Mkuu, Unabishana na huyo Mzee anayeamini kuwa anayejua historia zote hapa nchini ni yeye tuNarudia kukuambia Mzee huijui historia ya wachagga Chief. Acha kung'ang'ania. Ukitaka historia niambie nikuelekeze pa kuipata.wewe elezea historia ya uislam lakin sio ya wachagga. Tofautisha mandara aliyewapokea wamishenari na Meli aliyepokea utawala wa kijeruman. Nikuulize swali dogo. Unamfahamu mjeruman aliyeitwa "mbuuya" na wachagga?
HUU NDIO UNAFIKI WAKO WE MZEELap...
Hili ulilosema ni jambo linahitaji muda mrefu kuelezwa hapa.
Naamini hujui hujuma zilizokuwa zinafanyika NECTA kiasi ya kusababisha maandamano ya Waislam mwaka wa 2012.
Taarifa zipo na wahusika wanazo.
Mengine nafanya staha siwezi kuyaeleza hapa kwani hapana haja ya kuiamsha fitna iliyolala watu wakachukiana.
Waislam siku zote hudai haki zao kwa upole.
View attachment 2536846
Moja ya bango katika maandamano dhidi ya NECTA 2012
SureDr Slaa ni mfano mzuri kwenye hii mada.
Kwake Mkristo ndio mtu sahihi kuongoza nchi.
Wakati wa JAKAYA Slaa alikuwa mwiba na alishambulia serikali sana,Alipoingia Magufuli,pamoja na ukatili wote lkn Slaa aliungana nae,leo Kaingia Mwislaam Slaa analob kurudi Chadema ili akapate jukwaa la kunadi chuki zake.
Yule Mzee ni Mdini kweli kweli na ana chuki isiyohitaji darubini kutambuaDr Slaa ni mfano mzuri kwenye hii mada.
Kwake Mkristo ndio mtu sahihi kuongoza nchi.
Wakati wa JAKAYA Slaa alikuwa mwiba na alishambulia serikali sana,Alipoingia Magufuli,pamoja na ukatili wote lkn Slaa aliungana nae,leo Kaingia Mwislaam Slaa analob kurudi Chadema ili akapate jukwaa la kunadi chuki zake.
Azarel,HUU NDIO UNAFIKI WAKO WE MZEE
Eti hutaki kuamsha hisia watu wakachukiana ilihali umeshaeleza tangu huko juu na kuweka bango
Mzee ACHA UNAFIKI NA UONGO..wewe ushakuwa Mtu mzima sana
Ukisema Waislam wanadai haki zao kwa Upole huo ni Uongo, ninyi ndio vinara wa Maandamano.
Azarel,Mkuu, Unabishana na huyo Mzee anayeamini kuwa anayejua historia zote hapa nchini ni yeye tu
Anaweza akakuambia anajua historia ya Baba yako kuliko wewe
Au anajua historia yako tangu uzaliwe kuliko hata wazazi wako
Hapo unapoteza tu muda, huyo Mzee hakubali kushindwa
Kitali,Narudia kukuambia Mzee huijui historia ya wachagga Chief. Acha kung'ang'ania. Ukitaka historia niambie nikuelekeze pa kuipata.wewe elezea historia ya uislam lakin sio ya wachagga. Tofautisha mandara aliyewapokea wamishenari na Meli aliyepokea utawala wa kijeruman. Nikuulize swali dogo. Unamfahamu mjeruman aliyeitwa "mbuuya" na wachagga?
Mbona hukuongea alipoteua wakuu wa wilaya 95% wakiwa ni Wakristo?
Weka na Wakuu wa Nchi (Marais), Makamu wa Rais na Mawaziri Wakuu kwa Upande wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania : -
Tuanze :
1) Rais Awamu ya kwanza Mkisto
Rais wa Zanzibar. Muislam
2) Awamu ya Pili. Muislam
Rais wa Zanzibar. Muislam
Makamu/Rais. Muislam
Waziri Mkuu. Muislam
3) Awamu ya 3
Rais Mkristo,
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Mkristo
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais Muislam
W/Mkuu. Muislam
Jaji Mkuu. Muislam
4) Awamu ya 4 -
- Rais. Muislam
- Makamu wa Rais Muislam
- Waziri Mkuu. Muislam
- Jaji Mkuu. Muislam
- Rair wa Zanzibar. Muislam
5) Awamu ya 5
- Rais. Mkristo
- Makamu Mkristo,
- Waziri Mkuu. Muislam
- Rais wa Zanzibar Muislam
- M/Rais Zanzibar Muislam
- Waziri Mkuu Muislam
- Jaji Mkuu. Muislam
6) Awamu ya 6
-W/ Mkuu. Muislam
- Rais. Muislam
- M/ Rais. Mkristo
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Muislam
Hapa viongozi wakuu wa JMT, 80% ni Waislam Tangu kupatikana kwa Uhuru
Kitali:Narudia kukuambia Mzee huijui historia ya wachagga Chief. Acha kung'ang'ania. Ukitaka historia niambie nikuelekeze pa kuipata.wewe elezea historia ya uislam lakin sio ya wachagga. Tofautisha mandara aliyewapokea wamishenari na Meli aliyepokea utawala wa kijeruman. Nikuulize swali dogo. Unamfahamu mjeruman aliyeitwa "mbuuya" na wachagga?
