Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Nchi Marais wanaotokea Dini ile wanakuwaga wa kipumbavu sana, ni ngumu mno kuona accomplishments zao!
 
Najua roho inawauma sana, lakini nani awezaye kuzuia amri Mungu?
Ni mapenzi ya Mungu
Nyie endeleeni kusubiri anguko, kinakuja hakika
 
Ukweli nchi hii ya ajabu sana, tunaangalia uteuzi wa kidini badala ya weledi na sifa za mtu katika nafasi anayopewa.
Tabia hii ya kuteua ni mbaya sana kwa kuwa ukichagua kidini hata wasiofaa wanaweza kuteuliwa mradi kujaza nafasi za dini yao.
Naomba tena kwamba nafasi za vyeo sigombaniwe, yaani achaguliwe kwa vigezo; aombe na apambanishwe na wengine, huko kutasaidia kupata watu wanaofaa kutuongoza na kusimamia miradii na wilaya au mikoa. Wakati wa Mkapa kulikuwa watu wanapotaka kumpata Mkurugenzi wa wilaya alikuwa anaomba na kupambanishwe na wengine.
Viongozi aacheni hii tabia hii
 
nipeni majibu baraza la Rais Mwinyi zanziber lina wakristo wangapi? kwani taifa hilo ni la Waislamu pekee?
 
Swaumu imekuondolea akili kabisa.
 
Ebu tupe population no waislamu walikua wangap na wakristu walikua wangap??

amaana nacho jua hii nchi wakristu ndo walikua wengi
 
Haina shida yoyote..wawe Waislam watupu tena washia, wasuni, sarafi, ahmadia, eti fine madam kazi nikuisogeza Tanzania mbele kwa kasi-kimaemdeleo-basi! Wawe Wakristo; wakatoliki, KKKT, walokole, Saba to, n.k fine madam kule hawaendi kumtangaza Masiah!

Upumbavu huu ndomaana Viongozi wa juu wanajikuta wanakuwa influenced na kufanya maamuzi kwa pressure ya wapumbavu kama Hawa..

Stupid cattle, the Cattle of Africa who seem to have lost the big and shapeless heads!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…