Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Narudia kukuambia Mzee huijui historia ya wachagga Chief. Acha kung'ang'ania. Ukitaka historia niambie nikuelekeze pa kuipata.wewe elezea historia ya uislam lakin sio ya wachagga. Tofautisha mandara aliyewapokea wamishenari na Meli aliyepokea utawala wa kijeruman. Nikuulize swali dogo. Unamfahamu mjeruman aliyeitwa "mbuuya" na wachagga?
Mkuu, Unabishana na huyo Mzee anayeamini kuwa anayejua historia zote hapa nchini ni yeye tu

Anaweza akakuambia anajua historia ya Baba yako kuliko wewe

Au anajua historia yako tangu uzaliwe kuliko hata wazazi wako

Hapo unapoteza tu muda, huyo Mzee hakubali kushindwa
 
Lap...
Hili ulilosema ni jambo linahitaji muda mrefu kuelezwa hapa.

Naamini hujui hujuma zilizokuwa zinafanyika NECTA kiasi ya kusababisha maandamano ya Waislam mwaka wa 2012.

Taarifa zipo na wahusika wanazo.

Mengine nafanya staha siwezi kuyaeleza hapa kwani hapana haja ya kuiamsha fitna iliyolala watu wakachukiana.

Waislam siku zote hudai haki zao kwa upole.

View attachment 2536846
Moja ya bango katika maandamano dhidi ya NECTA 2012​
HUU NDIO UNAFIKI WAKO WE MZEE

Eti hutaki kuamsha hisia watu wakachukiana ilihali umeshaeleza tangu huko juu na kuweka bango

Mzee ACHA UNAFIKI NA UONGO..wewe ushakuwa Mtu mzima sana

Ukisema Waislam wanadai haki zao kwa Upole huo ni Uongo, ninyi ndio vinara wa Maandamano.
 
Dr Slaa ni mfano mzuri kwenye hii mada.
Kwake Mkristo ndio mtu sahihi kuongoza nchi.
Wakati wa JAKAYA Slaa alikuwa mwiba na alishambulia serikali sana,Alipoingia Magufuli,pamoja na ukatili wote lkn Slaa aliungana nae,leo Kaingia Mwislaam Slaa analob kurudi Chadema ili akapate jukwaa la kunadi chuki zake.
Sure
 
Yule Mzee ni Mdini kweli kweli na ana chuki isiyohitaji darubini kutambua

2015 alikataa kumuunga mkono Edward Lowassa kwa kuwa sio Mkatoliki mwenzie japo Mkristo mwenzie

ila uzuri wa watanzania wengi huwa si wabaguzi kwa namna yoyote ile …watakusikiliza, watakupigia makofi ukimaliza hotuba wanakupuuza
 
HUU NDIO UNAFIKI WAKO WE MZEE

Eti hutaki kuamsha hisia watu wakachukiana ilihali umeshaeleza tangu huko juu na kuweka bango

Mzee ACHA UNAFIKI NA UONGO..wewe ushakuwa Mtu mzima sana

Ukisema Waislam wanadai haki zao kwa Upole huo ni Uongo, ninyi ndio vinara wa Maandamano.
Azarel,
Ungeweza ukaeleza hayo uliyoandika kistaarabu na kwa adabu na heshima.

Umekwishatambua mimi ni mzee hivyo kwa mila zetu hupashwi tena kunizomea.

Maandamano ni njia ya amani.

Angalia picha hapo chini ya maandamano katikati ya New York, Manhattan maduka yote yako wazi hayajafungwa.

Angalia na maandamano hayo mengine picha ya mwisho hapa nyumbani.

1677994583090.jpeg

1677994770907.jpeg

1677994821593.jpeg

1677994862158.jpeg
 
Mkuu, Unabishana na huyo Mzee anayeamini kuwa anayejua historia zote hapa nchini ni yeye tu

Anaweza akakuambia anajua historia ya Baba yako kuliko wewe

Au anajua historia yako tangu uzaliwe kuliko hata wazazi wako

Hapo unapoteza tu muda, huyo Mzee hakubali kushindwa
Azarel,
Si kweli kuwa sikubali kushindwa.

Wewe utashinda vipi mjadala ikiwa huleti hoja ila matusi?

Mtanishinda vipi wakati mnaingia katika mjadala tayari mmeghadhibika?
 