kaa utulie.Waislam wana Udini sana
Bora umekubali umeandika kuhusu kirama. Sasa hiyo sio historia ya wachagga Chief. Na kwa kukusaidia wachagga yeyote alikuwa anaweza kuhama eneo moja kwenda lingine kama ana shida na mfalme wa eneo moja na ndio maana unaweza kukuta ukoo wa massawe kibosho na ukaukuta machame na rombo pia. Ni watu walikuwa wanakimbia tawala zao wanaenda kuomba hifadhi tawala nyingine. We unasema umeandika kitabu miaka miwili wakat Mimi nimekuta vitabu vyenye historia ya wachagga tangu nikiwa mdogo.Kitali,
Mimi nimeandika kitabu na kipo sasa mwaka wa pili kinasomwa na karibuni In Shaa Allah tutakwenda chapa ya pili.
Mimi nimeandika maisha ya Rajabu Kirama ambae imetokea kuwa ni Mchagga.
Sikuandika historia ya Wachagga.
Kuhusu Mandara na mwanae Meli nimewaeleza kama nilivyokutananao katika maisha ya Muro Mboyo baba yake Rajabu Kirama.
Mandara ndiye aliyempa hifadhi Muro Mboyo baada ya kukimbia Machame kwa kuogopa kuuliwa.
''Mbuuya'' simfahamu nitashuikuru kusoma historia yake.
Nakuwekea kipande kutoka kitabu cha Rajabu Kirama kwa faida ya wasomaji wote:
''Historia ya Bruno Gutmann rafiki wa Muro Mboyo ni historia ya kipekee kabisa.
Muro Mboyo alikuwa na usuhuba mkubwa na Gutmann; tutakuja kueleza historia ya uhusiano huu baadaye na vipi watu hawa walikutana Old Moshi.
Muro Mboyo wakati huo alikuwa akiishi hapo uhamishoni kama mkimbizi na Gutmann akitoka kwao mbali Ujerumani akaja Uchaggani kama mtumishi wa kanisa katika madhehebu ya Kilutheri.
Gutmann ameandika vitabu vingi kuhusu Wachagga na tofauti na Wazungu wengine ni kuwa Gutmann hakuwaangalia Waafrika kama watu wa chini wasiojua kitu na wasiokuwa na historia yao wala mila na sheria zao.
Gutmann aliwaheshimu Wachagga akawapenda na wao wakampenda mwisho wa mapenzi kiasi wakampa jina wakamwita, “Wasau o Wachaka”, yaani “Babu wa Wachagga”.
Gutmann kwa mapenzi haya akausia kuwa atakapokufa, basi azikwe Old Moshi.
Akalijenga kaburi lake hapo lakini hili halikutokea kwani Gutmann alikufa kwao Ujerumani mwaka wa 1966 na akazikwa huko na lile kaburi lake limebaki hapo Kidia Old Moshi katika uwanja wa kanisa kama kumbukumbu yake.[1]
Gutmann akawa amecha kaburi lisilo na mwili wake kwa nduguze Wachagga na akawa na kaburi lililo na mifupa yake kwao Ujerumani.
[1] Klaus Fiedler, “Christianity and African Culture Conservative Germany Protestant Missionaries in Tanzania 1900 – 1940”, E. J. Brill, 1996.
