CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Unahisi hakukuwa na Waislam wenye uwezo wa kushika Nafasi hiyo??Bila shaka kilichokuwa kinawaweka hapo ni uwezo wao na elimu zao zinachangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahisi hakukuwa na Waislam wenye uwezo wa kushika Nafasi hiyo??Bila shaka kilichokuwa kinawaweka hapo ni uwezo wao na elimu zao zinachangia.
Hata kama hawana uwezo nazo hizo nafasi au sio ili uwiano uwepo eti?Mimi ni Mkristu lakini nahisi waislamu wanabidi waongezwe kwenye uongozi. Nchi yetu sote, na wao pia wapewe mizinga yao ya asali
Kama walikuwepo kwanini hawakupewa sasa?Unahisi hakukuwa na Waislam wenye uwezo wa kushika Nafasi hiyo??
Yaan kwa ulivyokosa akili kwamba wewe utapata mabomu au sio? Mzee utasakwa nyumba kwa nyumba kenge wewe.Hii comment imedhihirisha ni kweli hamna akili. Judo na karate kwenye civil war inasaidia nn? Vita ya Sasa ni technology, huyo mtu wa kusubiri umpige judo na karate unakutana nae wapi?
Wewe ni mpumbavu wa mwisho kabisa, dini imekulemaza akili kabisa ndio maanaa unaamini ukifa unaenda kupata mabikra 72
Keki za Taifa zigombaniwe na watu wote tena kwa uwazi kabisa !! Naunga mkono hoja !!ndiyo sababu chadema wanapigania serikali za majimbo. Nafasi za kisiasa watu wachaguliwe na wananchi na teuzi zote za watendaji ziombwe kama ajira ya mkataba. Siyo kuwaachia kundi la watu wanakaa club na konyagi eti wanafanya vetting wanawapa watu wao.
Keki za taifa zinatakiwa kugombaniwa na kila mtu kwa uwazi kabisa
Wanapopewa hapa kwann mnalalamika??Kama walikuwepo kwanini hawakupewa sasa?
#WajiNgaNyiNyi.Hawa dawa yao 2025 watarudi Zanzibar, huwezi kujaza watu wa Pwani, Tanga na Zanzibar kama vile sehemu zingine hakuna watu, wakristo siyo wajinga kiasi hicho
Ulichoandika na unavyojichekesha ni dhahiri fuvu lako Lina shida,kwa hiyo msaada hulipiwa na anayesaidiwa!?..Uaka zitolewe bure?msikitini msaada gani maskini anaopata zaidi ya kipande cha mkate ijumaa? Sasa kweli huo ni msaada?
Nyie kweli akili hakuna, naskia mnapewaga hadi msaada wa nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kweli kabisa karne hii mnasubiri kuletewa msaada wa nyama?
Vipi huyaoni sasa ?? Yanayofanywa na hukoMimi ni Mtanganyika na wala huko Zanzibar sina ndugu, BABA YANGU NI MHAYA na MAMA YANGU ni MMAKONDE. kwa sasa ninaishi DODOMA huko Zanzibar nimefika kutokana na kazi tu.
Kwa neno "mdini" unamaanisha Muislam?Pole shehe. Samia ni mdini na itamgharimu yeye na chama. Chama kiangalie namna vinginevyo uchaguzi ujao ni shida
Tena ni aibu mkuuMtu mwenye uwezo apewe nafasi,kisa Dini fulani mtu apewe tu nafasi ili kubalance? Itakuwa ujinga tu
Hii nchi tumekuwa na mambo ya ajabu ajabu sana,huu siyo hata mjadala wa kuupata nafasi.Yaani badala ya kuangalia uwezo tuanze na Imani ya mtu? Hizi nyuzi zinanikera sana humu siku hiziTena ni aibu mkuu
Itakua hujui thamani ya msaada wewe hata ukiwa mdogoNinakuuliza tena hiko kipande cha mkate ambacho waarabu huwapa hao ombaomba kila ijumaa huwa kinamsaidia nn huyo maskini?
Nyie watu ni wajinga wa akili hadi mwili na ndio maana huwa mnaletewa msaada wa tende na nyama ya ngamia.
Unaona ulivyo hauna akili? Mimi muda wa kupigana na mtu sababu ya dini nautoa wapi? Hapo nakueleza wewe uliyesema unaanza kucheza judo na karate.Yaan kwa ulivyokosa akili kwamba wewe utapata mabomu au sio? Mzee utasakwa nyumba kwa nyumba kenge wewe.
Ina maana hujuwi kwanini Waislam waliandamana Ndalichako aondolewe, au unajitia uhayawani tu?Nakushangaa kwanini umeangalia uongozi wa NECTA pekee na kutolea mfano, inawezekana kabisa una fikra mgando hiyo ndio sababu ya shule nyingi za kiislamu kufanya vibaya kwemye mitihani ya kitaifa.
Ndio maana wakati fulani mlipiga kelele Ndalichako aondolewe, sijui mkafaidi nini baada ya pale, nyie wazee wa JF mna thinking ya ajabu sana, tena iliyopitwa na wakati kabisa.
maprofesa wenyewe ndo hao kina Kabudi?,shida tupu.Afu wengi ni incompetent maprofesa hata 50 wa dini yao hamna afu akipewa mkristu nafasi wanapiga kelele
Tuwape muda kitu chochote kinachoanza na chuki hakidumu
Hayana muda haya