Narudia kukuambia Mzee huijui historia ya wachagga Chief. Acha kung'ang'ania. Ukitaka historia niambie nikuelekeze pa kuipata.wewe elezea historia ya uislam lakin sio ya wachagga. Tofautisha mandara aliyewapokea wamishenari na Meli aliyepokea utawala wa kijeruman. Nikuulize swali dogo. Unamfahamu mjeruman aliyeitwa "mbuuya" na wachagga?
Kitali,
Mimi nimeandika kitabu na kipo sasa mwaka wa pili kinasomwa na karibuni In Shaa Allah tutakwenda chapa ya pili.

Mimi nimeandika maisha ya Rajabu Kirama ambae imetokea kuwa ni Mchagga.

Sikuandika historia ya Wachagga.

Kuhusu Mandara na mwanae Meli nimewaeleza kama nilivyokutananao katika maisha ya Muro Mboyo baba yake Rajabu Kirama.

Mandara ndiye aliyempa hifadhi Muro Mboyo baada ya kukimbia Machame kwa kuogopa kuuliwa.

''Mbuuya'' simfahamu nitashuikuru kusoma historia yake.

Nakuwekea kipande kutoka kitabu cha Rajabu Kirama kwa faida ya wasomaji wote:

''Historia ya Bruno Gutmann rafiki wa Muro Mboyo ni historia ya kipekee kabisa.

Muro Mboyo alikuwa na usuhuba mkubwa na Gutmann; tutakuja kueleza historia ya uhusiano huu baadaye na vipi watu hawa walikutana Old Moshi.

Muro Mboyo wakati huo alikuwa akiishi hapo uhamishoni kama mkimbizi na Gutmann akitoka kwao mbali Ujerumani akaja Uchaggani kama mtumishi wa kanisa katika madhehebu ya Kilutheri.

Gutmann ameandika vitabu vingi kuhusu Wachagga na tofauti na Wazungu wengine ni kuwa Gutmann hakuwaangalia Waafrika kama watu wa chini wasiojua kitu na wasiokuwa na historia yao wala mila na sheria zao.

Gutmann aliwaheshimu Wachagga akawapenda na wao wakampenda mwisho wa mapenzi kiasi wakampa jina wakamwita, Wasau o Wachaka”, yaani “Babu wa Wachagga”.

Gutmann kwa mapenzi haya akausia kuwa atakapokufa, basi azikwe Old Moshi.

Akalijenga kaburi lake hapo lakini hili halikutokea kwani Gutmann alikufa kwao Ujerumani mwaka wa 1966 na akazikwa huko na lile kaburi lake limebaki hapo Kidia Old Moshi katika uwanja wa kanisa kama kumbukumbu yake.[1]

Gutmann akawa amecha kaburi lisilo na mwili wake kwa nduguze Wachagga na akawa na kaburi lililo na mifupa yake kwao Ujerumani.

[1] Klaus Fiedler, “Christianity and African Culture Conservative Germany Protestant Missionaries in Tanzania 1900 – 1940”, E. J. Brill, 1996.
 
waislamu waliouelewa vibaya uislamu ni wabaguzi na hawafai kabisa..nikiwa nasoma udom wakati wa cancellor kutoka zenji,dvc finance na vc walikua waislamu.college yangu wapemba wakawa kibao..wakaanza kukaa vikao wakavunja magroup ya discussion..ikafika wakati wa kuchagua serikali ya wanafunzi basi akagombea muislam ambaye alikua schoolmate wangu na kaka yake ambaye sasa ni waziri alikua na cheo kikubwa uvccm.akawa anagombea na mdada mmoja mkiristo aisee hawa waislamu kwa kutojua walikua ni 20 percent ya whole population wakaanza kampeni za udini,amini usiamini hata walevi walienda kupiga kura na mwamba alishindwa vibaya sana..
 
