Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Unafikiri wavimba macho wanalioona hili. Wanafikiri ni haki yao. Na teuzi zikija tofauti wanalalama kwa kuporwa "haki" yao.
Nchi hii ni ya dini zote lazima haki itendeke na ionekane kutendeka.Zama za kuwaridhisha wavimba macho zifikie mwisho.Enough is enough.
 
ndiyo sababu chadema wanapigania serikali za majimbo. Nafasi za kisiasa watu wachaguliwe na wananchi na teuzi zote za watendaji ziombwe kama ajira ya mkataba. Siyo kuwaachia kundi la watu wanakaa club na konyagi eti wanafanya vetting wanawapa watu wao.

Keki za taifa zinatakiwa kugombaniwa na kila mtu kwa uwazi kabisa
 
Nakushangaa kwanini umeangalia uongozi wa NECTA pekee na kutolea mfano, inawezekana kabisa una fikra mgando hiyo ndio sababu ya shule nyingi za kiislamu kufanya vibaya kwenye mitihani ya kitaifa.

Ndio maana wakati fulani mlipiga kelele Ndalichako aondolewe, sijui mkafaidi nini baada ya pale, nyie wazee wa JF mna thinking ya ajabu sana, tena iliyopitwa na wakati kabisa.
 
Deno...
Tutazame hayo niliyoweka yatusaidie kufikiri.
 
hoja zako ni aina nyingine ya propoganda na hazina ukweli.ifahamike tu bara wakristo ni wengi kama ilivyo zanzibar waislamu ni wengi.swala la udini hapa halipo kwa wakristo bali liko kwa waislamu.tumeshuhudia kwenye taasisi fulani ambazo viongozi wao wana imani ya kiislamu huwabagua watu wa imani ya kikristo na mifano ipo wazi.wakristo hawana ubaguzi na wala hawana shida na uislamu bali waislamu ndo wenye ubaguzi na wanawabagua wakristo kwa kuwaita makafiri.waislamu hutumia imani zao za kiislamu ili kuharibu ukristo na hili nalo halipingwi.mbona husemi kwa nn zanzibar hakuna kiongozi wa juu ambaye ni mkristo unataka kutuambia hakuna mkristo aliyesoma huko zanzibar?wabaguzi ni waislamu na si wakristo.
 
Takwimu gani rasmi zinasema kuwa huku Tanganyika Wakiristo ni wengi zaidi?
 
Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini(Qur'an 3:118)
 
Unamteua mtu anaitwa John Richard wakati halijui hata hilo kanisa likoje. Huku wapiga kelele wakidai "mkristo huyo kateuliwa"
 
Mkuu Mohamed Said hapo nambari moja ni Pius Msekwa na si P. Mselewa. Watu wanaweza kujua kuwa nilikuwa mimi ambaye hata sikuwa nimezaliwa.
 
Sawa kabisa. Sio kwa sababu Amos "Sakalla" ni mchizi wake JK na mtoto wa mjini, wanakaa wote kwenye club wakinywa mivinyo na kutengeneza madili basi anazawadiwa tu u_RC Dsm.
 
Rubbish, unateuaji Tanga mawaziri 4 na Pwani 5 na huku Arusha, Manyara, Dar n.k hakuna hata Waizri 1? kimsingi maza ni mdini sn hafai
Mchungaji Kimaro alishamaliza, nyie wala poko ni walafi kama poko mwenyewe, yaani nyinyi wapigaji wa kubwa sana. Hamuaminiki hata shughuli za shambani tu!

Mchungaji Kimaro amewachana na visuti vyenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…