Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Rubbish, unateuaji Tanga mawaziri 4 na Pwani 5 na huku Arusha, Manyara, Dar n.k hakuna hata Waizri 1? kimsingi maza ni mdini sn hafai
Punguza chuki ! Kaangalie wakina Nan enzi za Nyerere mpaka wanapeleka umeme na barabara huko migombani na waliofanya upendeleo sana wala hatuna time nao.

Yetu mnayajua ya kwenu hatuyajui ...punguza shobo na watu wa Pwani.
 
Niongea ukweli kutoka moyoni, tukiwa wadogo tulifundishwa chuki,
kuwatukana Waisilamu na Mtume wao. kuna wakati tuliambiwa kuna watu wamekamatwa kanisani walitumwa na ASAS kwenda kulipua kanisa, na mtu uliongea kwa kujiamini kabisa.

Wakati sisi tunaenda kucheza mpira siku ya jmamosi na jmapili, wenzetu walikuwa wanaenda Madrasa, Sisi tulikuwa tunasoma mafundisho kipindi maalum tu, kama ni ubatizo au kipaimara, ukimaliza unajiona unaijua Dini na umaweza kujenga hoja na mwenzako.

Baba yangu aliambiwa asilimu atajengewa nyumba, sababu alikuwa mtu mwenye ushawishi pale tunapoishi, lakini alikataa kwa kuona alipo yuko sawa, leo nimeslim bila kulazimishwa na mtu.

Naupenda Uislamu Dini ya haki, inafundisha usimtukane mtu wala kumdharau huwezi kujua kesho unaweza kumuitaji hata kama angekuwa mbaya wako, wala usimuhukumu mtu kwa rangi au Imani yake na mambo mengi.

Nikikumbuka nilikotoka wakati mwingine naishia kulia kwa uchungu.
 
Waisilamu siyo wazalendo huo ndiyo ukweli, pia waislamu hawajali watu wanao waongoza
 
Muhimu tuachane na Muungano. Kama ni udini uwepo ila uwe wa bara tu
 
Huu ndo ukweli mi nimesoma nursery kanisani najua jinsi wanavyofundishwa kuchukua waislamu ... Alhamdulliah Leo mm ni muislamu hakuna kitu sikijui kutoka kwa hao watu Wana chuki sana
 
Kwanini unadhani Waislamu wanachukiwa? siyo Tanzania tu,ata ukienda Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi ni nadra Muislamu kupewa nafasi za uongozi wa juu kitaifa kama Urais,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu lakini Tanzania pekee ndiyo unakuta hii kitu.
Shida ya hawa watu huwa wanashindwa kutenganisha mstari wa serikali na dini.
Nenda Zanzibar Mkristo gani kapewa madaraka ilihali wapo kibao au hawajasoma?au Mkristo aombe kibali cha kujenga Kanisa Zanzibar,atakavyozungushwa ni balaa!!
Kwa kifupi hawa watu ni wabaguzi!
 
Kweli kabisa, mpaka kunuita Rais Mungu na wengine kumpa majina ya kila utukufu

Umeongea vizuri ila unafiki ni mbaya sana
 
Daa PhD zote hizo halafu elimu hakuna
Watu mwendo kukariri tu
 
Rubbish, unateuaji Tanga mawaziri 4 na Pwani 5 na huku Arusha, Manyara, Dar n.k hakuna hata Waizri 1? kimsingi maza ni mdini sn hafai
Absolutely, hili ni kosa ambalo ata JPM tulimkosoa sana. JK japo ni Muislamu lakini alijitahidi kuzingatia Jiografia katika teuzi zake. Ila Mama Maridhiano anaharibu na watu wanamtetea, why?

Hao watu wa Pwani ndiyo watakaoivusha CCM kwenye uchaguzi?
 
Sawa kabisa. Sio kwa sababu Amos "Sakalla" ni mchizi wake JK na mtoto wa mjini, wanakaa wote kwenye club wakinywa mivinyo na kutengeneza madili basi anazawadiwa tu u_RC Dsm.
huo ndiyo ukweli mkuu. Hizi teuzi watu hukaa kishkaji kabisa huku wanalewa kila mtu anakuwa na majina yake mfukoni.
 
Mungu akusamahe,Hakuna mbora mbele ya Mwenyezi Mungu eti kwa sababu ya rangi yake, utaifa wake wala kabila lake,

bali mbora kwa Mwenyezi Mungu ni yule mwenye Imani thubuti na matendo mema ya kumpendeza yeye aliyemuumba
Ubaguzi wa waislamu ni mbaya sio mashuleni sio kazini, na ni kama wanapewa Maelekezo ya pamoja namna ya kupendelea watu wao it's so deadly I have seen it na naendelea kuona.
 
Hapo namba 9 sijaelewa,Anangisye ni Boss wa NECTA tangu 2018 to date![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anangisye si ni Chancellor wa UDSM!!!
 
Well said mkuu 100% true!

Huyu jamaa ametoka kuwaza bdani ya Box ameingia kuwaza ndani ya kanzu!

Anafikiria chini ya kibaragjashia!

Yaani hawa ndio wagawa taifa!
Naunga mkono hoja
 
Kuna Taasisi inaratibu hizo chuki .
Ndo maana unaona Dr Slaa sasa taratibu anatoka CCM kurudi Chadema kuongeza nguvu...
Dr Slaa alikuwa katibu zamani wa Taasisi husika...
Taasisi ipi hiyo?
 
Umechanganya mafaili au umeteleza vidole?
 
Muhimu ni suala la kuteua watu wengi halina afya sana twende na katiba mpya nafasi zipunguzwe na uteuzi ukome watu waombe kazi kutokana na kusugua kitabu.

Hivi vyeo vya kupeana vipungue mtu kama mwesiga akateuliwa DG wa Tpdc mara akatenguliwa hivi yuko wapi chawa mwesiga alikuwa ana kiherehere mambo ya ccm naona toka ile issue kazama kusikojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…