Weka na Wakuu wa Nchi (Marais), Makamu wa Rais na Mawaziri Wakuu kwa Upande wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania : -

Tuanze :

1) Rais Awamu ya kwanza Mkisto
Rais wa Zanzibar. Muislam

2) Awamu ya Pili. Muislam
Rais wa Zanzibar. Muislam
Makamu/Rais. Muislam
Waziri Mkuu. Muislam

3) Awamu ya 3

Rais Mkristo,
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Mkristo
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais Muislam
W/Mkuu. Muislam
Jaji Mkuu. Muislam

4) Awamu ya 4 -

  • Rais. Muislam
  • Makamu wa Rais Muislam
  • Waziri Mkuu. Muislam
  • Jaji Mkuu. Muislam
  • Rair wa Zanzibar. Muislam

5) Awamu ya 5

- Rais. Mkristo

  • Makamu Mkristo,
  • Waziri Mkuu. Muislam
  • Rais wa Zanzibar Muislam
  • M/Rais Zanzibar Muislam
  • Waziri Mkuu Muislam
  • Jaji Mkuu. Muislam

6) Awamu ya 6

  • Rais. Muislam
  • M/ Rais. Mkristo
-W/ Mkuu. Muislam
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Muislam

Hapa viongozi wakuu wa JMT, 80% ni Waislam Tangu kupatikana kwa Uhuru

Narudia kukuambia Mzee huijui historia ya wachagga Chief. Acha kung'ang'ania. Ukitaka historia niambie nikuelekeze pa kuipata.wewe elezea historia ya uislam lakin sio ya wachagga. Tofautisha mandara aliyewapokea wamishenari na Meli aliyepokea utawala wa kijeruman. Nikuulize swali dogo. Unamfahamu mjeruman aliyeitwa "mbuuya" na wachagga?
Kitali:
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 
Kitali,
Mimi nimeandika kitabu na kipo sasa mwaka wa pili kinasomwa na karibuni In Shaa Allah tutakwenda chapa ya pili.

Mimi nimeandika maisha ya Rajabu Kirama ambae imetokea kuwa ni Mchagga.

Sikuandika historia ya Wachagga.

Kuhusu Mandara na mwanae Meli nimewaeleza kama nilivyokutananao katika maisha ya Muro Mboyo baba yake Rajabu Kirama.

Mandara ndiye aliyempa hifadhi Muro Mboyo baada ya kukimbia Machame kwa kuogopa kuuliwa.

''Mbuuya'' simfahamu nitashuikuru kusoma historia yake.

Nakuwekea kipande kutoka kitabu cha Rajabu Kirama kwa faida ya wasomaji wote:

''Historia ya Bruno Gutmann rafiki wa Muro Mboyo ni historia ya kipekee kabisa.

Muro Mboyo alikuwa na usuhuba mkubwa na Gutmann; tutakuja kueleza historia ya uhusiano huu baadaye na vipi watu hawa walikutana Old Moshi.

Muro Mboyo wakati huo alikuwa akiishi hapo uhamishoni kama mkimbizi na Gutmann akitoka kwao mbali Ujerumani akaja Uchaggani kama mtumishi wa kanisa katika madhehebu ya Kilutheri.

Gutmann ameandika vitabu vingi kuhusu Wachagga na tofauti na Wazungu wengine ni kuwa Gutmann hakuwaangalia Waafrika kama watu wa chini wasiojua kitu na wasiokuwa na historia yao wala mila na sheria zao.

Gutmann aliwaheshimu Wachagga akawapenda na wao wakampenda mwisho wa mapenzi kiasi wakampa jina wakamwita, Wasau o Wachaka”, yaani “Babu wa Wachagga”.

Gutmann kwa mapenzi haya akausia kuwa atakapokufa, basi azikwe Old Moshi.

Akalijenga kaburi lake hapo lakini hili halikutokea kwani Gutmann alikufa kwao Ujerumani mwaka wa 1966 na akazikwa huko na lile kaburi lake limebaki hapo Kidia Old Moshi katika uwanja wa kanisa kama kumbukumbu yake.[1]

Gutmann akawa amecha kaburi lisilo na mwili wake kwa nduguze Wachagga na akawa na kaburi lililo na mifupa yake kwao Ujerumani.

[1] Klaus Fiedler, “Christianity and African Culture Conservative Germany Protestant Missionaries in Tanzania 1900 – 1940”, E. J. Brill, 1996.
Bora umekubali umeandika kuhusu kirama. Sasa hiyo sio historia ya wachagga Chief. Na kwa kukusaidia wachagga yeyote alikuwa anaweza kuhama eneo moja kwenda lingine kama ana shida na mfalme wa eneo moja na ndio maana unaweza kukuta ukoo wa massawe kibosho na ukaukuta machame na rombo pia. Ni watu walikuwa wanakimbia tawala zao wanaenda kuomba hifadhi tawala nyingine. We unasema umeandika kitabu miaka miwili wakat Mimi nimekuta vitabu vyenye historia ya wachagga tangu nikiwa mdogo.
 
