tena hiko kipande cha mkate ambacho waarabu huwapa hao ombaomba kila ijumaa huwa kinamsaidia nn huyo maskini?

Nyie watu ni wajinga wa akili hadi mwili na ndio maana huwa mnaletewa msaada wa tende na nyama ya ngamia.
Itakua hujui thamani ya msaada wewe hata ukiwa mdogo
Maana mmeshaminishwa biashara ndio msaada wenyewe
Samweli
kisha wakampa kipande cha mkate wa tini, na vishada viwili vya zabibu; naye akiisha kula roho yake ikamrudia; kwa maana alikuwa hakula chakula wala kunywa maji, siku tatu mchana na usiku.


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yaan kwa ulivyokosa akili kwamba wewe utapata mabomu au sio? Mzee utasakwa nyumba kwa nyumba kenge wewe.
Unaona ulivyo hauna akili? Mimi muda wa kupigana na mtu sababu ya dini nautoa wapi? Hapo nakueleza wewe uliyesema unaanza kucheza judo na karate.

Hivi kwa nn mnakosaga akili? Kweli kile kitabu ndio kinawalemaza ubongo?
 
Ina maana hujuwi kwanini Waislam waliandamana Ndalichako aondolewe, au unajitia uhayawani tu?
 
Afu wengi ni incompetent maprofesa hata 50 wa dini yao hamna afu akipewa mkristu nafasi wanapiga kelele

Tuwape muda kitu chochote kinachoanza na chuki hakidumu

Hayana muda haya
maprofesa wenyewe ndo hao kina Kabudi?,shida tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…