Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Kama Serikali haina dini basi asiende Vatican kwa Papa anakoandaliwa Safari ya kwenda uko hivi sasa.Tanzania hakuna udini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Serikali haina dini basi asiende Vatican kwa Papa anakoandaliwa Safari ya kwenda uko hivi sasa.Tanzania hakuna udini!
Soma historia kijana hili ni taifa la Vatican hata Bakwata na FaizaFoxy wanaelewa vizuri sana!Kama Serikali haina dini basi asiende Vatican kwa Papa anakoandaliwa Safari ya kwenda uko hivi sasa.
Wewe huyooo uliesema tanzania hakuna udini?Soma historia kijana hili ni taifa la Vatican hata Bakwata na FaizaFoxy wanaelewa vizuri sana!
Udini wao uko wapi ?Wakristo ni wadini sana, na kila inchi wanayoona wanaenda kushindwa basi huanzishwa fujo, yaani wako radhi inchi isitawalike kwa kuwa tu wao sio viongozi,
tena hili la kuwa mama wa kiislamu ndio amekuwa rais wa kwanza mwanamke tanzania kwa kweli wameumia sana
Nadhani hawapo sahihi
Vatican ni nchi Siyo Dini ndio sababu Nimesema Someni historia!Wewe huyooo uliesema tanzania hakuna udini?
Unapozungumzia Vatican unazungumzia dini ya Roman Catholic,unapozungumzia Roman Catholic unazungumzia Roman Empire akina CaesarSoma historia kijana hili ni taifa la Vatican hata Bakwata na FaizaFoxy wanaelewa vizuri sana!
Watangulizi wake Mwinyi na Kikwete walipaswa kumueleza vyema juu ya Kanisa Katoliki la Roma,Mwinyi alimpokea Papa mwaka 1990 na Kikwete alimfuata Papa kule Vatican ila Mama yeye anashinda Oman na Saudi Arabia! Jenerali Ulimwengu aliwahi kuuliza,hivi huyu Mama anaijua vizuri hii nchi!? Nilimdharau Jenerali Ulimwengu ila leo ndio naanza kutambua ukubwa wa swali lake.Vatican ni nchi Siyo Dini ndio sababu Nimesema Someni historia!
Na unamzungumzia Mwenyekheri Julius NyerereUnapozungumzia Vatican unazungumzia dini ya Roman Catholic,unapozungumzia Roman Catholic unazungumzia Roman Empire akina Caesar
Kwa namna Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyohudumu na kupita kwenye misuko suko akiwa pamoja na Kanisa Katoliki la Roma bila shaka Kanisa linalo sababu kumpa cheo cha "Mwenyeheri wa Kanisa".Na unamzungumzia Mwenyekheri Julius Nyerere
Siyo TEC imeleta udini kwa kubaniwa njia zao za wizi.Wahenga walisema,Mdharau mwiba umchoma,ilianza mzaa mzaa akakaa kimya,marehemu akatukanwa nchi nzima akakaa kimya,Pengine ilikuwa turufu yake Mwenyekiti,licha ya kwamba yapaswa kuheshimu "privacy" ya familia iliyopatwa na msiba,na pia kutetea heshima ya nchi kwa Marehemu aliyewahi kuwa Kiongozi wa nchi,
Mambo yakahania kwenye dini,akakataa kusalimia Wakristo kwa salamu ya Bwana Yesu asifiwe,au tumsifi Yesu kristo,mtangulizi wake haikuwa shida kwake alisalimia Assalamualaikum,Bwana Yesu asifiwe,Tumsifu Yesu Kristy,akaongezea na salamu za kabila zaidi ya ishirini alianza na amsindile,Subhai takwenya,na makabila mengine thelathini,
Athari yake tumeanza kuiona sasa udini umeingia,mkataba mbovu wa bandari unatetewa na Waislamu na kupingwa na Wakristu,hii ni "nightmare" ambayo hatutaki itokee katika maisha ya Watanzania,lakini yupo aliyekaa kimya matokeo yake bomu linalipuka,
Nini kifanyike,aingie kanisani na kusali nao hao aliokataa kuwasalimia Bwana Yesu asifiwe na Tumsifu Yesu kristo,aingie msikiti asali nao hao na kuwasalimia assalamualaikum,halafu aende bungeni akasalimie Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Vatican isimpokee huyo Bi. TozoWakuu inasemekana safari unapangwa kwenda Vatican kukutana na Baba mtakatifu Pope Francis
Je kwanini ziara hii inapangwa wakati huu?
Je ziara inalenga kuwaonyesha wawakilishi wa kiroho wa pope Tanzania si kitu?
Baraza la Maaskofu wazuie asipokeleweKama Serikali haina dini basi asiende Vatican kwa Papa anakoandaliwa Safari ya kwenda uko hivi sasa.
Soma historia kijana hili ni taifa la Vatican hata Bakwata na FaizaFoxy wanaelewa vizuri sana!
La udini Rais wetu amelikorogaje,,wapi, kivipiKiujumla ninakubaliana na maudhui ya mada yako; lakini sikubali hilo la kujihusisha kwa njia yoyote na hizo dini zote.
Serikali iachane kabisa na huko kujikomba kwa hizo dini, ifanye mambo yake ya kuwatumikia waTanzania wote.
Hizo salamu haziwaongezei chochote waTanzania katika maisha yao.
Kuhusu Samia, amelikoroga sana hili la udini, na halitamwacha salama hata kidogo.
Hapana...wasimruhusu kukanyaga VaticanAkienda Rome ujue kaitwa sio hiari
Waraka waraka huu tusubiri
Aende tumtakie safari njema atarudi na habari njema then tutarejea panapo
Roman Catholic ni zaidi ya tunavyoiona