Kitali:
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
Inasaidia nini sasa kwamba ndio tujue unajua historia sana au. Hiv unajua leo hii wazungu wanaruhusu hata mashoga kutoa mihadhara kwenye vyiuo vyao kweli? Kuhusu kutembea nchi za watu huenda nimeenda mbali zaid yako. Ila muhim tambua kuwa uhuru au wapigania uhuru hawakuanza na hao wavaa vipedo hapo kkoo. Walikuwepo mtemi isike mkwawa Mangi sina nk
 
Weka na Wakuu wa Nchi (Marais), Makamu wa Rais na Mawaziri Wakuu kwa Upande wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania : -

Tuanze :

1) Rais Awamu ya kwanza Mkisto
Rais wa Zanzibar. Muislam

2) Awamu ya Pili. Muislam
Rais wa Zanzibar. Muislam
Makamu/Rais. Muislam
Waziri Mkuu. Muislam

3) Awamu ya 3

Rais Mkristo,
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Mkristo
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais Muislam
W/Mkuu. Muislam
Jaji Mkuu. Muislam

4) Awamu ya 4 -

  • Rais. Muislam
  • Makamu wa Rais Muislam
  • Waziri Mkuu. Muislam
  • Jaji Mkuu. Muislam
  • Rair wa Zanzibar. Muislam

5) Awamu ya 5

- Rais. Mkristo

  • Makamu Mkristo,
  • Waziri Mkuu. Muislam
  • Rais wa Zanzibar Muislam
  • M/Rais Zanzibar Muislam
  • Waziri Mkuu Muislam
  • Jaji Mkuu. Muislam

6) Awamu ya 6

  • Rais. Muislam
  • M/ Rais. Mkristo
-W/ Mkuu. Muislam
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Muislam

Hapa viongozi wakuu wa JMT, 80% ni Waislam Tangu kupatikana kwa Uhuru
Inasaidia nini sasa kwamba ndio tujue unajua historia sana au. Hiv unajua leo hii wazungu wanaruhusu hata mashoga kutoa mihadhara kwenye vyiuo vyao kweli? Kuhusu kutembea nchi za watu huenda nimeenda mbali zaid yako. Ila muhim tambua kuwa uhuru au wapigania uhuru hawakuanza na hao wavaa vipedo hapo kkoo. Walikuwepo mtemi isike mkwawa Mangi sina nk
Kitali,
Umekasirika sana unanitukana.

Nakutaka radhi ikiwa nimekuudhi kwa mimi kujitambulisha kwako.
 
Mi cjakutukana Chief nimekuambia ukweli leo hii ukienda vyuo vingi ulaya mashoga wanapewa mhadhara so sio inshu sana kwa wazungu. Mwaka jana nilikuwa Winnipeg Canada nina kijana wangu alikuwa wanafanya mahafali. Sio kwamba nakutania niliona so sio inshu.
 
Inatosha.
 
Lap...
Hili ulilosema ni jambo linahitaji muda mrefu kuelezwa hapa.

Naamini hujui hujuma zilizokuwa zinafanyika NECTA kiasi ya kusababisha maandamano ya Waislam mwaka wa 2012.

Taarifa zipo na wahusika wanazo.

Mengine nafanya staha siwezi kuyaeleza hapa kwani hapana haja ya kuiamsha fitna iliyolala watu wakachukiana.

Waislam siku zote hudai haki zao kwa upole.

