Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Wakristo ni wadini sana, na kila inchi wanayoona wanaenda kushindwa basi huanzishwa fujo, yaani wako radhi inchi isitawalike kwa kuwa tu wao sio viongozi,

tena hili la kuwa mama wa kiislamu ndio amekuwa rais wa kwanza mwanamke tanzania kwa kweli wameumia sana

Nadhani hawapo sahihi
 
Udini wao uko wapi ?
 
Vatican ni nchi Siyo Dini ndio sababu Nimesema Someni historia!
Watangulizi wake Mwinyi na Kikwete walipaswa kumueleza vyema juu ya Kanisa Katoliki la Roma,Mwinyi alimpokea Papa mwaka 1990 na Kikwete alimfuata Papa kule Vatican ila Mama yeye anashinda Oman na Saudi Arabia! Jenerali Ulimwengu aliwahi kuuliza,hivi huyu Mama anaijua vizuri hii nchi!? Nilimdharau Jenerali Ulimwengu ila leo ndio naanza kutambua ukubwa wa swali lake.
 
Tanzania ndio iliyotoa Mwafrika wa kwanza kuwa Kardinali nae ni Kardinali Rugambwa,aliiwakilisha Afrika hadi pale Nigeria ilipotoa Kardinali wa pili Mwafrika,mpaka hapo jibu mnalo kuhusu uhusiano wa Vatican na Tanzania bila kusahau MIVA.
 
Na unamzungumzia Mwenyekheri Julius Nyerere
Kwa namna Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyohudumu na kupita kwenye misuko suko akiwa pamoja na Kanisa Katoliki la Roma bila shaka Kanisa linalo sababu kumpa cheo cha "Mwenyeheri wa Kanisa".
 
Sijui Hayati Rais Magufuli alilala wapi alipotembelea Morogoro kufungua soko la kingalu,ila Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotembelea Morogoro na Mkoa wowote alilala Uaskofuni wa Kanisa Katoliki la Roma.
 
Akienda Rome ujue kaitwa sio hiari
Waraka waraka huu tusubiri
Aende tumtakie safari njema atarudi na habari njema then tutarejea panapo

Roman Catholic ni zaidi ya tunavyoiona
 
Siyo TEC imeleta udini kwa kubaniwa njia zao za wizi.


Na bado pesa zinazotoka serikalini, zitafinywa tu hivi karibuni.
 
Wakuu inasemekana safari unapangwa kwenda Vatican kukutana na Baba mtakatifu Pope Francis


Je kwanini ziara hii inapangwa wakati huu?


Je ziara inalenga kuwaonyesha wawakilishi wa kiroho wa pope Tanzania si kitu?
Vatican isimpokee huyo Bi. Tozo
 
Soma historia kijana hili ni taifa la Vatican hata Bakwata na FaizaFoxy wanaelewa vizuri sana!

Wewe Unamchokoza FaizaFoxy
nina Hakika 100% Humuwezi,
Kwanza mimi ninampenda,Nahitaji Kaka yangu Pascal Mayalla Apate hiki chombo Basi tuu sasa hivi FaizaFoxy yuko bussy!
Ila anajua mimi na Yeye tunaheshimiana mnoo na Tunaheshimu mawazo yetu![emoji1666]
 
La udini Rais wetu amelikorogaje,,wapi, kivipi
 
Akienda Rome ujue kaitwa sio hiari
Waraka waraka huu tusubiri
Aende tumtakie safari njema atarudi na habari njema then tutarejea panapo

Roman Catholic ni zaidi ya tunavyoiona
Hapana...wasimruhusu kukanyaga Vatican
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…