Inasaidia nini sasa kwamba ndio tujue unajua historia sana au. Hiv unajua leo hii wazungu wanaruhusu hata mashoga kutoa mihadhara kwenye vyiuo vyao kweli? Kuhusu kutembea nchi za watu huenda nimeenda mbali zaid yako. Ila muhim tambua kuwa uhuru au wapigania uhuru hawakuanza na hao wavaa vipedo hapo kkoo. Walikuwepo mtemi isike mkwawa Mangi sina nkKitali:
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam
Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam
The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Awards: Several Awards
Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
Weka na Wakuu wa Nchi (Marais), Makamu wa Rais na Mawaziri Wakuu kwa Upande wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania : -
Tuanze :
1) Rais Awamu ya kwanza Mkisto
Rais wa Zanzibar. Muislam
2) Awamu ya Pili. Muislam
Rais wa Zanzibar. Muislam
Makamu/Rais. Muislam
Waziri Mkuu. Muislam
3) Awamu ya 3
Rais Mkristo,
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Mkristo
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais Muislam
W/Mkuu. Muislam
Jaji Mkuu. Muislam
4) Awamu ya 4 -
- Rais. Muislam
- Makamu wa Rais Muislam
- Waziri Mkuu. Muislam
- Jaji Mkuu. Muislam
- Rair wa Zanzibar. Muislam
5) Awamu ya 5
- Rais. Mkristo
- Makamu Mkristo,
- Waziri Mkuu. Muislam
- Rais wa Zanzibar Muislam
- M/Rais Zanzibar Muislam
- Waziri Mkuu Muislam
- Jaji Mkuu. Muislam
6) Awamu ya 6
-W/ Mkuu. Muislam
- Rais. Muislam
- M/ Rais. Mkristo
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Muislam
Hapa viongozi wakuu wa JMT, 80% ni Waislam Tangu kupatikana kwa Uhuru
Kitali,Inasaidia nini sasa kwamba ndio tujue unajua historia sana au. Hiv unajua leo hii wazungu wanaruhusu hata mashoga kutoa mihadhara kwenye vyiuo vyao kweli? Kuhusu kutembea nchi za watu huenda nimeenda mbali zaid yako. Ila muhim tambua kuwa uhuru au wapigania uhuru hawakuanza na hao wavaa vipedo hapo kkoo. Walikuwepo mtemi isike mkwawa Mangi sina nk
Hilo analijua sn, ndiyo maana huwezi kusikia ameenda Mbeya au Tanga yeye ni Arusha na MwanzaHuko Arusha ndio kabisaa MSAHAU
Mi cjakutukana Chief nimekuambia ukweli leo hii ukienda vyuo vingi ulaya mashoga wanapewa mhadhara so sio inshu sana kwa wazungu. Mwaka jana nilikuwa Winnipeg Canada nina kijana wangu alikuwa wanafanya mahafali. Sio kwamba nakutania niliona so sio inshu.Kitali,
Umekasirika sana unanitukana.
Nakutaka radhi ikiwa nimekuudhi kwa mimi kujitambulisha kwako.
Kitali,Mi cjakutukana Chief nimekuambia ukweli leo hii ukienda vyuo vingi ulaya mashoga wanapewa mhadhara so sio inshu sana kwa wazungu. Mwaka jana nilikuwa Winnipeg Canada nina kijana wangu alikuwa wanafanya mahafali. Sio kwamba nakutania niliona so sio inshu.
acha upuuzi, hujuma zingekua zinafanyika mbona hata huko mavyuoni ham trend, mpaka leo shule zenu zinashika mkia hyo necta bado parokia?Lap...
Hili ulilosema ni jambo linahitaji muda mrefu kuelezwa hapa.
Naamini hujui hujuma zilizokuwa zinafanyika NECTA kiasi ya kusababisha maandamano ya Waislam mwaka wa 2012.
Taarifa zipo na wahusika wanazo.
Mengine nafanya staha siwezi kuyaeleza hapa kwani hapana haja ya kuiamsha fitna iliyolala watu wakachukiana.
Waislam siku zote hudai haki zao kwa upole.
View attachment 2536846
Moja ya bango katika maandamano dhidi ya NECTA 2012
tena umekosea awamu ya tano rais mkristo, makamu muislamWeka na Wakuu wa Nchi (Marais), Makamu wa Rais na Mawaziri Wakuu kwa Upande wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania : -
Tuanze :
1) Rais Awamu ya kwanza Mkisto
Rais wa Zanzibar. Muislam
2) Awamu ya Pili. Muislam
Rais wa Zanzibar. Muislam
Makamu/Rais. Muislam
Waziri Mkuu. Muislam
3) Awamu ya 3
Rais Mkristo,
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Mkristo
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais Muislam
W/Mkuu. Muislam
Jaji Mkuu. Muislam
4) Awamu ya 4 -
- Rais. Muislam
- Makamu wa Rais Muislam
- Waziri Mkuu. Muislam
- Jaji Mkuu. Muislam
- Rair wa Zanzibar. Muislam
5) Awamu ya 5
- Rais. Mkristo
- Makamu Mkristo,
- Waziri Mkuu. Muislam
- Rais wa Zanzibar Muislam
- M/Rais Zanzibar Muislam
- Waziri Mkuu Muislam
- Jaji Mkuu. Muislam
6) Awamu ya 6
-W/ Mkuu. Muislam
- Rais. Muislam
- M/ Rais. Mkristo
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Muislam
Hapa viongozi wakuu wa JMT, 80% ni Waislam Tangu kupatikana kwa Uhuru
hivyo vitabu vyako vinasomwa shule ganiKitali,