View attachment 2536846
Moja ya bango katika maandamano dhidi ya NECTA 2012​
acha upuuzi, hujuma zingekua zinafanyika mbona hata huko mavyuoni ham trend, mpaka leo shule zenu zinashika mkia hyo necta bado parokia?
na jee watawala wenu, mwinyi,kikwete walishindwa kubaini na kuchukua hatua.
inakuaje mna vyuo 2 tu tanzania na znz,
acheni urojo mjitume na kusoma.
wafundisheni watoto elimu dunia waachane na madrasat latul
 
Weka na Wakuu wa Nchi (Marais), Makamu wa Rais na Mawaziri Wakuu kwa Upande wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania : -

Tuanze :

1) Rais Awamu ya kwanza Mkisto
Rais wa Zanzibar. Muislam

2) Awamu ya Pili. Muislam
Rais wa Zanzibar. Muislam
Makamu/Rais. Muislam
Waziri Mkuu. Muislam

3) Awamu ya 3

Rais Mkristo,
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Mkristo
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais Muislam
W/Mkuu. Muislam
Jaji Mkuu. Muislam

4) Awamu ya 4 -

  • Rais. Muislam
  • Makamu wa Rais Muislam
  • Waziri Mkuu. Muislam
  • Jaji Mkuu. Muislam
  • Rair wa Zanzibar. Muislam

5) Awamu ya 5

- Rais. Mkristo

  • Makamu Mkristo,
  • Waziri Mkuu. Muislam
  • Rais wa Zanzibar Muislam
  • M/Rais Zanzibar Muislam
  • Waziri Mkuu Muislam
  • Jaji Mkuu. Muislam

6) Awamu ya 6

  • Rais. Muislam
  • M/ Rais. Mkristo
-W/ Mkuu. Muislam
Rais wa Zanzibar. Muislam
M/ Rais. Muislam
W/ Mkuu. Muislam

Hapa viongozi wakuu wa JMT, 80% ni Waislam Tangu kupatikana kwa Uhuru
tena umekosea awamu ya tano rais mkristo, makamu muislam
 
Kitali,
Mimi nimeandika kitabu na kipo sasa mwaka wa pili kinasomwa na karibuni In Shaa Allah tutakwenda chapa ya pili.

Mimi nimeandika maisha ya Rajabu Kirama ambae imetokea kuwa ni Mchagga.

Sikuandika historia ya Wachagga.

Kuhusu Mandara na mwanae Meli nimewaeleza kama nilivyokutananao katika maisha ya Muro Mboyo baba yake Rajabu Kirama.

Mandara ndiye aliyempa hifadhi Muro Mboyo baada ya kukimbia Machame kwa kuogopa kuuliwa.

''Mbuuya'' simfahamu nitashuikuru kusoma historia yake.

Nakuwekea kipande kutoka kitabu cha Rajabu Kirama kwa faida ya wasomaji wote:

''Historia ya Bruno Gutmann rafiki wa Muro Mboyo ni historia ya kipekee kabisa.

Muro Mboyo alikuwa na usuhuba mkubwa na Gutmann; tutakuja kueleza historia ya uhusiano huu baadaye na vipi watu hawa walikutana Old Moshi.

Muro Mboyo wakati huo alikuwa akiishi hapo uhamishoni kama mkimbizi na Gutmann akitoka kwao mbali Ujerumani akaja Uchaggani kama mtumishi wa kanisa katika madhehebu ya Kilutheri.

Gutmann ameandika vitabu vingi kuhusu Wachagga na tofauti na Wazungu wengine ni kuwa Gutmann hakuwaangalia Waafrika kama watu wa chini wasiojua kitu na wasiokuwa na historia yao wala mila na sheria zao.

Gutmann aliwaheshimu Wachagga akawapenda na wao wakampenda mwisho wa mapenzi kiasi wakampa jina wakamwita, Wasau o Wachaka”, yaani “Babu wa Wachagga”.

Gutmann kwa mapenzi haya akausia kuwa atakapokufa, basi azikwe Old Moshi.

Akalijenga kaburi lake hapo lakini hili halikutokea kwani Gutmann alikufa kwao Ujerumani mwaka wa 1966 na akazikwa huko na lile kaburi lake limebaki hapo Kidia Old Moshi katika uwanja wa kanisa kama kumbukumbu yake.[1]

Gutmann akawa amecha kaburi lisilo na mwili wake kwa nduguze Wachagga na akawa na kaburi lililo na mifupa yake kwao Ujerumani.

[1] Klaus Fiedler, “Christianity and African Culture Conservative Germany Protestant Missionaries in Tanzania 1900 – 1940”, E. J. Brill, 1996.
hivyo vitabu vyako vinasomwa shule gani
 
Back
Top Bottom